Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Simkubali kabisa Barkley ila leo kacheza vizuri kuliko siku zote kwa upande wangu
Huyo ndie Barkley wa Everton, kaamua leo kuimaliza timu yake ya zamani.
Barkley akiamua anacheza kiLampard Lampard ila akiamua tena anacheza kizembe na kivivu mno
 
Jumamosi ijayo ni CHELSEA VS Samatta

Sasa mseme kabisa mtamshabikia Samatta au Chelsea
 
CHELSEA VS EVERTON PLAYER RATING
  1. Kepa Arrizabalaga 7
  2. Cesar Azpilicueta 8
  3. Kurt Zouma 8
  4. Antonio Rudiger 8
  5. Marcos Alonso 7
  6. Mason Mount 9
  7. Billy Gilmour 9
  8. Ross Barkley 9
  9. Willian 8
  10. Olivier Giroud 8
  11. Pedro 8
  12. Reece James (on for Mount 60') 7
  13. Tino Anjorin (on for Willian 71') 6
  14. Armando Broja (on for Giroud 86') 6
 
Mount
1583694370707.gif
 
Kiukweli watoto hawawezi kukupa ubingwa hata siku moja. Wanacheza vizuri leo kesho wanaboronga mpaka unabaki kushangaa.
Mpangilio wa kikosi leo naona ulibalance vyema.
Gilmour kama akiwa consistent basi tunaweza kumaliza ndani ya top 4....

Joginho alikuwa anacheza sababu tu ilikuwa akikaa ndani team inatulia. Lakini hizi match mbili Gilmour alizocheza kidogo kumekuwa na utulivu na creativity.

Huyu Gilmour anajitahidi sana kukaba na yuko very accurate kwenye passes zake. Wote mnajua kuwa Joginho karibu kila match lazima ale yellow card sababu ya kukaba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niki type kuwa Jognho ni hasara Lembu anakuja na kusema wen plastic fan
Nikisema tammy si wa kumzidi Giroud
Maana g anachezesha timu Lembu ananimind

Umeonaaaa
Tumejua kuwa Joginho ni hasara ndani ya hizi match mbili ambazo Gilmour amecheza. Ila kabla ya hapo tusidanganyane. Joginho akikaa nje tulikuwa tunaahuhudia kinachotokea. Otherwise kama wewe mwenzetu mpira wako unaangalizia live score...

Hajui kabisa kukaba joginho
 
Mashabiki huwa kawaida wanaenda na upepo. Giroud akifunga goli Tammy anasahulika, Jorgi anapokuwa kwenye form anasifiwa na kila mtu, sasa mambo yakibadilika na upepo wa mashabiki unabadilika. Giroud hakuna mshabiki asiyemjua, sio Goal scorer wa kumtegemea mechi hi kafunga na zinazofuata anadoda. Hata kesho form ya Gilmour ikishuka atashushiwa madongo. Uzuri mmoja mimi sina chuki ya kudumu wala mahaba ya kudumu kwa mchezaji au kocha. akiboronga OUT. akicheza vizuri wote tunamsifia. hii ndio maana ya ushabiki. Sijawahi kuita shabiki plastic fan kwa sababu ya kumpenda Giroud. Nimewaita plastic fan wanaotukana kocha na shabiki wenzake kisa kutofautiana mawazo. mtu anachukia kwa kugeneralize waingereza. hicho ndicho nilikipiinga na bado nitakipinga
Niki type kuwa Jognho ni hasara Lembu anakuja na kusema wen plastic fan
Nikisema tammy si wa kumzidi Giroud
Maana g anachezesha timu Lembu ananimind

Umeonaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali umemjibu hivyo maana sijui kama hata anafuatiloa mechi zote au hii ya leo tu ya goli 4
Tumejua kuwa Joginho ni hasara ndani ya hizi match mbili ambazo Gilmour amecheza. Ila kabla ya hapo tusidanganyane. Joginho akikaa nje tulikuwa tunaahuhudia kinachotokea. Otherwise kama wewe mwenzetu mpira wako unaangalizia live score...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niki type kuwa Jognho ni hasara Lembu anakuja na kusema wen plastic fan
Nikisema tammy si wa kumzidi Giroud
Maana g anachezesha timu Lembu ananimind

Umeonaaaa
Naunga mkono hoja yako kwa asimilia 💯 ana mahaba Sana na Abraham huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom