Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii kweli kabisa maana hata msim umeanza tulikuwa na injury nyingi tu but team ikawa inaperform vizur tu baada wachezaj kupona hali ikabadilika

Me nahis wachezaj wakipona waendelee kusubir bench tu mpka pale itakapotokea ulazima wakuwa wanaanza as long as team ikawa inaperform vizur wasubir njee kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app

Naunga mkono. Kwa kukaa nje kwa muda mrefu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tofauti ya Lampard na Mourinho, Lampard anatumia resources zilizopo vizuri japo kakutana tatizo la wachezaji wake wengi kuwa injury kwa kuwajengea strong mentality wasio na injury lakini Mourinho badala ya kuwaamini wachezaji alionao kwa kuwatengenezea mfumo utakao accommodate yeye analalamika wachezaji muhimu son na Kane kuwa injury kwanini usimfanye Delle Ali kuwa striker mbona ni mchezaji ana fit cos anajua kuliona goal.
 
Naunga mkono hoja kwa mantiki ya kocha kupanga kikosi kutokana na game plan yake, ni kipi anategemea wachezaji watampatia.

Asipange tena kikosi kwa mahaba na kutaka kujaribu jaribu wachezaji. Kwenye kikosi cha sasa anaweza kukiboresha kwa maingizo ya mchezaji mmoja au wawili kutoka injury.

Asifanye kosa la kuwarudisha kwenye kikosi kwa pamoja:-

Christensen
Kante
Jognho
Kovacic
Odoi
Tammy
Pulisic
Tomori.

Hatutaki tena kuona mapicha picha kikosi hakieleweki, hakifungi mabao.

Sent using Cash Money Wings
Me hapo nawaona kovacic na pulisic ndio watu ambao wanastahili kuingia kwenye kikosi Cha kwanza
 
WELL DONE LAMPARD, UMEANZA KUWA NA ETHICS ZA UKOCHA, TUNATAKA HIVI HIVI TEAM ICHEZE KWA FOCUS YA KUPATA MATOKEO NA SIO ILIMRADI IMECHEZA.

KICHWA PANZI ABRAHAM ASIRUDI KIKOSINI ATUMIE MUDA HUU KUSAKA TIMU YA KUCHEZA MSIMU UJAO, GIROUD IS PERFECT MATCH KWA SASA.

PAST TWO MATCHES UMENINYAMAZISHA.

SHAROBARO ODOI ASIKANYAGE STANFORD BRIDGE ASUBIRIE MECHI ZA FA NA CARABAO CUP.

JOGINHO TAKATAKA ANATUPOTEZEA MUDA.

LONDON IS ALWAYS BLUE
 
Mbna hujamuongelea Barkley kabisa mkuu? Kwamba hujaona kazi yake?
WELL DONE LAMPARD, UMEANZA KUWA NA ETHICS ZA UKOCHA, TUNATAKA HIVI HIVI TEAM ICHEZE KWA FOCUS YA KUPATA MATOKEO NA SIO ILIMRADI IMECHEZA.

KICHWA PANZI ABRAHAM ASIRUDI KIKOSINI ATUMIE MUDA HUU KUSAKA TIMU YA KUCHEZA MSIMU UJAO, GIROUD IS PERFECT MATCH KWA SASA.

PAST TWO MATCHES UMENINYAMAZISHA.

SHAROBARO ODOI ASIKANYAGE STANFORD BRIDGE ASUBIRIE MECHI ZA FA NA CARABAO CUP.

JOGINHO TAKATAKA ANATUPOTEZEA MUDA.

LONDON IS ALWAYS BLUE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abraham kashaanza kujiona star baada ya kufunga goal 15 na kushinda mchezaji Bora ya kubebwa ambayo hiyo tuzo alistahili aubemeyoung.kwanini Hawa wachezaji wadogo awajifunzi msimu mmoja tu eti unataka mshahara mkubwa hiv ungekuwa una uwezo Kama Aguero ungekuaje dawa ya dogo akalishwe benchi na Lampard mpaka akome.
 
Huyu Tammy ikitokea timu inamtaka apigwe bei tu. Hakuna namna.
Hawajifunzi kwa malegend aisee. Magoli 15 unataka mshahara £180K, akiwa mfungaji bora wa epl si atataka alipwe £500K.

Wakina Aguero, Suarez, Cr7, Messi, Lewandowski walitengeneza kwanza brand zao timu zikalazimika kuwalipa mishahara mikubwa wasiondoke.

We Tammy umecheza tuu nusu msimu unakataa kusign mkataba wa £100 unataka £180? Kwahiyo anataka akanunue maferari? na private jet?

Tammy cha kwanza angefanyia kazi madhaifu yake ya ufungaji, angepambana angalau misimu 2 au 3 kwa kiwango bora atengeneze brand yake.

Madrid, Barca, Juve wamuone lulu sokoni na sisi turinge kumuuza tumpandishie mshahara mnono. Huyu dogo namuona akirudi championship.

Nisingependa kumuona dogo Glimour anafuata mkumbo wa mabishoo odoi na Tammy

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa nachompenda MARINA yuko serious na kubana matumizi ya uendeshaji wa club na kusimamia vema sera za club.

Kama WILLAN kwa kiwango chake bora alichonacho amenyimwa mkataba wa miaka 3, sembuse huyu Tammy anayetaka mshahara mkubwa hata hajamaliza msimu wa kwanza

Marina anaweza akasajili striker mkali wa kumlipa £100K kwa wiki akasaidiana na Giroud, akaachana na huyu bishoo Tammy anayetaka £180k akanunue Ferrari.

Sent using Cash Money Wings

MBONA MNAPOTEZA MUDA BURE KUMJADILI HUYO KICHWA PANZI. DIRISHA KUBWA TUNAMUUZA CHAMPIONSHIP.
 
Well said

Hivi hao waliokaa na kuamua kumlipa Odoi 180k walifikiria kitu gani. Naamini sasa hivi hata tukiwaendea Bayern Munich watupe zile mil 45 kwa Odoi hawatatoa. Odoi auzwe na Tamy asipotaka mkataba unaoendana na thamani yake naye auzwe ili kiangazi tujue tunakwendaje sokoni
 
WELL DONE LAMPARD, UMEANZA KUWA NA ETHICS ZA UKOCHA, TUNATAKA HIVI HIVI TEAM ICHEZE KWA FOCUS YA KUPATA MATOKEO NA SIO ILIMRADI IMECHEZA.

KICHWA PANZI ABRAHAM ASIRUDI KIKOSINI ATUMIE MUDA HUU KUSAKA TIMU YA KUCHEZA MSIMU UJAO, GIROUD IS PERFECT MATCH KWA SASA.

PAST TWO MATCHES UMENINYAMAZISHA.

SHAROBARO ODOI ASIKANYAGE STANFORD BRIDGE ASUBIRIE MECHI ZA FA NA CARABAO CUP.

JOGINHO TAKATAKA ANATUPOTEZEA MUDA.

LONDON IS ALWAYS BLUE
Jemedari katika ubora wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu wangu. Inafikirisha sana. Kama Odoi analipwa hiyo 180k, Ziyech akitua atalipwa ngapi aisee na ameshaprove makubwa kwa misimu mingi mfulilizo.

Kwa sasa:-

Odoi, Tammy na Mount mishahara yao isingevuka £80k kwa week

Sent using Cash Money Wings
Me nahis board ya chelsea saiv inaogopa isije ikafanya maamuzi ya kuwauza yakaja kutoke kama salah,cuadrado,kdb or lukaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini Chelsea haimuoni Wissam Ben Yedder? Huyu ni bonge la striker atafit sana Chelsea
 
Kwa sasa nachompenda MARINA yuko serious na kubana matumizi ya uendeshaji wa club na kusimamia vema sera za club.

Kama WILLAN kwa kiwango chake bora alichonacho amenyimwa mkataba wa miaka 3, sembuse huyu Tammy anayetaka mshahara mkubwa hata hajamaliza msimu wa kwanza

Marina anaweza akasajili striker mkali wa kumlipa £100K kwa wiki akasaidiana na Giroud, akaachana na huyu bishoo Tammy anayetaka £180k akanunue Ferrari.

Sent using Cash Money Wings
Huyo apewe £100k alafu kwenye mkataba awekewe kipengele kwamba msimu ujao akiwa top scorer basi apewe 150-180 k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachawi ni hawa
Jognho
Bakley homa ya kipindi
Odoi
Tammy

Hapana

Kwa upande wangu

Kante / kovacic na girlmour inatosha
Maana watamsaidia girl kukaba si kama Jognho ana rafu kijiji na kukaba awezi na ni kupeleke mipira side
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom