Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

In reality. Bournemouth yupo kwenye form zaidi ya Chelsea. Katika matches tano za mwisho, Bournemouth ameshinda matches mbili, huku Chelsea akishinda mechi moja tu! ... kwa mujibu wa stats, Bournemouth ni hatari kuliko Chelsea ambaye anamiliki mpaka 75% ya mpira lakini anashindwa kwa shots on target na Bournemouth mpaka dkk 86.

Ni wazi timu zishajua mtindo wa Lampard, anaendekeza kucheza na mpira bila madhara, hivyo mpe acheze nao, sisi tukipata ni counter mpaka goli. Kaadhibiwa hivi mara kadha wa kadha lakini bado hajataka kujifunza wapi anakosea, hii maana yake ni MWANA KUYALILIA, MWANA KUYAPATA.

Ndio waweza sema ana wachezaji substandard lakini kocha mzuri ni yule anayeweza ku-utilise kwanza alichonacho ingali akiwa anatafuta anachokosa. THIS MAN DOESNT LEARN FROM HIS MISTAKES

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TRUTH MKUU, LAMPARD TAKATAKA HAKUNA KOCHA HAPO, ANAFUNDISHA MPIRA WA KITOTO, MBINU ZA KITOTO KWENYE LIGI NGUMU, HALAFU LIKICHWA LAKE SIJUI HUKO NDANI LIMEJAA MAGUNZI MMBISHI KUBADILIKA.

KIUFUPI LAMPARD ANAFAA KUWA KOCHA WA TIMU YA WANAWAKE CHELSEA.
 
In reality. Bournemouth yupo kwenye form zaidi ya Chelsea. Katika matches tano za mwisho, Bournemouth ameshinda matches mbili, huku Chelsea akishinda mechi moja tu! ... kwa mujibu wa stats, Bournemouth ni hatari kuliko Chelsea ambaye anamiliki mpaka 75% ya mpira lakini anashindwa kwa shots on target na Bournemouth mpaka dkk 86.

Ni wazi timu zishajua mtindo wa Lampard, anaendekeza kucheza na mpira bila madhara, hivyo mpe acheze nao, sisi tukipata ni counter mpaka goli. Kaadhibiwa hivi mara kadha wa kadha lakini bado hajataka kujifunza wapi anakosea, hii maana yake ni MWANA KUYALILIA, MWANA KUYAPATA.

Ndio waweza sema ana wachezaji substandard lakini kocha mzuri ni yule anayeweza ku-utilise kwanza alichonacho ingali akiwa anatafuta anachokosa. THIS MAN DOESNT LEARN FROM HIS MISTAKES

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiongea tunaonekana mamluki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitaendelea kusema Lampard sio kocha wa hadhi ya timu kama Chelsea anaturudisha nyuma sana mpk Bournemouth inaonekana timu bora kuliko sisi wachezaji wanakaa na mpira hawajui wafanye nn sioni akikaa mda kwenye timu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali ya cabalero kuliko kepa
Kuna mda cabalero anatufanya tuwe ndan ya game
Christeansen naona kule nyuma anajitahidi sana

Kuna mda nashindwa kumuelewa lampard kwa nini huwa anamngangania mount hata kama mechi imemshinda utasema mount ndio engine ya tim

Sent using Jamii Forums mobile app

LAMPARD ANAMLA KIBOGA MOUNT, KADRI ANAVYOENDELEA KULIWA KIBOGA NDIVYO UWEZO WA DOGO UWANJANI UNAZIDI KUSHUKA NA HAKUNA WA KUMGUSA
 
FACTS ABOUT LAMPARDS TEAM
1.Can't make a comeback
2. Cannot score a corner
3.plays with no ambition
4.Doesn't know what killing the game means courtesy of lampard
5.The coach don't has a constant line up
5.The trys to attack only after being scored

LAMPARD CAN'T MANAGE CHELSEA, HE NEEDED TO BE AN ASSISTANT 1ST
 
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhh
Screenshot_20200229-204606.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom