nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 6,763
- 11,794
Dah hii timu ni aibu kwakweli,
Lampard unasubiri nini asee!!
Lampard unasubiri nini asee!!
Hapa mimi ndo nachoka kabisa.Dah, hii timu inatia huruma sana, unafungwa na Man Utd mara 3 ndani ya msimu mmoja!
Man Utd hii hii?
Mungu ampe maisha marefu the choosen one super frankDah, hii timu inatia huruma sana, unafungwa na Man Utd mara 3 ndani ya msimu mmoja!
Man Utd hii hii?
Sawa mjukuu wa marehemu sheikh yahyaMsimu wa kocha CONTE tulimfunga man city nje ndani, msimu uliofuata man city wakatufunga nje ndani, huo ndio mpira.
Msimu huu man u kutufunga ni kama wamepata bahati ya kuokota pochi ya mzungu.
Tumekubali msimu huu tumekuwa wadhaifu kwao, msimu ujao huu udhaifu hautakuwepo.
Kweli hamna timu humuPiga mbuzi hawa
Nasikia olachuga kumbe ni kati wanafunzi watanzania waliokwama kule Huwan, ndio maana hapatikani umu, tumuombee corona virus impitie mbali ila ana kihere here sana yuleIla Maguire lina kichwa kikubwa sana kama mtungi wa gas, Jamaa lina kilo 100, kichwa peke yake kilo 30. Kulikaba kwenye kona ni changamoto, Jamaa likiruka juu linasomba wachezaji wanaomzunguka.
Lakini kipigo hakikukwepekaAzipuleta
James
Kovacic
Jana wamenifurahisha sana, walicheza kwenye kiwango bora sana.
Hamuitaki hata "top 4?"Hata tukishinda mechi zote zilizobaki hatuchukui ubingwa.
Sent using Cash Money Wings
Wanazingua hawa jamaa. Yaani jana wameniharibia usingizi bure kabisa.
KANTE KANTE KANTE, kuna jamaa nilimsikia asubuhi kwenye radio anamuongelea KANTE, anasema Ngolo kuandamwa na majeraha mfululizo ni kutokana na nafasi anayechezeshwa kwa sasa kama kiungo mshambuliaji.
Kwamba kupanda juu kushambulia anachezewa rafu na mabeki, kugongwa miguuni tofauti na wakati anacheza kama defensive midfielder yeye ndio alikuwa anawagonga na kuwachezea rafu.
Kumuepusha Kante na majeruhi na maumivu mfulilizo ni kumrudisha kwenye nafasi yake ya defensive.
😀😀😀Chelsea always tunashindana kubeba makombe na sio kumaliza top 4. Angalia historia yetu miaka 10 nyuma kila msimu lazima tutoke na kikombe kimoja kama sio viwili (EPL, UCL, EUROPA, CARABAO, FA)
Labda swali lako ulielekeze Arsenal
Sent using Cash Money Wings
Sawa mpambanaji...Chelsea always tunashindana kubeba makombe na sio kumaliza top 4. Angalia historia yetu miaka 10 nyuma kila msimu lazima tutoke na kikombe kimoja kama sio viwili (EPL, UCL, EUROPA, CARABAO, FA)
Labda swali lako ulielekeze Arsenal