lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,387
- 25,493
Huu utakuwa ni usajili mzuri sana, tatizo no. 1 la Chelsea tangu Sarri ni striker
Sasa tumpate beki wa kushoto wa kusaidiana na Alonso, Emerson auzwe
Huu utakuwa ni usajili mzuri sana, tatizo no. 1 la Chelsea tangu Sarri ni striker
Kwani Werner tayari amesajiliwa na Chelsea?Nimeamini Management ipo serious kwenye swala la usajili, wanasajili yale maeneo madhaifu kwenye timu.
Naamini usajili wa beki wa kushoto utafanyika soon halikwepeki.
Usajili wa beki ya kati sidhani Christensen na Zouma wataendelea kupewa nafasi labda ufanyike usajili wa mkopo.
Pale katikati Chelsea tuna lundo la viungo ni Lampard kuwapanga vema.
So far so good. Marina anaijua pesa aisee Budget kidogo (€90M) usajili mkubwa (Ziyech + Werner).
Hongera Lampard kwa kupoint nuclear weapon
Haijamsajili na wiki ijayo naona watakamilisha taratibu tu kwa sababu maamuzi ya msingi yameshafanyika. Maamuzi hayo niKwani Werner tayari amesajiliwa na Chelsea?
Kweli nilikuwa nimelala kwa hiyo deal ilipofikia kwa sasa haiwezekani team nyingine kumchukua?Mzee bado umelala? Amekubali kusign mkataba mpaka 2025, deal linakamilika next week.
Kama tutasajili fullback no 2 hapo tunaruka na 4-3-3 ndio tutacheza kwq kushambulia zaidiKuja kwa Timo Werner msimu ujao tunaruka na mfumo upi?
4 - 3 - 3
4 - 2 - 3 - 1
Yan watajuta kubebwa bebwaHahahahahao majamaa upande mwingine uliwataja msimu ujao watatapika yale magoli.
countinyo hawez kuja Chelsea kiwango chake nae sikuizi hakielewekiSASA TUMCHUKUE CONTINYO KWA MKOPO WA MIAKA 2, ACHEZE WINGA YA KUSHOTO ASAIDIANE NA CAPTAIN OF AMERICA. LIBISHOO ODOI LITOLEWE KWA MKOPO HUKO NEW CASTLE
countinyo hawez kuja Chelsea kiwango chake nae sikuizi hakieleweki
Usajili uliobaki ni wa beki wa pembeni
Huyu ni flop na pia price tag yake iko juu, atatutoneshea majereha ya Morata hapa bora asijecountinyo hawez kuja Chelsea kiwango chake nae sikuizi hakieleweki
Usajili uliobaki ni wa beki wa pembeni
Hapo hujamuweka Bill GilmourViungo wachezaji style ya kina Iniesta, fab, xavi, silva, Modric.
Hivi kwa mfano pale katikati Jognho akicheza mbele kidogo ya Kovacic na Kante abadilishiwe majukumu kazi yake isiwe kukaba bali kuchezesha timu mapasi kama yote itakuwaje?
Hapo hamjakutana na wanaume watatu, hapa Bruno, Hapa Pogba, Hapa Fredinho.. halafu sub Mctominay anawasubiri.. Matic anawachungulia kwa mbaaaali.. nje ndani ya msimu huu kipigo kipo pale pale na msimu ujaoFORMATION
4 - 3 - 3
.........................Joginho..................
.............Kovacic............Kante........
........................Glimour..................
..............Jognho........Kante..........
........................Glimour..................
..............Kovacic ........Joginho..........
Kwamba Jognho/Glimour wasikabe wacheze mbele kidogo ya viungo wakabaji kama free role player. Wachezeshe timu katikati piga pasi kushoto, kulia, mbele.
Kocha awabadilishie matumizi kutoka ukabaji na kuwa viungo wachezeshaji