juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Tumchukue kwanza yule serge milinkovic savic yule mtu bhana huyo immobile hata akija kama hakuna creativity yyt tutamuona garasaCiro Immobile kule Italy wanamuita Goal Machine
Liverpool wanamtaka
Chelsea wanamtaka
Spurs wanamtaka
Mechi 17 goli 19 na assists 5
Tumchukue kwanza yule serge milinkovic savic yule mtu bhana huyo immobile hata akija kama hakuna creativity yyt tutamuona garasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmecheki You Tube mze ..so poaKuna tetesi Chelsea wanamtaka LB wa Porto kwa jina ni Alex Telles
Huyu ni LB mbunifu, mwepesi, defensive na mfungaji na pia anba assists za kutosha sio kama akina Alonso na Emerson
Chelsea ikimchukua huyu mbrazil tumeula
Anauzwa kwa €40m
Willian ndo alikuwa mchezaji bora wa Chelsea ule msimu ...yeyey pekee ndo alicheza kwa kujituma zaidi..Willian ni mahaba niue kwa Mourinho, kama ulikuwa hujui basi vuta kumbukumbu kipindi wachezaji wa chelsea walipokuwaga kwenye mgomo uone kama Willian alikuwa na dalili za kugoma hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo kazi aliwezaga yule mnaigeria aliyeenda Monaco...jamaa alijua kinoma kuleta watu wa kazi japo kuna sajili alikwama...Chelsea imekuwa joka la kibisa, hatuna tena nguvu ya manunuzi sokoni. Dembele, werner sio wachezaji wa kutedengulia.
Basi wangesign kwanza wabaki kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sancho anaweza kabisa kuendana vizuri na mfumo wa Lampard...Sancho ni Useless??? we jamaa haupo serious.... Huu msimu tu peke yake Sancho amekuwa involved kwenye 18 goals (9 Assists and 9 goals in 15 matches). Sancho anapiga hata goals za mbali, kitu ambacho wachezaji wengi wa chelsea wanakosa.
Hata huyo dembele ambaye unamwita useless naona unasahau kwamba Lyon wamekuwa na msimu mbaya wanashika nafasi ya 12 kwenye msimamo huku huyo dembele akiwa na goals 10 wakati anayeongoza kuwa na goals nyingi ni Ben Yedda ambaye ana goals 13.
Pia dembele anaonekana kuwa na goal hizo 10 sababu team ina wafungaji wawili wakubwa ambapo Depay naye ana goals 9.
Mimi wasiwasi wangu kwa dembele ni kutokuwa na assists. Je jamaa anaweza kuwa mchoyo?
Sijui mwenzetu mpira unafatilia wapi?
View attachment 1312702
View attachment 1312703
Sent using Jamii Forums mobile app
Apewe tu 180K Tammy ametutoa mbali msimu huu, bila ya yeye tusingekuwa top 4, tulishaambiwa ni kushuka daraja na wengine walishatupa namba 10 kwenye mid table.Chelsea tulishajichanganya kumpa odoi 180K. Maddison Aje tuu tumpe hiyo 180K. Ila tupunguze matumizi kwa kuuza magarasa wanaokula mshahara bure.
Tukimpata striker mkali, hakuna kumpa Tammy Abraham 180k anayotaka. Tutampandisha mpaka 80K.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni tetesi au breaking newsWe jamaa unaonekana wafanyakazi wako unawalipa pesa bure bure.
Kwanza mgt ya chelsea inajilaumu sana kumlipa odoi 180K, ndio maana wamesimamisha mazungumzo na TAMMY wanafocus kumpata striker mkali.
Wanaamini wakimpata striker mkali labda watamlipa hiyo 180K. Na Tammy akiwa sub hatadai tena huo mshahara.
Na Tammy anadai huo mshahara ili hata kama atatokea benchi huku account inatuna tuu.
Naamini chelsea sasa hivi inamtafuta STRIKER namba 1 na sio sub ya Tammy.
Sent using Jamii Forums mobile app