Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Goli la kwanza Chelsea lilitakiwa kutambuliwa. Az alisukumwa ndo maana akaelekea kwa beki na kumgusa. Na Chelsea imeendeleza udhaifu wake uleule haina wamaliziaji, wanajua kuzurula na mpira na kurudisha kwa kipa. Kipa mwenyewe hamna kitu. Pale katikati akitoka Kante ndo linabaki tobo.
29.12. Jorginho deserved second yellow for pullback on Guendouzi, then went on to score late on vs Arsenal.

17.2. Maguire had a kick out on Batshuayi that deserved red card, but got away with it and scored in second half.

Karma.
 
Maguire alitakiwa awe nje kwa rafu mbaya dhidi ya batshuayi
Goli la Zouma lilitakiwa lisimame kwa sababu push zote mbili ni very minimal
Man U wameanza kubebwa na refa
mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu... jorgniho alichotufanya hukuliona kama ni kosa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We played better lakini finishing bado ni tatizo,, pia VAR walikua upande wa man u sana jana. 1st ile faulo ya maguire ilikua ni straight red card (same na ile faulo aliyocheza son wa spur na bahati nzuri refa wa kati ni yule yule kwenye gemu zote mbili), cesc fabregas, gary neville , roy keane wote wanakubali kua hawaelewi imekuaje maguire amepona pale, hata njano tu hakupewa..
Then, 2nd goli la Zouma lilitakiwa li"stand,, alichezewa faulo azpilicueta kabla ya kwenda kumchezea faulo william, sijui kwa hapa VAR maamuzi yao yalikuaje..

N:B in italy au world cup, tulushuhudia VAR refa akienda kuangalia kwenye screen ili atoe maamuzi mwenyewe,, ila EPL imekua ni kama upuuzi flani usio msaidia refa wa kati bali ni maamuzi ya hao waliokaa kwenye video.

Kingine, You cant win a war with boys you need men,, ndo kinachomponza Lampard. Giroud ameshinda world cup akiwa na france, ameshinda ueropa akiwa chelsea,, sio kua ni mbovu kutokufunga sana ila uwepo wake tuu unasababisha pale mbele angalau mpira haupotei hovyo.

Sasa unamuanzisha sharobaro ambaye hawezi kuumiliki mpira,, sio mzuri kwenye mipira ya juu, na pia hana accuracy kwenye mashuti yake
Batshuayi yule ni bora tubadilishane na korosho za pale bagamoyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumefungwa, ila kinaumiza zaidi ni kufungwa na Man U.
Bado misimu mingine inakuja, tutalipa kisasi tu. We lost our main player without replacing him, We didn't sign anyone this season. Man U amefanya signings kubwa tano.
Thanks to Frank Lampard na young lads. Vinginevyo tungeshuka daraja.
Assume bila Tammy, Mount, Reece, Tomori, Odoi, ambao wote wametoka kwenye academy tungekuwa wapi? Kati ya hao waliokuwepo nani angefikisha magori 13 aliyonayo Tammy mpaka sasa? Angalia work rate ya Mount, cross za Reece,....
Tupo katika nafasi ambayo hakuna aliyeamini kwamba tungekuwepo hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We played better lakini finishing bado ni tatizo,, pia VAR walikua upande wa man u sana jana. 1st ile faulo ya maguire ilikua ni straight red card (same na ile faulo aliyocheza son wa spur na bahati nzuri refa wa kati ni yule yule kwenye gemu zote mbili), cesc fabregas, gary neville , roy keane wote wanakubali kua hawaelewi imekuaje maguire amepona pale, hata njano tu hakupewa..
Then, 2nd goli la Zouma lilitakiwa li"stand,, alichezewa faulo azpilicueta kabla ya kwenda kumchezea faulo william, sijui kwa hapa VAR maamuzi yao yalikuaje..

N:B in italy au world cup, tulushuhudia VAR refa akienda kuangalia kwenye screen ili atoe maamuzi mwenyewe,, ila EPL imekua ni kama upuuzi flani usio msaidia refa wa kati bali ni maamuzi ya hao waliokaa kwenye video.

Kingine, You cant win a war with boys you need men,, ndo kinachomponza Lampard. Giroud ameshinda world cup akiwa na france, ameshinda ueropa akiwa chelsea,, sio kua ni mbovu kutokufunga sana ila uwepo wake tuu unasababisha pale mbele angalau mpira haupotei hovyo.

Sasa unamuanzisha sharobaro ambaye hawezi kuumiliki mpira,, sio mzuri kwenye mipira ya juu, na pia hana accuracy kwenye mashuti yake
Batshuayi yule ni bora tubadilishane na korosho za pale bagamoyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angepewa red wewe ungeshinda kwan
 
Hv kati ya Maguire na Batshuayi nani alicheza rafu pale kwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
Halima gwaya ndio alisukumwa kidogo ila katika mpira wa miguu kitendo cha kurudishia au kulipiza rafu ni kosa kubwa,pale ilibidi apewe redcard direct,ukizingatia alimpiga maeneo nyeti.....

Ila lile libatshuay ni fala sana halijui kucheza na refa pale angekuwa suarez,ramos au stearing angegalagala kama zile pumbu zimeng'olewa mpaka refa angeshawishika,sasa lenyewe lile linajiona kamanda linajikaza....hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti iliyopo hapo ni kwamba Son alikula straight kadi nyekundu huyu mwingine VAR ikaamua hakuna kadi.

Tofauti iko wapi hapo?
Screenshot_20200218-080230~2.jpeg
Screenshot_20200218-080225~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom