Kwani Chelsea ndio yenye defense mbovu kuliko zote EPL? kwa nini hizo timu zenye defense mbovu kama Arsenal kipa wao anaongoza kwa saves nyingi? Tatizo kubwa na la msingi la Kepa ni mentality yake. Kama kipa anaamini makossa ya yeye kufungwa magoli mengi ni ya mabeki unategemea atajifunza hapo?. Leno ya Arsenal anaongoza kwa kuwa na mabeki wabovu ila save zake ni kubwa
Kepa kadaka mara 60, magoli 71 kashafungwa
Msimu huu pekee kadaka mara 24 kashafungwa magoli 32 na cleansheet 5, saves 41
HATA KAMA CHELSEA WAKIMSAJILI CB BADO KEPA ANATAKIWA KUONDOKA AU KUWA BACKUP GK