Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu covid 19 ni over rated hapa kwetu motority rate yake ni ndogo sana 3% ukilinganisha na majanga tunayo kutana nayo Africa Eboro tu motority elikua 25% maleria bado ni janga......sema tu hu ungojwa umeanzia kule wenye dunia na wanao miliki vyombo vya habari wemeutangazi paka basi, ila sio hatari kama Hiv aids hapa Africa na utawapa shida kweli kweli kwasabb ya winter na kinga ya mwili hafifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ilishaingia mpaka tujue mortality rate?
Hata na hivyo inaweza kuwa overrated au sio kwa sababu haikuingia kwetu bado
 
1584270493537.png

  • Kwa maelezo haya less than 6 percent ndio ugonjwa unaweza kusababisha kifo
  • Zaidi ya 84% ya walioambukizwa wanapona na kuendelea na maisha
  • Muhimu ni kuchukua tahadhari na hatua mapema kabisa
 
MAAMUZI MAGUMU!
HATMA YA UBINGWA WA LIVERPOOL KUPITIA MBINU HIZI.

LICHA ya kusimamisha Ligi Kuu England kwa wiki tatu hadi Aprili 3 mwaka huu, vichwa vinawauma mabosi wa bodi ya EPL, kutokana na kutakiwa kuja na majibu ya nini kitafanyika iwapo virusi vya Corona vitaendelea kuitesa nchi hiyo.
Hadi sasa hakuna jibu la moja kwa moja linalotolewa na mabosi hao ambao wanatarajiwa kufanya kikao cha dharura wiki hii, kuhusiana na nini kitafanyika ikiwa tatizo la Corona litadumu kwa muda mrefu maana Ligi Kuu England haina kanuni inayoeleza hatua gani zitachukuliwa iwapo ligi itavunjika.

Lakini, wachambuzi wa soka la England wamekuja na aina nne za uamuzi mgumu ambazo vigogo hao wanaweza kuchagua moja.

UAMUZI WA KWANZA:
Kuvunja Ligi
Huu ni uamuzi unaowakera zaidi mashabiki wa Liverpool waliokuwa wanaamini huu ni mwaka wao na baada ya mechi 29 msimu huu wanaongoza ligi kwa tofauti ya pointi 25 mbele ya Manchester City inayoshika nafasi ya pili na wanahitaji mechi mbili tu kutwaa ubingwa wao wa kwanza baada ya miaka 30.
Lakini, kwa mujibu wa uamuzi huu uliowekwa mezani na Makamu Mwenyekiti wa West Ham, Karren Brady, kwa upande wake anashauri ligi ivunjwe na kila kitu kianze upya kuwe hakuna bingwa wala timu ya kushuka daraja, hii ni nzuri kwa timu yake inayoshika nafasi ya 16 ikiwa na pointi 27 na wastani mzuri wa mabao kulinganisha na timu zilizo chini ya mstari wa kushuka daraja.
Uamuzi huu unaiathiri zaidi Liverpool inayokaribia kutwaa taji la Ligi Kuu kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30, lakini pia uamuzi huu utaiathiri Leicester City ambayo ipo kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.

UAMUZI WA PILI:
Kumalizia MECHI
Huu ndiyo uamuzi ambao mabosi wa EPL, wanaona hauna utata kila timu na itapata inachostahili, kupitia uamuzi huu wanataka kusubiri na kumaliza ligi kivyovyote na hata kama tatizo la virusi vya Corona litachukua muda mrefu kiasi gani, lakini vikiisha tu ligi imaliziwe ndipo msimu mpya uanze.
Lakini, ili hili litokee lazima michuano ya Euro 2020 isifanyike ili kutoa nafasi kwa klabu kucheza mechi za ligi wakati wa kiangazi, maana kama michuano hiyo ikiwapo wachezaji watajiunga na timu zao za taifa na hawatapata nafasi ya kucheza soka katika ngazi ya klabu.

UAMUZI WA TATU:
Ligi kuisha hapa
Kama tatizo la Corona lisipomalizwa mapema basi mashabiki wengi wa Liverpool wanataka uamuzi huu ambao ni kumaliza ligi katika hatua hii na kuwapa ubingwa huku. Norwich City, Aston Villa and Bournemouth zikishushwa daraja.
Uamuzi huu unainufaisha zaidi Liverpool ambayo itapata ubingwa ambao inastahili, lakini unaziumiza timu nyingi, kuanzia zile zitakazoshushwa daraja wakati zikiwa na nafasi bado ya kupamba na kubaki Ligi Kuu hasa kutoka na ukweli kuwa tofauti kati ya timu ya 18 na ya 17 na 16 ni mabao tu.
Lakini pia timu ambazo zinapambana kutafuta nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya, Manchester United, Wolves na Sheffield United zitaathiriwa na uamuzi huu kwa sababu bado zina nafasi ya kuingia nne bora kama ligi ikiendelea, lakini ikimalizwa hapa basi hawatashiriki michuano hiyo mwakani.

UAMUZI WA NNE:
Kuongeza idadi ya timu
Ili kuepusha kelele ya timu zitakazoshuka daraja na pia kuiwezesha Liverpool kutwaa ubingwa ambao imeupigania sana msimu huu, basi Bodi ya Ligi inaweza kuamua hakuna kushusha timu daraja na kuipa ubingwa Liverpool.
Na ili kuzipa haki zile timu ambazo zimekuwa na msimu bora Ligi Daraja la Kwanza, timu za Leeds na West Brom zipewe nafasi ya kupanda daraja, hii itamaanisha kuwa msimu ujao utakuwa na timu 22 badala ya 20, huku kila timu ikifurahi, japokuwa zile za timu zinazowania nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa zitalia lia tu.

Ndugu mwanamichezo nini maoni yako?

Uamuzi wa kwanza wa kuvunja ligi upo oky kabisa....

Uamuzi wa pili hauwezekani unless corona iwe imeondoka...

Uamuzi wa tatu utakuwa umemnyonya man city sababu bado anayo chance ya kutwaa hilo kombe. Lakini pia uamuzi huo utakuwa umezinyonya timu zilizopo relegation zone sababu bado zina chance ya kupigana na kutoka kwenye hiyo zone...

Pia uamuzi wa 4 siyo sawa kabisa sababu hata kule ligi daraja la pili zile nafasi za juu bado watu wanazigombani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo yangu LIGI IISHIE HAPA, timu zenye viporo za mechi moja moja (Man city, Arsenal, sheff, Aston villa) wazicheze bila mashabiki, wakamilishe mechi 29.

LIVER akabidhiwe ubingwa wake sisi tumalize top 4 kiroho safi.

Sent using Cash Money Wings
Ngoja mashabiki wa Manure waje
 
Mkuu covid 19 ni over rated hapa kwetu motority rate yake ni ndogo sana 3% ukilinganisha na majanga tunayo kutana nayo Africa Eboro tu motority elikua 25% maleria bado ni janga......sema tu hu ungojwa umeanzia kule wenye dunia na wanao miliki vyombo vya habari wemeutangazi paka basi, ila sio hatari kama Hiv aids hapa Africa na utawapa shida kweli kweli kwasabb ya winter na kinga ya mwili hafifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
corona ipo Arusha sasa yaani hapa namfikiria Ollachuga Oc,
eeeeh Mungu TUOKOE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo yangu LIGI IISHIE HAPA, timu zenye viporo za mechi moja moja (Man city, Arsenal, sheff, Aston villa) wazicheze bila mashabiki, wakamilishe mechi 29.

LIVER akabidhiwe ubingwa wake sisi tumalize top 4 kiroho safi.
hapa umedevera mkuu, sasa kwani mashabiki pekee ndio wana Corona?
Arteta mwenyewe anayo....
chamsingi ligi ivunjwe tuanze upya....

kwanza hawa liver wenyewe Corona na VAR Zimewabeba sana.. ubingwa gani huo ahsante VAR NA CORONA
 
China Maisha yamerudi kawaida bnaada ya wiki sita za hofu na panic
Huko Ulaya katikati ya April tutakuwa tumeshasahau Korona na ligi na Maisha yatakuwa yamerudi kawaida
 
Leo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,
Alitoka nje kutembelea family friend kumbe baba wa hiyo familia alikuwa na virusi.
Anadai alihisi ameupata tangu akiwa kwenye ndege na alipofika Arusha alienda hotelini moja kwa moja wala hakutaka kwenda kwake na ni karibu tu hapa mjini. Asubuhi ya jana akaamua kujipeleka Mt. Meru Hospital kupimwa na ndipo wakamkuta ana virusi.
Anadai huu ugonjwa umekuzwa sana kwa sababu yeye anajisikia vizuri anachosubiri ni hayo mafua yaishe ili arudi nyumbani kwake
Watanzania tusihofu haya ni mafua ya kawaida lakini yanashambulia mapafu na kusababisha Neumonia na sio kwa watu wote, ni baadhi, wachache tu wanapata Neumonia na akichelewa kutibiwa anaweza fariki kwa sababu Neumonia inaua
Ukijisikia una dalili za hayo mafua, nenda ukapimwe na utibiwe Neumonia kama imekuingia, otherwise huu ni ugonjwa wa mafua ya kawaida tu
Imekuzwa sana kwa sababu imepitia kwa wazungu wenye rich media za kuutangazia ulimwengu mzima
Ninahisi pia kuna kamchezo nyuma ya pazia inachezwa na hao wakubwa
 
Ligi kuvunjwa ni HASARA kubwa kuliko kuimaliza hapa ilipofika.

Je FA itarudisha gharama zote clubs ilizozitumia msimu huu? Hapana aisee, kila club ivune ilichopanda mpaka sasa ligi iishie hapa.

Hivyo viporo kadhaa havishindikani kuvicheza
kuna kanuni inayosema hivyo? au ni maoni yako tu? tatizo lililopo ni kwamba

1.alama alizokuwa nazo anayeongoza ligi zinaweza kufikiwa......

2.timu zilizokuwa ukanda wa kushuka daraja zinaweza kujikwamua....

3.timu zilizokuwa championship zinahitaji kupanda

kwa hapa kila mtu anavutia upande wake kulingana na nafasi aliyopo kwa muda huu, chukulia mfano wewe ndio ungekuwa Westham au Aston Villa, hahahahahahhaha
 
Naziamini sana data kutoka Italy. Watu wanakufa kuliko tunavyoaminishwa.
Leo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,
Alitoka nje kutembelea family friend kumbe baba wa hiyo familia alikuwa na virusi.
Anadai alihisi ameupata tangu akiwa kwenye ndege na alipofika Arusha alienda hotelini moja kwa moja wala hakutaka kwenda kwake na ni karibu tu hapa mjini. Asubuhi ya jana akaamua kujipeleka Mt. Meru Hospital kupimwa na ndipo wakamkuta ana virusi.
Anadai huu ugonjwa umekuzwa sana kwa sababu yeye anajisikia vizuri anachosubiri ni hayo mafua yaishe ili arudi nyumbani kwake
Watanzania tusihofu haya ni mafua ya kawaida lakini yanashambulia mapafu na kusababisha Neumonia na sio kwa watu wote, ni baadhi, wachache tu wanapata Neumonia na akichelewa kutibiwa anaweza fariki kwa sababu Neumonia inaua
Ukijisikia una dalili za hayo mafua, nenda ukapimwe na utibiwe Neumonia kama imekuingia, otherwise huu ni ugonjwa wa mafua ya kawaida tu
Imekuzwa sana kwa sababu imepitia kwa wazungu wenye rich media za kuutangazia ulimwengu mzima
Ninahisi pia kuna kamchezo nyuma ya pazia inachezwa na hao wakubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • 1918 Spanish flu, which killed an estimated 50 million people worldwide and over 700,000 in the United States.
  • WHO says it is still learning about this new virus, it has said COVID-19 adversely affects elderly people and those with pre-existing medical conditions, such as high blood pressure, heart disease, lung disease, cancer or diabetes.
  • In both COVID-19 and the flu, most people recover, but in severe cases, both can result in death from pneumonia and organ failure.
  • Johns Hopkins University, which is tracking the COVID-19 outbreak, reported on Wednesday afternoon that there were 121,564 suspected or confirmed cases worldwide, and 4,373 deaths - and that 66,239 people have recovered.
 
Mabadiliko ya ratiba inayotegemewa
  • Kuna kila dalili kuwa ligi zinaweza zikaanza June na kuishia Julai
  • Kuna kila dalili kuwa mikataba ya wachezaji wanaotegemewa kwenye timu zao ambazo zinaishia June au Julai kuongezwa muda hadi Agosti. Mfano mkataba wa Willian, Pedro na Giroud
  • Kuna kila dalili kuwa FIFA watarekebisha muda wa dirisha la usajili wa kiangazi ili uendane na mabadiliko yatakayofanyika kwenye ratiba za ligi yatakayolazimisha na janga la Coronavirus
 
Willian amesema ataendelea kubakia Chelsea hata Kama mkataba unakaribia kuisha cos hapa anaona Kama nipo nyumbani kwetu Brazil.
 
corona ipo Arusha sasa yaani hapa namfikiria Ollachuga Oc,
eeeeh Mungu TUOKOE

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hii kitu apa ikija itadunda tu ..embu wazia apo una mastress unaenda piga zako pantera mbili kuweka kichwa sawa ..saa ngap korona itaingia??

Sisi Africa tuna korona zetu bana ..CCm ni korona tosha achana na izo za wazungu..

Izo za wazungu ni man made..sisi za kwetu ni naturally na bado tuna survive ..kibabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom