juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Huyu dogo asilewe sifa tu apige kazi akipiga hivi hiv soon tutaanza kumsahau jorgi coz dogo pass zake nyingi ni za mbele halaf anakaba kwa nidham leo wale wakina sigurdson,tom davies na andre gomez pale kati walikuwa wamepotezwaTumejua kuwa Joginho ni hasara ndani ya hizi match mbili ambazo Gilmour amecheza. Ila kabla ya hapo tusidanganyane. Joginho akikaa nje tulikuwa tunaahuhudia kinachotokea. Otherwise kama wewe mwenzetu mpira wako unaangalizia live score...
Sent using Jamii Forums mobile app
Barkley katika hiz mech 2 kacheza vizur ajitahid sasa awe na consistenc hii hii
Kule nyuma mech 2 ngumu japo yalikuwa mashindano tofaut tumetoka na cleansheet ni jambo bora na litazid kuimarisha confidenc
Sent using Jamii Forums mobile app