Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu ni Ollachuga Oc amekuja kwa style ya kuongea kweli bila kuremba,
Mimi nipo pamoja nae maana anaongea msivyopenda kusikia.....ila ndio ukweli mchungu.

Lampard out

Sent using Jamii Forums mobile app
Asee intake radhi mkuu siwezi andika izo mambo ..apa mwanzo mwisho tupigwe tushinde ..bado nipo ..This is Chelsea ..

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JUZI NILIONGEA JINSI MBINU ZA LAMPARD NI FLAT KWENYE MECHI NZIMA, HAWEZI KUBADILI MBINU KULINGANA NA MECHI INAVYOKWENDA.

LAMPARD HAWEZI KURUDI SEC HALF KABORESHA MBINU BAADA YA KUMSOMA OPPONENT 1ST HALF

TIMU TUNAZOCHEZA NAZO HUWA ZIKIRUDI 2RD HALF ZINABADILISHA MBINU NA KUPATA MATOKEO.

LAMPARD ANACHOFANYA NI KUBADILI WACHEZAJI BADALA YA KUBADILI MBINU. ATAMTOA MCHEZAJI MZURI ATAINGIZA TAKATAKA
 
Hapa pona pona ya Chelsea ni hii mechi kusimamishwa kwa sababu ya mlipuko wa corona. Otherwise mechi imeisha hii.
 
Possession ya 75 na bado mnapigwa!! kweli sometimes mourinho huwa na akili, ku dominate sio kushinda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom