Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

We jamaa kitu nilichogundua unashindwa kubishana kwa hoja
Unda hoja sio umcriticise mtu kwa kutumia hash language
Weka hoja subir mtu ajib hoja yako

Sent using Jamii Forums mobile app

SINA MUDA WA KUMJENGEA HOJA HUYO ZUMBUKUKU, NI KUPOTEZA MUDA TUU. KILA SIKU ANAKUJA KINYUMENYUME NDIO MAANA NASEMA MAMLUKI HUYU, COPY & PASTE HABARI ZA MITANDAONI.
 
We jamaa kitu nilichogundua unashindwa kubishana kwa hoja
Unda hoja sio umcriticise mtu kwa kutumia hash language
Weka hoja subir mtu ajib hoja yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni pasua kichwa, wakati wewe unajitahidi hata kuweka mtiririko na evidence yeye anajumlisha maandiko hata bila kuyasoma na kucriticise
Nakumbuka nikiwa pale chuo kikuu miaka ile ya 90's++ kulikuwa na migomo mingi iko engineered na vijana wanaosoma uhandisi. wakishaona mitihani imewajia kushoto wanazua migomo holela. Mara boom limechelewa, mara boom halitoshi na sababu kedekede ili tu waanzishe. Siku moja dean alipokuja pale kwenye square ya migomo kutoa taarifa kuwa boom limehsaingia kwenye akaunt alipomaliza tu, wakadakia wale wa kucritizise huku wakisema HATUTAKI, HATUTAKI!!
Huyu LONDON IS BLUE na ile id yake nyingine ni type ile ile, hata uandike point namna gani, yeye bila kusoma na kuelewa ni kukashfu tu na kucriticise
 
SINA MUDA WA KUMJENGEA HOJA HUYO ZUMBUKUKU, NI KUPOTEZA MUDA TUU. KILA SIKU ANAKUJA KINYUMENYUME NDIO MAANA NASEMA MAMLUKI HUYU, COPY & PASTE HABARI ZA MITANDAONI.
Mwisho wa siku wewe ni mbuzi tu asiye na akili hata kidogo
 
SINA MUDA WA KUMJENGEA HOJA HUYO ZUMBUKUKU, NI KUPOTEZA MUDA TUU. KILA SIKU ANAKUJA KINYUMENYUME NDIO MAANA NASEMA MAMLUKI HUYU, COPY & PASTE HABARI ZA MITANDAONI.
Nani anakulazimisha kusoma maandishi yangu wewe kasuku mjinga
 
Ukisema Mamluki unakosea.

Mdau lembu amekuwa akijitoa sana kutu-update yanayohusu club yetu, amekuwa akituletea data, stats mbalimbali katika nyanja tofauti tofauti.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Lembu kusema James ameshuka kiwango ana sababu zake akirefer kauli za kocha na data za perfomance ya mchezaji mechi baada ya mechi.

Kama wewe unasema James hajashuka kiwango njoo na viambatanisho kusupport point yako.

Vile vile kama frequency yako na mdau flani haziingiliani sio lazima umqoute kuepusha haya malumbano.
Well said bro

Katika kitu nilichogundua jamaa ni against lembu
Me huwa napenda kama unabishana na mtu bishana kwa facts sio tu kuropoka na kusema flan ni mpuuzi
Ujue mchezaj kuna siku anaperform siku zingine anakuwa yuko hovyo
Halaf katika ushabiki mchezaj akiperform vizuri tunamsifia akiperform vibaya wapo watakaomuamin na wapo ambao watakuwa kila siku wanaomba atoke or asiwe anaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PSG waizamisha Dortmund kwa juhudi binafsi ya Neyman Juniour
PSG 2 - Dortmund 0 on aggregate 3-2
 
Liverpool wamekwenda na maji hadi Morata kafunga bao
Liverpool 2 - A. Madrid 3 on aggregate 2-4
 
Lampard ambaye ni mpenzi mkubwa wa Willian anamsukuma bosi mkuu ampe Willian mkataba wa miaka mitatu ili abakie Chelsea msimu ujao.
 
Wataalam wanasema form is temporary but class is permanent
Shabiki asiyejua mpira utamjua tu kwa namna anavyodakia mada
Mchezaji kushuka kiwango ni jambo la kawaida wala sio la kushangaa na kuanza kutema maneno magumu
Tumeshuhudia mara nyingi hata wachezaji wa class ya juu kama akina Messi viwango vinapanda na kushuka
ukimchukulia mchezaji mmoja mmoja wa Chelsea hakuna hata mmoja ameenda mfululizo na kiwango kile kile, aidha safari hii imepanda au safari nyingine imeshuka, kuanzia kwa makipa, mabeki, viungo na washambuliaji. Sasa mimi leo kusema Reece James kiwango chake kimeshuka kidogo wala sio sana nashambuliwa sijui mpira
Na ndio maana mchezaji kama Alonso kiwango chake kilishuka muda mrefu tangu Enzi za Sarri mpaka Emerson akampiku, au tumeshasahau. Leo hii Alonso amekuwa hot cake kwa sababu kiwango chake kimepanda na cha Emerson kimeshuka. Muda mrefu kiwango cha Pedro kilishuka mpaka wengi humu tukasuggest aondoke muda wake ukiisha,, leo kiwango kimerudi maoni tofauti. Mount kiwango chake kinashuka kinapanda tena yeye ndio kiwango kinabadilika hapa na hapa. Tammy Abrahama alipokuwa anatumbukiza vizuri alisifiwa sana, leo form yake imedrop mpaka anaambiwa hajui mpira. Mimi naamini hakuna mchezaji ambaye yuko immune na kiwango kushuka au kupanda na kama yupo mniambie. Wanachotofautiana wachezaji kwenye viwango kushuka au kupanda ni
  1. Lini (When)
  2. Itachukua muda gani (How long) na
  3. Kiwango cha kushuka au kupanda (Degree of dipping)
Sasa hata Lampard aliyesema kiwango cha Reece kimeenda chini katika wiki za hivi karibuni hajui mpira??
Lampard anaendelea kusema kuwa hata Desemba mwaka jana kiwango cha Reece kilishuka kidogo akaamua kumpa break na kwa hiyo hata hii break ya sasa sio ngeni.
Reference hii hapa: Lampard’s Reece James decision lost in Billy Gilmour hype

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia sasa mechi zote za EPL zitachezwa bila mashabiki. View attachment 1385372
Mpira bila mashabiki haunogi kabisa. Ni kama watu wako mazoezini. Trna hata mazoezi huwa yanavutia sababu ya kelele n.k.

After all hizi league zote zingekuwa suspended tu sababu hao wachezaji wanaocheza bado afya zao zipo hatarini. Ni juzi tu Mbappe ametoka kufanyiwa test ya corona. Bahati nzuri majibu yakaja negative.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ni pasua kichwa, wakati wewe unajitahidi hata kuweka mtiririko na evidence yeye anajumlisha maandiko hata bila kuyasoma na kucriticise
Nakumbuka nikiwa pale chuo kikuu miaka ile ya 90's++ kulikuwa na migomo mingi iko engineered na vijana wanaosoma uhandisi. wakishaona mitihani imewajia kushoto wanazua migomo holela. Mara boom limechelewa, mara boom halitoshi na sababu kedekede ili tu waanzishe. Siku moja dean alipokuja pale kwenye square ya migomo kutoa taarifa kuwa boom limehsaingia kwenye akaunt alipomaliza tu, wakadakia wale wa kucritizise huku wakisema HATUTAKI, HATUTAKI!!
Huyu LONDON IS BLUE na ile id yake nyingine ni type ile ile, hata uandike point namna gani, yeye bila kusoma na kuelewa ni kukashfu tu na kucriticise
Wewe ni T.??
Ile ni mbinu ya kufaulu mitihani. Bila kufanya vile, hakika disco zingekuwa more than 50% kwa jinsi shule ya FOE ilivyokuwa ngumu nyakati zile. Kuna wenzetu wali-disco second year then waka-apply BCom, walikuwa waki-score GPA ya 3.9 au Zaidi kule BCom. Kumbuka engineering waliondoka na GPA ambayo ni less than 1.9
 
Tuwe serious. Joginho hawezi kukaba mara nyingi huwa anasababisha fouls wakati huyo dogo anakaba kwa nidhamu sana.

Pia hata kwenye kupandisha mashambulizi, Dogo yupo vizuri kuliko Joginho.

Kama akiwa na consistent Joginho tutamsahau nakuambia.

Unless km huangalii match.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo Dogo yuko vizuri lakini Jorghihno ana nafasi yake aise ..sio guarantee ya moja kwa moja kumtoa legendary kama uyo kisa uyo dgo..ni mapema sana

Ila ni vizuri lampard aendelee kumpa nafasi ili azidi kuwa njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Willian wants to wait to see whether the two sides (Arsenal or Spurs) will qualify for the Champions League before making a transfer decision.
 
UEFA chiefs are under increased pressure to cancel the rest of this season’s Champions League and Europa League because of the coronavirus.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom