Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kama nilivyosema, mechi za Chelsea za Aston Villa, Bayern Munich na Man city zahairishwa kwa sababu ya virusi
 
The FA, Premier League, EFL and Barclays FA Women’s Super League and FA Women’s Championship have collectively agreed to postpone the professional game in England until 3 April at the earliest.

The postponements include all matches in the Premier League, Championship, League One and League Two, as well as all Academy and youth team fixtures.
 
UEFA have announced all Champions League and Europa League games next week have been postponed due to ongoing coronavirus pandemic.

The postponement also applies to UEFA Youth League, with further decisions on when these matches take place "to be communicated in due course".

As a consequence of the postponements, the UCL and UEL quarter-final draws scheduled for 20 March have also been postponed.
 
Hiv Huu ugonjwa ukaingia hapa bongo hiv kweli tutapona?ebu piga picha hapo kwenye daladala zetu
 
Nashindwa kuusemea huu ugonjwa kwa bongo kwa sababu mara nasikia:-

- Watu weusi/Black people hawaupati cases zinazorepotiwa ni wazungu, Asians na mapatel

- Wanasema ugonjwa hauna nguvu kwenye maeneo ya joto.

Tanzania tumebaki dillema, na kwa kuwa hatujafunga mipaka yetu, wageni bado wanaingia nchini, inawezekana kweli mgonjwa wa corona hajaingia?

Naamini huu ugonjwa hauna nguvu ya kuadhiri na kusambaa kwa mazingira ya kwetu. Ila tuishi kwa tahadhari tuu

Kwa kweli kama unaathiri races zote kwa maeneo yote duniani, Mungu atunusuru na hilo janga likitua Tanzania kila nyumba itaweka msiba.

Maswali ya kujiuliza ugonjwa ukiingia nchini:-

- Je serikali itakuwa na budget ya kutosha kujikinga na kupambana na huu ugonjwa, vituo vya afya na wauguzi watatosha kuhudumia wagonjwa?

- Madawa ya matibabu mahosptalini na majumbani yatatosha?

- Familia zote zitaweza kumudu kununua mask za kufunika pua na mdomo? Serikali itakuwa na pesa ya kununua na kutugawia mask na gloves bure nchi nzima?

- Je serikali ikitoa amri ya kutotoka majumbani je familia zitakuwa na uwezo wa kifedha wa kununua akiba ya vyakula vya kutosha na kujifungia majumbani tukala na kunywa? Bila kufanya kazi kwa miezi kadhaa

- Je serikali itakuwa na budget ya kugawa/kusambaza vyakula kaya zote ambazo hazitakuwa na uwezo wa kuweka akiba ya chakula kwa kipindi ambacho itatolewa amri ya kutotoka majumbani kwa miezi kadhaa?

Sent using Cash Money Wings
Asee hapo ni mtihani kweli kweli
 
WHO yatangaza sasa Ulaya ni kitovu cha maambukizi ya Korona
 
Odoi ni mzungu yule? Kuna wale jamaa wa NBA wote ni blacks...
 
Kama ungekuwa haujafika indonesia basi kweli ungekuwa hauathiri maeneo ya joto. Lakini indonesia ulifika mapema sana. ..
Nashindwa kuusemea huu ugonjwa kwa bongo kwa sababu mara nasikia:-

- Watu weusi/Black people hawaupati cases zinazorepotiwa ni wazungu, Asians na mapatel

- Wanasema ugonjwa hauna nguvu kwenye maeneo ya joto.

Tanzania tumebaki dillema, na kwa kuwa hatujafunga mipaka yetu, wageni bado wanaingia nchini, inawezekana kweli mgonjwa wa corona hajaingia?

Naamini huu ugonjwa hauna nguvu ya kuadhiri na kusambaa kwa mazingira ya kwetu. Ila tuishi kwa tahadhari tuu

Kwa kweli kama unaathiri races zote kwa maeneo yote duniani, Mungu atunusuru na hilo janga likitua Tanzania kila nyumba itaweka msiba.

Maswali ya kujiuliza ugonjwa ukiingia nchini:-

- Je serikali itakuwa na budget ya kutosha kujikinga na kupambana na huu ugonjwa, vituo vya afya na wauguzi watatosha kuhudumia wagonjwa?

- Madawa ya matibabu mahosptalini na majumbani yatatosha?

- Familia zote zitaweza kumudu kununua mask za kufunika pua na mdomo? Serikali itakuwa na pesa ya kununua na kutugawia mask na gloves bure nchi nzima?

- Je serikali ikitoa amri ya kutotoka majumbani je familia zitakuwa na uwezo wa kifedha wa kununua akiba ya vyakula vya kutosha na kujifungia majumbani tukala na kunywa? Bila kufanya kazi kwa miezi kadhaa

- Je serikali itakuwa na budget ya kugawa/kusambaza vyakula kaya zote ambazo hazitakuwa na uwezo wa kuweka akiba ya chakula kwa kipindi ambacho itatolewa amri ya kutotoka majumbani kwa miezi kadhaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bill Gate alijua kuhusu Korona tangu 2015

Just check how idiot we are, Bill gates warned us 5 years ago
 
Ebola haikusambaa sana kwa sababu walioambukizwa walikufa mapema au walilala mapema
Korona ni tofauti, inaweza kukaa muda mrefu ukaambukiza wengine kwanza ndipo dalili zinaanza kuonekana
 
Nashindwa kuusemea huu ugonjwa kwa bongo kwa sababu mara nasikia:-

- Watu weusi/Black people hawaupati cases zinazorepotiwa ni wazungu, Asians na mapatel

- Wanasema ugonjwa hauna nguvu kwenye maeneo ya joto.

Tanzania tumebaki dillema, na kwa kuwa hatujafunga mipaka yetu, wageni bado wanaingia nchini, inawezekana kweli mgonjwa wa corona hajaingia?

Naamini huu ugonjwa hauna nguvu ya kuadhiri na kusambaa kwa mazingira ya kwetu. Ila tuishi kwa tahadhari tuu

Kwa kweli kama unaathiri races zote kwa maeneo yote duniani, Mungu atunusuru na hilo janga likitua Tanzania kila nyumba itaweka msiba.

Maswali ya kujiuliza ugonjwa ukiingia nchini:-

- Je serikali itakuwa na budget ya kutosha kujikinga na kupambana na huu ugonjwa, vituo vya afya na wauguzi watatosha kuhudumia wagonjwa?

- Madawa ya matibabu mahosptalini na majumbani yatatosha?

- Familia zote zitaweza kumudu kununua mask za kufunika pua na mdomo? Serikali itakuwa na pesa ya kununua na kutugawia mask na gloves bure nchi nzima?

- Je serikali ikitoa amri ya kutotoka majumbani je familia zitakuwa na uwezo wa kifedha wa kununua akiba ya vyakula vya kutosha na kujifungia majumbani tukala na kunywa? Bila kufanya kazi kwa miezi kadhaa

- Je serikali itakuwa na budget ya kugawa/kusambaza vyakula kaya zote ambazo hazitakuwa na uwezo wa kuweka akiba ya chakula kwa kipindi ambacho itatolewa amri ya kutotoka majumbani kwa miezi kadhaa?
Mwafrika hapati korona, mfano mzuri ni bwana Ighalo, yeye ndio aliyeleta korona ulaya na alibeba virusi hivyo katika mabegi yake ya nguo na yeye havikumwathiri.
tuishi tukiinjoi
Afrika imebarikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BREAKING NEWS
Serikali ya Uingereza imesema inafikiria kupitisha sheria ya kupiga marufuku mikusanyiko yote nchini humo ili kupunguza kasi ya maambukizi ya Korona
Baada ya kulaumiwa na nchi zingine na taasisi mbalimbali kama WHO kwamab serikali ya Uingereza haikuchukua hatua madhubuti ili kupambana na maambukizi ya virusi vya Korona, Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson amesema serikali inafikiria kuchukua hatua ya kuvipiga marufuku makusanyiko yote wiki ijayo ili kupunguza kasi ya maambukizi

Plans are under way to ban mass gatherings in the UK from next week just days after the government faced criticism for not taking tougher action against the Covid-19 pandemic, despite other European countries introducing strict social distancing measures.

Emergency legislation bringing in stronger powers will be published next week and there could also be a move towards more people working from home, a Whitehall source told the PA.

This morning, a World Health Organisation spokesperson questioned the UK's plan to build up immunity within the population to fight coronavirus over a prolonged period, rather than introducing mass lockdowns.

Sources: SkySports muda mfupi uliopita pamoaj na WHO joins in criticism of UK's coronavirus 'herd immunity' plan as government accused of 'playing catch-up' - follow live
 
Unajua mkuu huu ugonjwa ukisambaa Tanzania tutapata tabu sana, mtanzania ana tabia akisikia kichwa kinauma anakunywa paracetamol haendi kupima.

Akipata mafua anakomaa hivyo hivyo anakula ngumu ya jeshi mpaka yakate yenyewe.

Hizo ni dalili za kwanza za Corona kichwa kuuma, mafua baadae mapafu yanapata shida hence matatizo ya upumuaji

Mtanzania akiona anapua kwa shida ndio atataka kwenda hospital kumbe ndio final stage, Kwaheri mwalimu.

Sent using Cash Money Wings
Ni Mungu pekee ndie atakayetuepusha, atupe kinga tu ikija ipite kule
Wazungu wanaweza kujiisolate hata mwaka mzima bila kazi na wakala wakashiba
Sisi ukibakia chumbani mwezi tu si tutakufa sio kwa Korona bali kwa njaa
 
A Whitehall source said the government has drafted emergency legislation to stop mass gatherings and compensate organisations.

The source said: "Ministers are working with the chief scientific adviser and chief medical officer on our plan to stop various types of public event, including mass gatherings, beginning next week.

Sourse: SkySports
 
Ni Mungu pekee ndie atakayetuepusha, atupe kinga tu ikija ipite kule
Wazungu wanaweza kujiisolate hata mwaka mzima bila kazi na wakala wakashiba
Sisi ukibakia chumbani mwezi tu si tutakufa sio kwa Korona bali kwa njaa
Mkuu sio kweli sisi tunauwezo wa kuhimili hiyo hali kuliko wazungu vyakula vyao vingi ni factory made wakati sisi tunatowa mashambani.......na kulima sio lazima tukusanyike sehemu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tuache ushabiki kwa kweli hii hali inatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu covid 19 ni over rated hapa kwetu motority rate yake ni ndogo sana 3% ukilinganisha na majanga tunayo kutana nayo Africa Eboro tu motority elikua 25% maleria bado ni janga......sema tu hu ungojwa umeanzia kule wenye dunia na wanao miliki vyombo vya habari wemeutangazi paka basi, ila sio hatari kama Hiv aids hapa Africa na utawapa shida kweli kweli kwasabb ya winter na kinga ya mwili hafifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coronavirus World Map as on 14 March 2020
1584224671120.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom