Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

N'Golo Kante likely to miss Chelsea vs Tottenham with muscle injury, says Frank Lampard

Christian Pulisic and Callum Hudson-Odoi will both miss visit of Spurs.

He also said Tammy Abraham is "probably a maybe" to face Spurs.

(SKY SPORTS)

Tujiandae kipysicology PEDRO, BATSHUAYI wanaweza kupangwa tena mechi ya spurs
Kwa ratiba yenu mnaweza kuletwa korokoroni
 
Chelsea vs Spurs
  1. Chistansen kaumia pua
  2. Abrahama 50/50
  3. Odoi rulled out
  4. Kante ruled out
  5. Pulisic ruled out

Spurs
  1. No kane
  2. No Son
  3. No Sissoko
  4. No Erik Lemela
 
N'Golo Kante likely to miss Chelsea vs Tottenham with muscle injury, says Frank Lampard

Christian Pulisic and Callum Hudson-Odoi will both miss visit of Spurs.

He also said Tammy Abraham is "probably a maybe" to face Spurs.

(SKY SPORTS)

Tujiandae kipysicology PEDRO, BATSHUAYI wanaweza kupangwa tena mechi ya spurs
Nawaona mkiondoka top four mdogomdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honest disagreement
We played better lakini finishing bado ni tatizo,, pia VAR walikua upande wa man u sana jana. 1st ile faulo ya maguire ilikua ni straight red card (same na ile faulo aliyocheza son wa spur na bahati nzuri refa wa kati ni yule yule kwenye gemu zote mbili), cesc fabregas, gary neville , roy keane wote wanakubali kua hawaelewi imekuaje maguire amepona pale, hata njano tu hakupewa..
Then, 2nd goli la Zouma lilitakiwa li"stand,, alichezewa faulo azpilicueta kabla ya kwenda kumchezea faulo william, sijui kwa hapa VAR maamuzi yao yalikuaje..

N:B in italy au world cup, tulushuhudia VAR refa akienda kuangalia kwenye screen ili atoe maamuzi mwenyewe,, ila EPL imekua ni kama upuuzi flani usio msaidia refa wa kati bali ni maamuzi ya hao waliokaa kwenye video.

Kingine, You cant win a war with boys you need men,, ndo kinachomponza Lampard. Giroud ameshinda world cup akiwa na france, ameshinda ueropa akiwa chelsea,, sio kua ni mbovu kutokufunga sana ila uwepo wake tuu unasababisha pale mbele angalau mpira haupotei hovyo.

Sasa unamuanzisha sharobaro ambaye hawezi kuumiliki mpira,, sio mzuri kwenye mipira ya juu, na pia hana accuracy kwenye mashuti yake
Batshuayi yule ni bora tubadilishane na korosho za pale bagamoyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Halima Gwaya " nakunukuu ulivomuita ndio kakutia utosi wa haja hapo hapo kwako yule zumbukuku golini akabaki kuwaya waya
Halima gwaya ndio alisukumwa kidogo ila katika mpira wa miguu kitendo cha kurudishia au kulipiza rafu ni kosa kubwa,pale ilibidi apewe redcard direct,ukizingatia alimpiga maeneo nyeti.....

Ila lile libatshuay ni fala sana halijui kucheza na refa pale angekuwa suarez,ramos au stearing angegalagala kama zile pumbu zimeng'olewa mpaka refa angeshawishika,sasa lenyewe lile linajiona kamanda linajikaza....hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hope Zouma atacheza nafasi ya Christensen, Chelsea nyuma na katikati pana afadhali kidogo.

Kimbembe ni kule mbele kwenye kupachika mabao, Majeruhi + Uzee + Kilaza (Batshuayi) + VAR kazi kweli kweli.

Mungu asaidie mechi ya BAYERN Kante, Odoi, Pulisic, Tammy, Christensen warejee uwanjani.
Na Son atakuwa nje dhidi yenu,mshukuru na hili pia
 
Hahahaha[emoji23]

Giroud ni mzuri zaidi kuliko batshuayi. Zile cross za James + Azipiculeta = Giroud angefunga mabao.

Batshuayi mazoezini litakuwa linaperform vizuri ndio maana linapangwa.

Akiingia kwenye mechi wenge linampanda, kuvimba yote mapaja na kutetemeka mwili.
We jamaa huishi vituko,
Umenikumbusha primary kumbe yule mkulima ndio alikuwa bwana Batshuay????alitoka ubelgiji ..
 
Haland yule wa mil 20 ambaye Scout wa Chelsea wenye makengeza hawakumuona anaendelea kufunga magoli, jana usiku katumbukiza 2 Dotmund ilipoifunga PSG 2-1
 
Yuko kibiashara zaidi. Angetua Uingereza dogo angekuwa amefika, kumuuza tena ingechukua muda mrefu.

Kwa Dortmund safari ya kupiga pesa bado inaendelea. Na always mawakala hawapendi sana mchezaji wake mzuri adumu kwenye timu muda mrefu.

Swali najiuliza Mino ndio aliscouting huyu dogo kuwa wakala wake au baba yake na halaand alimtafuta mino amsimamie dogo?
Ukichukua Batshuay 100 unapata Halland mmoja.
 
Jana first half kati ya dortmund na psg
Sancho mda mwingi alikuwa yuko kushoto yani akicheza LW huku akitumia mguu wa kulia the boy is special naimani tukimpata huyu naona ndio itakavyokuwa lw sancho rw ziyech

Uzuri wake anaspeed na sio mchoyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom