Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 314
Hahahaha gongowazi wa England. Mna tabu sana ndugu zangu hadi Bournemouth dadeeki.
Lampard tumbadilisheni aje pale Jangwani aisuke gongowazi yetu timu ya wananchi.
Top 4 ileeee wanaume tunakuja sasa na Leicester naona kashachoka tayari Chelsea mkapambane na Arsenal wanazengo wenzenu wa London
#GGMU