Kante kaweka mkataba mpya wa miaka mitano hadi 2023 tangu 2018 ambapo analipwa Paundi 290,000 kwa wiki. Alikuwa ndio top paid player hata Zaidi ya Eden Hazard
Kante's new deal could be worth up to £290,000 per week.
Mwaka jana mwishoni Odoi kaweka mkataba mpya wa miaka mitano hadi 2024 kwa malipo ya paundi 180,000 kwa wiki
Hudson-Odoi signs new five-year £180,000-a-week Chelsea deal until 2024
Hayo mablogu ya kuuza news sio ya kuziamini, hata kama hiyo news imetoka kwenye media maarufu, taarifa za website huwa haziondolewi hata kama ziko outdated
Njia rahisi ya kujua mshahara wa mchezaji ni kutafuta latest contract yake na timu