. Kuna sehemu nmesoma Chelsea wanataka golikipa atakae mpa challenge kepa kugombania namba ,kutokana kwamba cabarrelo yupo kashalidhika na nafasi yake so hana challenge kwa kepa
Kiongozi.. kwenye swala la "makipa" liko tofauti sana na other outfield players.
Kwa makipa, There's only ONE that plays. Hamnaga this month huyu..that month yule.
Kepa analipwa £150k a week.. Board ya Cfc walivo wagumu recently hawawezi ku support akae bench as a second GK.
Also Kepa na agent wake hawawezi afiki. He's 25yrs.. anataka pia apate palying time ili aboreshe nafasi za kuitwa nationa team.
Good business ni wauze.. Walete a more capable GK.. na Caballero all his life has been a 2nd GK.. sioni kama ana tatizo na hilo so far.
Sent using
Jamii Forums mobile app