Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wachawi ni hawa
Jognho
Bakley homa ya kipindi
Odoi
Tammy

Hapana

Kwa upande wangu

Kante / kovacic na girlmour inatosha
Maana watamsaidia girl kukaba si kama Jognho ana rafu kijiji na kukaba awezi na ni kupeleke mipira side
Mimi bado nipo 50/50 kwa Kante. Naona kama hawezi fit kwenye falsafa ya Lampard. Tukimuuza bei kubwa tutawaleta wachezaji wazuri wa bei poa na mshahara poa na bado wakaleta Chemistry nzuri na akina Billy, Kovacic na hao wengineo kwenye falsafa ya Lampard
Naona kama Kante akiwekwa pale hataongeza kitu, tutarudi kule kule kwenye inconsistency
 
Kepa Arrizabalaga to Real Madrid. Aende asiende?

Real Madrid are reportedly weighing up a summer swoop for Kepa Arrizabalaga.

The Daily Star claim that the Spanish giants could offer the 25-year-old an escape route from Stamford Bridge.

It is reported that Zinedine Zidane is “weighing up a potential bid” for the goalkeeper.

Kepa has been tipped to leave Frank Lampard's side in the summer after a number of costly mistakes.
 
1583809715990.png
 
Ila tuache masihara... Barkley akiwa kwenye form Kovacic haoni ndani.

Refer hizo match mbili zilizopita.
Wachawi ni hawa
Jognho
Bakley homa ya kipindi
Odoi
Tammy

Hapana

Kwa upande wangu

Kante / kovacic na girlmour inatosha
Maana watamsaidia girl kukaba si kama Jognho ana rafu kijiji na kukaba awezi na ni kupeleke mipira side

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado nipo 50/50 kwa Kante. Naona kama hawezi fit kwenye falsafa ya Lampard. Tukimuuza bei kubwa tutawaleta wachezaji wazuri wa bei poa na mshahara poa na bado wakaleta Chemistry nzuri na akina Billy, Kovacic na hao wengineo kwenye falsafa ya Lampard
Naona kama Kante akiwekwa pale hataongeza kitu, tutarudi kule kule kwenye inconsistency
kante ni mkabaji wala sio unavyodai hafit

Anaonekan afiti kwa mana akicheza kupeleka mbele mpira mkbaji jognho anboronga anamwachi kovacic so akicheza kam mkabaji bado jognho n kovacic hawapeleki mbele so akiwa na girlmol naimani huyo dogo atakuwa anapeleka mbele mpira kante anapooza tuuu mashambuliz ya upinzani
 
Kaka Lembu sio chuki wala mahaba ya kudumu huyo tammy anacheza mpira wa kusubiri qmabo saivi umepitwa na wakat kwa formation za hawa makocha mtazame frimino ana goli ngapi kwa nini asiwe sub hapana anachezesha timu muone auba aguero kane na kina suarez lewandosk na reus wanachezesha sasa tammy hata hawez ndio maana giroud anakuwa 1 france kuliko benzema na wengine labda kama wachukue mbadala wa giroud ila sio tammy wala huyu batsman
 
Boys dont win a war.

Man will..

Alichokua anakifanya Lampard haina tofauti na alichowahi kukifanya Andre Villa Boas, msimu wa 2011-2012

Wote wawili walikua wanatuaminisha kua kuna wachezaji ni wazee na pia kasi na uwezo wao umepungua, kitu ambacho hakikua kweli..

Sasa naona anapata picha halisi ya ukongwe dawa,, kwanza wale mafaza wana experience na pia wanajituma sana,, tofauti na hawa watoto.. Wengi akishacheza gemu mbili vizuri anajiona timu ni yake...

Billy anafanya vizuri,, inatakiwa uchanganye kidogo watu wenye experience na hawa makinda ili wazoee mapema na kufikia potential yao..

Ila kuanza na makinda wa5 kwenye mechi moja tena kwa timu kubwa , tungeendelea kupigwa hadi tukome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kante ni mkabaji wala sio unavyodai hafit

Anaonekan afiti kwa mana akicheza kupeleka mbele mpira mkbaji jognho anboronga anamwachi kovacic so akicheza kam mkabaji bado jognho n kovacic hawapeleki mbele so akiwa na girlmol naimani huyo dogo atakuwa anapeleka mbele mpira kante anapooza tuuu mashambuliz ya upinzani
Kante anacheza nafasi ya ukabaji tu mara nyingi na matokeo ni yale yale. Kwenye formation ya 433 ndio pekee anacheza mbele ila kwenye formations zenye DM wawili anakaba Ndugu. mfano 3-4-3, 4-2-3-1 hizi zote inakuwa na DM wawili na Kante huwa anacheza na Jorgi au Kova
 
Conte ndo pekee aliweza kumtumia vizuri kante, DM walikuwa wawili kante na matic na partnership yao ilikuwa amaizing kante akipanda matic anarudi chini na matic akipanda kante anarudi chini faida kubwa alikuwa anaipata kante ni kwamba matic alikuwa vizuri kwenye kukaba na kupandisha team ata anapopanda kante kukaba juu uku kwa matic kunakuwa salama tukija kwa mfumo wa Lampard wapocheza jorginho na kante as DM jorginho ana kuwa mzigo cos hana quality aliyokuwa nayo matic yaani kante akienda kukabia mbele jorginho anakuwa si salama cos kukaba hawezi na huyu ndo anamuangusha Kante.Solution hapo pekee Lampard anatakiwa amrudishe kante acheze pekee eneo la mbele ya mabeki wanne au tatu na jukumu lake ni kukabia maeneo hayo hayo asiende mbele na mbele yake zaidi wawe viungo wawili wa pembeni acheze Gilmour na kovacic ata tukiwa tumepoteza mpira tuna mtu wa kuwalinda Gilmour, kovacic ambaye ni kante.
 
Well said. Wa kumtumbua hapo ni Joginho. Kante alivyokuwa anacheza as attacking midfielder, Jognho anapwaya kwenye kazi yake ya defensive midfielder, inalazimu timu kucheza nyuma.

Kante akirudi acheze defensive Mildfilder halafu Glimour na Kovacic au BARLEY wapande juu kushambulia.

KOVACIC - KANTE - GILMOUR

GILMOUR - KANTE - BARKLEY

Na imani Glimour akicheza na KANTE huyu dogo hatachoka mapema kuliko dogo akicheza na mvivu Jognho mzito wa kukaba, dogo akicheza na Jognho atafanya kazi nzito sana kumsaidia Jognho kukaba na kupandisha mashambulizi juu.

Joginho ndio hafiti kwenye falsafa ya Lampard, Lampard anataka timu icheze kwa haraka haraka kwenda mbele, mvivu jognho anataka timu icheze taratibu kurudi nyuma.

Sent using Cash Money Wings
Hiv wana Chelsea hamumuoni kweli striker Wissam Ben Yedder wa monaco?dah! Huyu jamaa anafunga kweli kweli Hadi sasa ana goal 18 ingawa team yake haipo kwenye nafasi nzuri ya ligi, performance yao mbeya. lakini jamaa anatimiza majukumu yake vizuri.Huyu jamaa wanatakiwa uongozi wamchukue naona kabisa ana fit kabisa Chelsea na tutatoa nuksi pale mbele.Kingine kinachonivutia kwa huyu mwamba hakosagi magoal yakiboya Kama yule Tim Werner.
 
Kante anacheza nafasi ya ukabaji tu mara nyingi na matokeo ni yale yale. Kwenye formation ya 433 ndio pekee anacheza mbele ila kwenye formations zenye DM wawili anakaba Ndugu. mfano 3-4-3, 4-2-3-1 hizi zote inakuwa na DM wawili na Kante huwa anacheza na Jorgi au Kova

WE JAMAA HIVI KABLA HUJAANZA KUANDIKA UNACHOANDIKA UNAFIKIRIAGA KWELI SAWASAWA. MBONA MZITO SANA KUELEWA MAMBO.

NA JAMBO KAMA HULIJUI BORA UFUNGE BAKULI. NANI ASIYEFAHAMU KWAMBA JOGINHO NI MZIGO KWENYE KUKABA?

HUJIULUZI MASWALI MBONA KANTE WAKATI WA CONTE ALIFANYA PARTNERSHIP NZURI TOFAUTI AKICHEZA NA JOGINHO? UKWELI NI KWAMBA JOGINHO NI TAKATAKA KWENYE KUKABA, HAWEZI KUKABA, MZITO, ANACHEZA RAFU, HAWEZI KUPANDA JUU KUSHAMBULIA NA KUKABA.

MATIC ALIKUWA ANAKABA, ANATULIZA PRESHA YA TIMU NA ALIKUWA ANAPANDA KUSHAMBULIA KUTOA ASSISTS NA KUFUNGA KWA MASHUTI MAKALI.

JOGINHO ANA UBORA GANI? JOGINHO NDIO ANAMFANYA KANTE ANACHEZA CHINI YA KIWANGO HAKABI VIZURI, ANAINGHARIMU TIMU KWA MARAFU ANAYOCHEZA.

USISEME KANTE AKICHEZESHWA DEFENSIVE ANABORONGA ANGALIA ANACHEZA NA NANI KWENYE DEFENSIVE?

KWANINI PARTNERSHIP YA KANTE NA MATIC ILIZAA MATUNDA KULIKO YA KANTE NA JOGINHO?

KANTE ATACHEZA VIZURI SANA NA GLIMOUR, DOGO ANAKABA VIZURI, ANATULIZA TIMU NA ANASHAMBULIA.
 
Conte ndo pekee aliweza kumtumia vizuri kante, DM walikuwa wawili kante na matic na partnership yao ilikuwa amaizing kante akipanda matic anarudi chini na matic akipanda kante anarudi chini faida kubwa alikuwa anaipata kante ni kwamba matic alikuwa vizuri kwenye kukaba na kupandisha team ata anapopanda kante kukaba juu uku kwa matic kunakuwa salama tukija kwa mfumo wa Lampard wapocheza jorginho na kante as DM jorginho ana kuwa mzigo cos hana quality aliyokuwa nayo matic yaani kante akienda kukabia mbele jorginho anakuwa si salama cos kukaba hawezi na huyu ndo anamuangusha Kante.Solution hapo pekee Lampard anatakiwa amrudishe kante acheze pekee eneo la mbele ya mabeki wanne au tatu na jukumu lake ni kukabia maeneo hayo hayo asiende mbele na mbele yake zaidi wawe viungo wawili wa pembeni acheze Gilmour na kovacic ata tukiwa tumepoteza mpira tuna mtu wa kuwalinda Gilmour, kovacic ambaye ni kante.

UKO SAHIHI KABISA. MPIRA UNAUFAHAMU
 
Hayo ya Giroud na Benzema yaache kama yalivo.

Benzema alishakuwa banned kuitwa timu ya taifa pamoja na mwenzie Ribery.

Kwa hiyo sababu ya Benzema kutocheza pale mbele siyo hiyo unayoisema.
Kaka Lembu sio chuki wala mahaba ya kudumu huyo tammy anacheza mpira wa kusubiri qmabo saivi umepitwa na wakat kwa formation za hawa makocha mtazame frimino ana goli ngapi kwa nini asiwe sub hapana anachezesha timu muone auba aguero kane na kina suarez lewandosk na reus wanachezesha sasa tammy hata hawez ndio maana giroud anakuwa 1 france kuliko benzema na wengine labda kama wachukue mbadala wa giroud ila sio tammy wala huyu batsman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya statistics zipo hivo. Lakini on the other side Minutes alizocheza kovacic ni zaidi ya mara mbili ya minutes alizocheza Barkley.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanmu underrate Barkley, tukiongea tunaambiwa hatujui mpira
Niliwahi kusema Barkley ana tourches chache lakini za maana kule mbele. Barkjley anachoboa tu ni zile nyakati akiwa kwenye form mbaya BUT kama ni Attacking MF Barkley ni bora kwenye ufungaji na kuasists
Ukifuatilia stats za Barkley kwenye timu ya Taifa ni bora kuliko ya Chelsea. Barkley akicheza na wachezaji wabovu anapotea, akicheza na wachezaji wa class ya juu anaonekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom