..honestly sielewi hiyo rumor ina base gani. Like why would Marina refuse to Kepa's sale??
Kwani Kepa ndio face of the team kwamba ni asset nje ya uwanja kwa mauzo ya jersey n.k?? Maana Marina ni a business woman.. hizo ndio sababu likely zinazoweza kumfanya awe against na a sale of a flop like Kepa.
Think of this..How do you contain the most expensive GK in history kwenye bench for the long run ??
How do you have your highest paid player on the bench for the long run?? Maana kepa ndio anaongoza kulipwa pesa mingi pale Stamford Bridge. (Same as Ngolo)
If Cfc are going for another shot stopper kwenye transfer window, basi jua Kepa is gone for good. Kwa bei ya hasara kwa Cfc obviously.
View attachment 1355196
Sent using
Jamii Forums mobile app