lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,694
- 25,910
Wapenzi wenzangu, kwenye mtandao wa English Premier League Injuries & Suspensions - Premier Injuries inaonyesha Chelsea ina majeruhi wawili tu ambao hawawezi kuichezea timu. Tomori na Giroud. Je hii ina maana RLC kapona kabisa na yuko fit kucheza?