LONDON IS BLUE
Senior Member
- Feb 26, 2020
- 106
- 129
KAKA ISHU SIO LAMPARD KUSAJILI WACHEZAJI ANAOWATAKA, TATIZO NI MBINU ZAKE ZA OVYO. KAMA KOCHA UWEZO WAKE MDOGO SANA. CHELSEA NI KUBWA KUBWA KWAKE
Mechi ya kwanza ya ligi Liverpool alipack mabasi, hii ya sasa imeshachokaLiverpool pumzi imekata ikiwa Chelsea watakaza wanaweza kupata sare,ila timu ya kukaza ndio hawana.
Katika shopping waliofanya watford ndie mchezaji ghali kwa historia ya klabu. kanunuliwa paundi mil 30Huyu dogo wa Watford Ismaila Sarr mzuri sana, bonge la finisher what a player 22 yrs
Sent using Cash Money Wings
Hata avatar yako inaendana na ufala ulio nao kenge mkubwa wewe, ukiona nanyamaza kutojibu utumbo wako usione ni fala kama weweAcha kuwa kigeugeu fala wewe. Nilivyokua nauliza kwa nini hapangwi ulikua unapinga upuuzi. Vitu kama hujui ni bora ukapga kimya.
Hata avatar yako inaendana na ufala ulio nao kenge mkubwa wewe, ukiona nanyamaza kutojibu utumbo wako usione ni fala kama wewe
Onyesha ni wapi nilipinga. Wote humu tunajua Alonso hafai kuwa beki na bado nitapinga Alonso kuwa LB au hujui tofauti ya wing-back na LB
CHELSEA NEXT MATCHES
LIVERPOOL TUTAFUNGWA
ASTON VILLA SARE
BAYERN TUTAFUNGWA
CITY TUTAFUNGWA
WESTHAM TUTAFUNGWA
WATFORD TUTAFUNGWA
SHEFFIELD TUTAFUNGWA
LIVER TUTAFUNGWA
WOLVES TUTAFUNGWA
LAMPARD ATAFUKUZWA
Hahahahahaha angalia jukwaa la Liverpool kule wanaomboleza na wewe leo utaomboleza tu..
This is Chelsea ..top four uhakika hauna timu chini yetu ya kututoa..
#CFC[emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Board ya chelsea ingekuwa inaweza ingterminate contract za wachezaj ambao hata loan bado wanasumbua ili ijulikane kabisa imepata hasaraDrinkwater mambo mabaya. Tusitegemee kupiga pesa ya mauzo kwake VillaView attachment 1373394View attachment 1373395
Hahahahahaha mkuu ni chalii moja mpole sana Sema nachangamkaga kwenye kuandika tu, ila kuongea dah uongoWewe jamaa katika ulimwengu halisi (huko mtaani) nahisi ni Haji Manara [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujaribu kuwaelewesha vichwa panzi ni kupoteza muda wako. Mjinga muache na ujinga wake mungu akijaalia atajielimisha siku moja ujinga umtoke.Kufungwa na Man United si kwasababu Man united ilibebwa na Refa pamoja na BAR yake??
FL kocha bana, acha Zako.
Sent using Jamii Forums mobile app
dah jamaa naungana na wewe kabisa atashuka mpaka nafasi ya kumi [emoji23][emoji23]CHELSEA NEXT MATCHES
LIVERPOOL TUTAFUNGWA
ASTON VILLA SARE
BAYERN TUTAFUNGWA
CITY TUTAFUNGWA
WESTHAM TUTAFUNGWA
WATFORD TUTAFUNGWA
SHEFFIELD TUTAFUNGWA
LIVER TUTAFUNGWA
WOLVES TUTAFUNGWA
LAMPARD ATAFUKUZWA
Nawaona nawaona katika ubora wenu.Hata avatar yako inaendana na ufala ulio nao kenge mkubwa wewe, ukiona nanyamaza kutojibu utumbo wako usione ni fala kama wewe
Onyesha ni wapi nilipinga. Wote humu tunajua Alonso hafai kuwa beki na bado nitapinga Alonso kuwa LB au hujui tofauti ya wing-back na LB
AiseeeehhhWe hamna kitu unajua kum# ww, bora uwe unakaa kimya. Kama ulikua unasema afai kuwa beki w kushoto nani angefaa kuwa beki wa kushoto, mama yako au?