Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Attachments

  • 1583270060088.gif
    1583270060088.gif
    2 MB · Views: 6
Well played Chelsea
FT Chelsea 2 Liverpool 0
Man of the match Gilmour
Kepa naye leo kacheza akiwa na nidhamu ya hali ya juu sana
 
Mitandaoni naona wanatoa habari kwamba jana Fabrigas mpya ameonekana chelsea.

Nimeangalia highlights zake jana kweli Dogo Glimour amekichafua katikati, fabinho kala chenga za mauzi na kofi juu.

Mimi Sio muumini wa madogo ila huyu amenikosha sana. Napenda dogo kama huyu mwenye kipaji cha kuzaliwa na sio cha kuforce ukubwani.

Anapokea mpira anaangalia wapi nafasi ipo anatoa pass kama hataki vile ndio imefika hiyo. Hapanic ametulia. Anaurahisisha mpira what a player.

Huyu dogo alindwe kiwango chake, na usalama wake kwa gharama yeyote.

Dogo ni future secret weapon ya chelsea, tumempata xavi/iniesta wetu.

Sent using Cash Money Wings
Yule dogo anajua sana

Chelsea huwa mna makinda wazuri ,ila kuwatunza hamjui

Dogo Jana kafanya balaa pale katikati ,fabinho kapotezwa sana

Billy Gilmour ,mtoto anajua namuona mech ya pili sasa

Lamps ampe nafas sasa anawazid wengi tu hapo Chelsea
 
Dah kama nilijua tu..

Nmetisha

#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi niliangalia wote
Defence jana ilikuwa very solid. Kama kuna second man of the match basi angekuwa ni kipa Kepa.
Liverpool muda mwingi walipasiana kwenye goli lao, final third ya Chelsea waliingia kwa nadra sana.
Pedro alikuwa na speed nzuri ila hakuwa na maamuzi mazuri
Sub ya kocha jana ilikuwa nzuri, alikuwa sub huru moja tu ya James badala ya Giroud, sub za willian na kovacic za majeruhi. Naomba yale majeruhi yawe ni madogo tu.
Kwa habari ya Gilmour anaweza fikia kiwango cha Kante akipewa nafasi
 
Mitandaoni naona wanatoa habari kwamba jana Fabrigas mpya ameonekana chelsea.

Nimeangalia highlights zake jana kweli Dogo Glimour amekichafua katikati, fabinho kala chenga za mauzi na kofi juu.

Mimi Sio muumini wa madogo ila huyu amenikosha sana. Napenda dogo kama huyu mwenye kipaji cha kuzaliwa na sio cha kuforce ukubwani.

Anapokea mpira anaangalia wapi nafasi ipo anatoa pass kama hataki vile ndio imefika hiyo. Hapanic ametulia. Anaurahisisha mpira what a player.

Huyu dogo alindwe kiwango chake, na usalama wake kwa gharama yeyote.

Dogo ni future secret weapon ya chelsea, tumempata xavi/iniesta wetu.

Nani kapata chenga za mauzi huyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom