Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyo jamaa akili Hana yaani umuuze best defensive midfielder in the world alafu huwaache wachezaji mizigo Kama Barkley, Emerson n.k
Wachezaji wote wauzwe wabaki hao makinda, mtakuja kuniunga mkono muda mfupi ujao, Kante ni DM mzuri na mimi sijakataa. Hajafit kwenye mfumo na falsafa ya Lampard
 
LAMPARD KUWATIMUA WACHEZAJI 8

Frank Lampard anajianda kuisafisha Chelsea kwa kuwaonyesha mlango wa kutokea wachezaji nane kwa mujibu wa The Sun.
Kipa Kepa Arrizabalaga ameshindwa kuonyesha ubora wake msimu huu na kupoteza nafasi kwa kipa Willy Caballero, ni miongoni mwa wachezaji wanaotajwa watatimuliwa na Lampard.
Viungo Ross Barkley na Jorginho pia wanaweza kuachwa pamoja na beki wa kushoto Marcos Alonso na Emerson, wakati Kurt Zouma, Willian na Pedro watakuwa wakiangaliwa mwenendo wao kuanzia sasa hadi mwisho wa msimu.
Hiyo imekuja baada ya kikosi cha Lampard kupokea kipigo cha mabao 3-0 katika Ligi ya Mabingwa hatua ya 16 bora nyumbani na Bayern Munich, huku pia ikiwa nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu England.
Kipigo hicho kikubwa kwa Lampard kimeonyesha jinsi kikosi chake kinavyoitaji mabadiliko kabla ya kuanza kufikiria ubingwa.
Lampard tayari ameshatumia pauni 37milioni kumsajili winga Hakim Ziech kutoka Ajax, ambaye atajiunga na klabu hiyo mwisho wa msimu.
Inaonekana bado anataka kusajili wengine wanne wakiwamo beki wa kushoto Ben Chilwell kutoka Leicester na kipa wa Atletico Madrid, Jan Oblak

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je Alonso anao umuhimu kwa Chelsea?
Mechi zote saba ambazo Alonso alianza msimu huu Chelsea ilishinda
Marcos Alonso: win ratio +70%

Marcos Alonso has been a hero and a villain for Chelsea in the last week, although his dismissal against Bayern Munich should not deter Frank Lampard from sticking with a winning formula in the league. Chelsea have won all seven of the league matches Alonso has started this season. The natural balance he offers the team on the left has been missed at times in his extended, unforced absence.

Chelsea with Alonso: seven win in seven games (100%)
Chelsea without Alonso: six wins in 20 games (30%)

N’Golo Kanté: win ratio -41.4%
The biggest surprise in this list. N’Golo Kanté has had a difficult season, not only in terms of injuries but also when he has been fit to start. The Frenchman has not reached the heights of previous campaigns. Chelsea are up in fourth in the league yet they have won less than half of the games he has started.

Pedro: win ratio -40.4%
Pedro has fallen out of favour this season as Frank Lampard has looked to give youth a chance. On the rare occasions that Pedro has started, he has not exactly given his manager a selection dilemma. The Spaniard has started six matches this season, of which Chelsea have won just once (vs Brighton in September.

Chelsea with Pedro: one win in six games (16.7%)
Chelsea without Pedro: 12 wins in 21 games (57.1%)
 
Wachezaji wote wauzwe wabaki hao makinda, mtakuja kuniunga mkono muda mfupi ujao, Kante ni DM mzuri na mimi sijakataa. Hajafit kwenye mfumo na falsafa ya Lampard

ACHA KUONGEA PUMBA, CHELSEA CLUB KUBWA SIO DORTMUND/AJAX HAIWEZI KUJENGWA NA MAKINDA VICHWA PANZI.

HIZO TAKATAKA ABRAHAM, ODOI, MOUNT ZITATOLEWA KWA MKOPO, PAMOJA NA KIAZI WAO LAMPARD ATAFUKUZWA MWISHO WA MSIMU

ABRAHAM ANAJAZA UCHAFU PALE MBELE ANAGUSA MPIRA KAMA MAMA MJAMZITO.
 
Kufungwa na Man United si kwasababu Man united ilibebwa na Refa pamoja na BAR yake??
FL kocha bana, acha Zako.
HATUWEZI KUMPA MUDA HUYO KIAZI. KWA UBORA GANI ALIONAO WA KUFUNGWA MECHI TATU NA MAN U.

AKAFUNDISHE HUKO CHAMPIONSHIP

KOCHA UNAFUNDISHAJE MPIRA WA HIVI WA KUACHA MAGAP KAMA SIO UKILAZA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reuben Loftus Cheek back in the squad against Bournemouth today
Akipewa dakika chache itakuwa bora zaidi
 
MECHI NA BOURNEMOUTH TUNAFUNGWA KAMA KAWAIDA YETU, HATUNA UBAVU WA KUMFUNGA.

MAN U LOST
TOTE WIN
BAYERN LOST
BOUNER LOST
LAMPARD OUT
 
Kwanini aje baada ya kufungwa na Bayern?

Siku zote alikuwa wapi?

Kama ulivyojibu huyo alishakuwa members hapa na anafahamika, amekuja na ID nyingine kutuvuruga.
Huyu ni Ollachuga Oc amekuja kwa style ya kuongea kweli bila kuremba,
Mimi nipo pamoja nae maana anaongea msivyopenda kusikia.....ila ndio ukweli mchungu.

Lampard out

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni Ollachuga Oc amekuja kwa style ya kuongea kweli bila kuremba,
Mimi nipo pamoja nae maana anaongea msivyopenda kusikia.....ila ndio ukweli mchungu.

Lampard out

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo namim nikisena arteta out nitakuwa nimekosea sidhan tangu amekuja ameshafika mech 5 za ushindi kweny premier league

Sent using Jamii Forums mobile app
 
B:- Madhaifu ya Mbinu/mifumo ya Lampard:-

Kutokana na kitendo cha wachezaji wetu viungo kukabia juu inapekea kuacha gap kubwa katikati, na mabeki wetu wanabaki wazi bila ulinzi kinachofuata ni opponent kutupigia counter attack au penetration pass kwenda eneo tulioacha wazi. Mfano mzuri man u alitufunga kwa style hiyo, Leicester city pia.

Na hata morinho alishasema hilo kabla ya kuwa kocha Tote kwamba Chelsea inaacha gap kubwa katikati hakuna mbanano kati ya viungo wakabaji na mabeki wetu.

Na mbaya zaidi defensive yetu sio nzuri sana linapotekea shambulio la moja kwa moja wanachanganyikiwa kwenye kumark adui. View attachment 1371292View attachment 1371293View attachment 1371294View attachment 1371295View attachment 1371297
Ndo maana nasema Lampard sio kocha wa kufundisha Chelsea uwezo wake ni mdogo tangu niijue Chelsea sijawahi ona imefungwa mara tatu na manyumbu kwa msimu mmoja tena kwa kocha kama ole bora ingekuwa Manchester ile ya fagi sio hii ya kawaida kabisa unamwekaji world striker nje na kupanga vitoto ambavyo vinaruka ruka tu in short simwoni Lampard akiwapa kombe lolote lile hata msimu ujao

HUYO KIAZI AJIUZULU KWA HESHIMA, MSIMU UJAO ATAFUKUZWA KAMA MBWA KOKO.

CHELSEA HAINA UTAMADUNI WA KUMVUMLIA KOCHA KILAZA HATA KAMA AMETUPA KOMBE MSIMU ULIOPITA. SEMBUSE HII TAKATAKA HALINA MBINU ZA USHINDI KAZI KUJIANGALIA KWENYE TV UWANJANI.
 
Ndo maana nasema Lampard sio kocha wa kufundisha Chelsea uwezo wake ni mdogo tangu niijue Chelsea sijawahi ona imefungwa mara tatu na manyumbu kwa msimu mmoja tena kwa kocha kama ole bora ingekuwa Manchester ile ya fagi sio hii ya kawaida kabisa unamwekaji world striker nje na kupanga vitoto ambavyo vinaruka ruka tu in short simwoni Lampard akiwapa kombe lolote lile hata msimu ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo huyo ole unaemsema kashinda etihad mara mbili mfululizo

Tim yet haina watu wanaoweza kupiga counter kama man utd na hatuwez kuzuia kwa mda mrefu kama man utd wanavyofanya

MECHI YA 1 NA MAN U - TUMEFUNGWA MAGOLI YA COUNTER LAMPARD HAKUJIFUNZA

MECHI YA 2 NA MAN U - MAGOLI YA COUNTER LAMPARD HAKUJIFUNZA

MECHI YA 3 NA MAN U - MAGOLI YA COUNTER LAMPARD HAKUJIFUNZA MECHI

MECHI NA BAYERN - MAGOLI YA COUNTER

KOCHA GANI SASA HUYU ASIYEBADILISHA WALA KUBORESHA MBINU ZAKE?

NDIO MAANA NAMUITA KIAZI NA ATAFUKUZWA TUU UKOCHA AMEUVAMIA.
 
Upo sahihi kabisa!! Mi naona hawataki kukubaliana na ukweli uliopo kuna maana gan una dominate Mpira wenzio wakienda mbele tu imo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYO LAMPARD HATA TUKISEMA TUMPE HELA YA KUSAJILI WACHEZAJI BADO NAONA MTAYUMBA TU NDO KWANZA ANAHARIBU WACHEZAJI TU BORA KANTE WA SARI KULIKO HUYU CHINI YA LAMPARD NDO KWANZA ANAZIDI KUFLOP TU MI SIJUI WALIMPA TIMU KUTUMIA KIGEZO GAN AU KWA KUWA YE NI LEGEND SIO??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo huyo ole unaemsema kashinda etihad mara mbili mfululizo

Tim yet haina watu wanaoweza kupiga counter kama man utd na hatuwez kuzuia kwa mda mrefu kama man utd wanavyofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana hizo mechi tatu zote hakushindwa kudeal nao na kujifunza makosa yake amefanywa mpk mnaitwa vibonde wa manyumbu hii kweli haki jaman anataka kufanya Chelsea iwe timu ya kawaida tu wakati Chelsea chama kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom