Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukweli ni kwamba Chelsea na Leicester city wako kwenye bad form kwa sasa na wataifanya top 4 iwe na ushindani usiotakiwa
Katika mechi 12 za ligi zilizopita
Leicester city kashinda 3 tu
Chelsea kashinda 4 tu
Man u kashinda 6
TOT kashinda 6
Shefield kashinda 6

Kwa hiyo form ya Chelsea na Leicester city zisipobadilika na kurudi kwenye ubora wao, tutaondolewa kwenye top 4 na Man U na Shefield U. Siwazungumzii TOT kwa sababu hali yao iko mixed kwa sasa bila SON na KANE
 
Yani hii timu kwenye mechi tano za league za mwisho, imeshinda moja tu, leo nikadhani wanaweza amka wajipambanie, ndo hawa wanazabwa tena, duh!

Naona taratibutaratibu mkiiacha top 4 kiujinga kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha jana jana na mulikuja kwa mbwe mbwe njooni tena...

#CFC[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona baada ya maombolezo unaonekana tena. subiria misiba ya mfulululizo utapotea kwenye jukwaa lenu.labda nitegemee kukuona kwenye jukwaa la wapishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha angalia jukwaa la Liverpool kule wanaomboleza na wewe leo utaomboleza tu..

This is Chelsea ..top four uhakika hauna timu chini yetu ya kututoa..

#CFC[emoji170][emoji170]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inter wanamtaka
Juve wanamtaka
At. Madrid wanamtaka

Alonso mfumo wa 3-4-3 ndio chakula yake. Chelsea kuendelea kumfaidi Alonso ni kuimarisha safu ya mabeki 3 na viungo wakabaji.

Alonso anapenda akabe kidogo most of time atumie kupanda juu kushambulia na ni finisher mzuri sana.
Lampard akiruhusu aondoke atakuwa amezingua sana..hatuna mabeki wa maana afu unaruhusu mtu kama Alonso kusepa..
 
Inter wanamtaka
Juve wanamtaka
At. Madrid wanamtaka

Alonso mfumo wa 3-4-3 ndio chakula yake. Chelsea kuendelea kumfaidi Alonso ni kuimarisha safu ya mabeki 3 na viungo wakabaji.

Alonso anapenda akabe kidogo most of time atumie kupanda juu kushambulia na ni finisher mzuri sana.

Sent using Cash Money Wings
Hata mifumo mingine, tatizo la makocha wengi wanakariri namba za wachezaji. Alonso anafaa na anapenda kucheza kama Wing-back au Winga. Tafuta historia yake utakuta alishacheza kwenye hiyo nafasi ya winga. Badala ya Mount pale wangekuwa wanamuweka Alonso na Mount awe kama sub kwenye winga wa kushoto.
 
Je Alonso anao umuhimu kwa Chelsea?
Mechi zote saba ambazo Alonso alianza msimu huu Chelsea ilishinda
Marcos Alonso: win ratio +70%

Marcos Alonso has been a hero and a villain for Chelsea in the last week, although his dismissal against Bayern Munich should not deter Frank Lampard from sticking with a winning formula in the league. Chelsea have won all seven of the league matches Alonso has started this season. The natural balance he offers the team on the left has been missed at times in his extended, unforced absence.

Chelsea with Alonso: seven win in seven games (100%)
Chelsea without Alonso: six wins in 20 games (30%)


N’Golo Kanté: win ratio -41.4%
The biggest surprise in this list. N’Golo Kanté has had a difficult season, not only in terms of injuries but also when he has been fit to start. The Frenchman has not reached the heights of previous campaigns. Chelsea are up in fourth in the league yet they have won less than half of the games he has started.

Pedro: win ratio -40.4%
Pedro has fallen out of favour this season as Frank Lampard has looked to give youth a chance. On the rare occasions that Pedro has started, he has not exactly given his manager a selection dilemma. The Spaniard has started six matches this season, of which Chelsea have won just once (vs Brighton in September.

Chelsea with Pedro: one win in six games (16.7%)
Chelsea without Pedro: 12 wins in 21 games (57.1%)
Alonso ana winning ratio kubwa kuliko wachezaji wengine wa Chelsea hasa kwenye huu msimu wa Lampard akicheza kama wing-back
 
Na bado mmetolewa kule futuhi, na mwakani hata futuhi hamtashiriki!
Alitolewa barcelona ikiwa first leg anaongoza 4-1, akatolewa PSg akiongoza 4-0, unashangaa nini sisi kutoka??[emoji1745],Hivi kitu gani kinakupa courage ya kumaliza Top 4 ikiwa kumfunga Bournemouth tu mtihani??
 
Madogo wanatuwakilisha vizuri juzi wameshinda kombe
Chelsea 14.PNG

Mademu zetu nao hawako nyuma kutubeba kimasomaso jana wanechukuwa kombe
1209514173.jpg.0.jpg
 
CHELSEA NEXT MATCHES

LIVERPOOL TUTAFUNGWA

ASTON VILLA SARE

BAYERN TUTAFUNGWA

CITY TUTAFUNGWA

WESTHAM TUTAFUNGWA

WATFORD TUTAFUNGWA

SHEFFIELD TUTAFUNGWA

LIVER TUTAFUNGWA

WOLVES TUTAFUNGWA

LAMPARD ATAFUKUZWA
 
CHELSEA NEXT MATCHES

LIVERPOOL TUTAFUNGWA

ASTON VILLA SARE

BAYERN TUTAFUNGWA

CITY TUTAFUNGWA

WESTHAM TUTAFUNGWA

WATFORD TUTAFUNGWA

SHEFFIELD TUTAFUNGWA

LIVER TUTAFUNGWA

WOLVES TUTAFUNGWA

LAMPARD ATAFUKUZWA
Yaah! London is blue [emoji171]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom