Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuwa na heshima kwa watu dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa namna hii ambao wanahisi kuwasilisha hoja zao mpaka watukane ni kuwaacha. Kwanza wanaonekana tu ni vijana wadogo wasiokuwa na uelewa kuwa humu kuna watu umri wa baba na kaka zao.
Timu iko top four halafu shabiki mmoja ambaye hajaachive chochote tofauti na orgasms kadhaa kwa demu wake anamwita kocha takataka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
MPUUZI NA APUUZWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui top scorer EPL anatoka timu gani?? Ebu tamka hilo jina kwanza, Pierre Emerick Aubameyaang, hapo bado tuna Eddie Nketiah na Martinelli ambao ni clinical finishers kuliko U23 yoyote Epl.Mchukueni Samatta mkuu muipeperushe bendera ya TZ.
Sasa huko nafasi ya 10 mnatafuta nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuwa kigeugeu fala wewe. Nilivyokua nauliza kwa nini hapangwi ulikua unapinga upuuzi. Vitu kama hujui ni bora ukapga kimya.
Huyo lembu ni mnafiki ndio alikuwa anamponda Alonso sijui yukoje
 
Apo zote tunaua uyu Liverpool keshachoka tunamla kichwa vizuri tu..

Kisha tunaenda malizia kwa Everton pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mtu akisoma comments zako na akitazama timu yako utopolo inaocheza, atashangaa kweli. Una timu gani ya kutamka kilaini tu hivyo? Hii ya kina Cabalero? Tomori? Zouma? Barkley? Mount rojorojo? Ama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alonso akicheza 433 huwa sio mzuri ni tofauti akicheza na 343

Sent using Jamii Forums mobile app

Formation yeyote yenye ku deploy LB sio mzuri labda wamuweke kule mbele kama winga, hii nafasi alikuwa akiicheza mwanzo kabla hajaja Chelsea
Formation ya 3-4-3 inatumia wing-back ambapo anacheza kama winga at the sametime kama LB, na ndio maana Alonso alicheza vizuri wakati wa Conte alipokuja Sarri wa 433 akapotea kabisa
 
Nimeikuta hii sehemu sijui kama ina ukweli fulani

Errors leading to goals since the start of last season:
  1. De Gea – 7
  2. Pickford – 7
  3. Dubravka – 7
  4. Leno – 7
  5. Alisson – 3
  6. Lloris – 3
  7. Schmeichel – 1
  8. Ederson – 1
  9. Kepa Arrizabalaga – ZERO!
 
RLC kawasha kule kwenye PL2, leo ni lazima aanze
 
Tino Anjorin and Armando Broja trained with the Chelsea first team ahead of the Liverpool match. Interesting to see if they will play in the Development Squad match tonight.
Anjorin > Barkley
Broja > Batshuayi
 
Target ya Chelsea Alex Telles ambaye ni LB wa Porto akataa kusain mkataba mpya na Porto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom