lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,908
Nina wasiwasi na Tomori bado yuko kwenye bad form anapitia kwenye wakati mgumu na hata leo nimesoma sehemu Fulani akikiri mwenyewe, bora Zouma japo ana makossa makossa ya kinamna namna
Nina wasiwasi na Tomori bado yuko kwenye bad form anapitia kwenye wakati mgumu na hata leo nimesoma sehemu Fulani akikiri mwenyewe, bora Zouma japo ana makossa makossa ya kinamna namna
Alonzo anafaa winger hasa wa kushotoKikosi Cha kesho kiwe hivi
Ata akimchezesha Alonso midfielder ni sawa anaweza kufit.
Liverpool mchezaji anayelipwa pesa nyingi ni Mo Salah 200k per week, wakati hiyo salary scale Arsenal kuna Auba,lacca na Mikhi pia wanalipwa hiyo pesa, hapo hujamgusia Ozil, Sijui hivi vitu huwa mnavitoa wapi!![emoji1745][emoji1745]Timu zenye mishahara mikubwa ULAYA
View attachment 1380059
Hii jezi ya crystal palace[emoji16][emoji3]New Chelsea Kit 2020/21 LEAKED
View attachment 1380057
Dah akomae hivyo hivyo aondoke huru, kwa sasa tunabana matumizi.
Odoi £180,000
Tammy £180,000
View attachment 1380899
Cash Money Wings Auzwe tu kama vipi...
Unajua tofauti kati ya 200k na 200m? Au ulikimbia umandeLiverpool mchezaji anayelipwa pesa nyingi ni Mo Salah 200k per week, wakati hiyo salary scale Arsenal kuna Auba,lacca na Mikhi pia wanalipwa hiyo pesa, hapo hujamgusia Ozil, Sijui hivi vitu huwa mnavitoa wapi!![emoji1745][emoji1745]
Giroud bado ni muhimu sana aise ..Lampard asifanye makosa kumuachaGiroud kasema anataka kubakia darajani baada ya kufunga goli dhidi ya Spurs ma kupewa dakika zaidi za kucheza
Lampard alipoulizwa kuhusu hilo akasema ni mapema sasa kuzungumzia usajili wa msimu wa kiangazi. Yeye anawazia mchezo unaofuatia wa Jumapili dhidi ya Everton
Huku Lazio na Inter bado wanamfuatilia Giroud
Tomori Anakwama sana anaishi ulaya alafu ana wakati mgumu?? Je sisi tunaoishi uku mavumbini tusemeje..Nina wasiwasi na Tomori bado yuko kwenye bad form anapitia kwenye wakati mgumu na hata leo nimesoma sehemu Fulani akikiri mwenyewe, bora Zouma japo ana makossa makossa ya kinamna namna
Mapema sana mkuu ...kusema hivyoJoginho ajiandae kusepa.
Halafu Joginho anacheza foul nyingi sana ambazo zingine zinatusababishia majanga. Kitu ambacho sijakiona kwa huyu dogo.Joginho anachezesha timu very slow
Huyu apigwe mnada tu... Giroud apewe contract.... Halafu itafutwe straiker nyingine...Dah akomae hivyo hivyo aondoke huru, kwa sasa tunabana matumizi.
Odoi £180,000
Tammy £180,000
Dogo amefanya kazi kubwa sana ambayo Jognho ameshindwa kuifanya zaidi ya nusu ya msimu.
Manager mzuri ni yule anaye utilize resources alizonazo effectively.
Safi Lampard.
Tammy
Joginho
Odoi
Wanatupotezea muda tuu.