42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Hii game ya leo mnashinda vizuri kabisa mkuu, Liverpool washachoka ni kuwapiga amsha amsha mwanzo mwisho.Twende kazi
Mount - Giroud - Willan
Alonso- Kovacic- Joginho- James
Rudger - Zouma- Azipiculeta
Man u wanaongoza mbio za kumsajili. Jamaa wapo serious kufanikisha dili
kumbe mmeshakili Keppa ni mbovu na ela yote mliyotoa kumnunua.unaweza ukamlinganisha na LENO?!Chelsea hatuwezi kusajili huyo takataka mwendawazimu mvuta bangi.
Chelsea tuko kwenye mchakato wa kumsajili Oblak, kwa deal ya KEPPA + pesa.
wanashinda wapi hawa na ukute kikosi atakachopangiwa ni kikosi cha pili...Hii game ya leo mnashinda vizuri kabisa mkuu, Liverpool washachoka ni kuwapiga amsha amsha mwanzo mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona amejifunza baada ya benchi la muda mrefu.Kipindi cha kwanza Kepa kaokoa zaidi ya saves 5 hivi
Hahaha giroud nae kam kaumia vile anachachmea sanWillian naye kaingia kwenye orodha ya majeruhi