Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1584013138550.png
 
Lampard is a great fan of Willian
MOU is a great fan of Willian
Who will win to sign him?
 
Spurs have have reportedly joined Chelsea in the race for Jeremie Boga
1584013389495.png
 
Aston Villa are lining up current No2 and Chelsea legend John Terry to replace Dean Smith as manager, with rumours claiming the latter is set for the sack
 
HAPPY BIRTHDAY DIDIER

It's many happy returns to this man, who turns 42 today.

Didier Drogba, there's nobody like you.

1584013489428.png
 
Tuelimishane pia kuhusu namna ya kujilinda na KORONA VIRUS
Sabuni ndio inayoongoza katika kuangamiza virusi vya korona wakiwa bado kwenye ngozi, Kwa hiyo wale wenzangu na mie wasiooga kwa siku kadhaa wana nafasi kubwa ya kupata maambukizi ya virusi kutokea kwenye ngozi

1584016843819.png
 
Hao ni pasua kichwa, wakati wewe unajitahidi hata kuweka mtiririko na evidence yeye anajumlisha maandiko hata bila kuyasoma na kucriticise
Nakumbuka nikiwa pale chuo kikuu miaka ile ya 90's++ kulikuwa na migomo mingi iko engineered na vijana wanaosoma uhandisi. wakishaona mitihani imewajia kushoto wanazua migomo holela. Mara boom limechelewa, mara boom halitoshi na sababu kedekede ili tu waanzishe. Siku moja dean alipokuja pale kwenye square ya migomo kutoa taarifa kuwa boom limehsaingia kwenye akaunt alipomaliza tu, wakadakia wale wa kucritizise huku wakisema HATUTAKI, HATUTAKI!!
Huyu LONDON IS BLUE na ile id yake nyingine ni type ile ile, hata uandike point namna gani, yeye bila kusoma na kuelewa ni kukashfu tu na kucriticise
wewe utakuwa muhaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Odoi akutwa ana virusi vya Korona (covid-19) na kuwa mchezaji wa kwanza EPL kukutwa nazo.
  • Mazoezi ya Chelsea huko Cobham yasimamishwa ili maeneo yasafishwe, timu ya kwanza ya Chelsea akiwemo Lampard na baadhi ya wasaidizi wake wawekwa kwenye uchunguzi maalumu (isolation au quarantine).
  • Kwa ajili ya hili mechi na Aston Villa pamoja na Bayern Munich zinaweza kuahirishwa.
  • Huko London kwa majirani zetu kocha wa Arsenal Mikel Artreta naye akutwa na virusi.
  • Mechi za Arsenal dhidi ya Man city, Brighton na Southamptom zote zahairishwa
1584066860976.png
 
Everton nao watengwa
Lecester city, Mancity nao wapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom