Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Liverpool walisajili kimkakati, wakasajili wachezaji wa viwango vikubwa (Mane, Salah) kwa bei za kawaida.

lakini pia walimwaga mpunga mrefu kusajili wachezaji wa viwango vikubwa mfano Keita £60M, Allison £66M, Vidjik £82.5M.

Ukisema chelsea haiwezi kununua wachezaji 2 kwa 100M+, sasa mkuu tutakuwa tunajenga timu gani sasa ya ushindani?

Kuna mchezaji yuko sokoni kocha anamuona yule anafit kabisa kwenye mfumo wake kuboresha kikosi, kweli tumuache kumnunua kwa sababu ya bei yake kubwa?

Embu angalia hizi mashine

Koulibaly €75 + Chiliwel €50 = €125M

Sancho €100M

Savic €50M
Liver van dijk,alison hawa walisajiliwa madirisha mawili tofauti

Ni ngumu chelsea kuspend 400 kwa wachezaj wa 3 hicho kitu hakiwez tokea maybe katika vipindi tofauti lakini sio kwa wakati mmoja
 
Liverpool walisajili kimkakati, wakasajili wachezaji wa viwango vikubwa (Mane, Salah) kwa bei za kawaida.

lakini pia walimwaga mpunga mrefu kusajili wachezaji wa viwango vikubwa mfano Keita £60M, Allison £66M, Vidjik £82.5M.

Ukisema chelsea haiwezi kununua wachezaji 2 kwa 100M+, sasa mkuu tutakuwa tunajenga timu gani sasa ya ushindani?

Kuna mchezaji yuko sokoni kocha anamuona yule anafit kabisa kwenye mfumo wake kuboresha kikosi, kweli tumuache kumnunua kwa sababu ya bei yake kubwa?

Embu angalia hizi mashine

Koulibaly €75 + Chiliwel €50 = €125M

Sancho €100M

Savic €50M
Halaf tim haiwezi ikajengwa kwa wakati mmoja mkuu
Angalia liver walianza kidogo kidogo na isitoshe saiv kuna ffp huwez ukatumia madirisha mawili more than 400 wakati wewe huuzi
 
Liverpool walisajili kimkakati, wakasajili wachezaji wa viwango vikubwa (Mane, Salah) kwa bei za kawaida.

lakini pia walimwaga mpunga mrefu kusajili wachezaji wa viwango vikubwa mfano Keita £60M, Allison £66M, Vidjik £82.5M.

Ukisema chelsea haiwezi kununua wachezaji 2 kwa 100M+, sasa mkuu tutakuwa tunajenga timu gani sasa ya ushindani?

Kuna mchezaji yuko sokoni kocha anamuona yule anafit kabisa kwenye mfumo wake kuboresha kikosi, kweli tumuache kumnunua kwa sababu ya bei yake kubwa?

Embu angalia hizi mashine

Koulibaly €75 + Chiliwel €50 = €125M

Sancho €100M

Savic €50M
Wewe ujanielewa chelsea haiwezi kusajili wachezaji wawili wenye thamani ya more than paund mil 100 kila moja wakati inamapungufu maeneo mengi kolibaly ana thamani ya paund 100+ m sawa na Sancho hapo ujasajili striker, left back, kiungo mchambuliaji.
 
Ole kaanza kumake headlines magazetini wewe ukiwa bado hujaanza hata chekechea.

Yeye ni legend zaidi ya Lampard toka akiwa mchezaji na sasa kawathibitishia hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anathibitisha nini anashinda kwa kubebwa. Usiweke mapenzi shirikisha bongo yako.

Shule mlienda kusomea ujinga?

Tafsiri ya Legend kwa Man U ni kuifunga Chelsea tu
Huko mbeleni timu nzima ya akina Fred, Martial, Dan James, Wan bissaka, Luke Shaw na wenzake wote wataitwa malegends, we subiri uone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom