Mkikaza hata kumbe mnachukua
Mkikaza hata kumbe mnachukua
Chelsea ina mechi ngumu hadi tar 4/4 2020
Mungu atusaidie
Mentality ya timu isipobadilika, kabla ya tar 4/4 tutakuwa tumeshasahau top 4
Mbn mwez wa 4 ni mbali kitu mwezi 3 hapo kama tukiwA bado tupo top4 ni jambo la kumshuru MunguChelsea ina mechi ngumu hadi tar 4/4 2020
Mungu atusaidie
Mentality ya timu isipobadilika, kabla ya tar 4/4 tutakuwa tumeshasahau top 4
Kumbe mda mwingine unakuwaga mzalendo?!!tot wabovu wanafungika kirahis, game y man city wameshinda kibahat hakuna cha morale. Man yu nao wale wale tu ......... game ngumu ya kutisha ni bayarn
Atakupangia akina nani kweli?!!Mtu akikosoa ndio sio mzalendo?? Hizo game tuna uwezo w kushinda ila kocha tulienae utashangaa kikosi atakachopanga!!
Yule Mrusi akiona mambo kama haya ndo hataki nunua kabisa. Anaona bora auze tuChelsea make £174m profit - the biggest of any club in the world - over the last two transfer windows... while Aston Villa run up a loss of more than £140m (second only to Spanish giants Real Madrid)
Mkuu comb ya kova na jorgi ilikuwa ishakubali na hawa wakina mount,abraham waliperform vizur tu wakati huoUtashangaa barcley yupo ndani wakat kova anasugua bench! mi hapo ndio sielewagi, au joginho nje barcley ndani mh!, au game unakuta limemkataa mchezaji huyu sab anafanyiwa mwingine. Sometym najiulizaga ile partnership ya Joghno na kova kipindi flani hakuionaga?
Haya ni maoni yangu, mana kila mtu huwa na mtazamo wake, ndio mana kocha nae ana mtazamo wake kuwa barcley ni messi wa chelsea. Maoni yangu sio kwamba sio mzalendo.
Summer sasa tusajilj sio marina atuletee wachezaj ambao hawaelewekiChelsea make £174m profit - the biggest of any club in the world - over the last two transfer windows... while Aston Villa run up a loss of more than £140m (second only to Spanish giants Real Madrid)
Hahahaaaaa aya bhana tuko pamoja mkuuUtashangaa barcley yupo ndani wakat kova anasugua bench! mi hapo ndio sielewagi, au joginho nje barcley ndani mh!, au game unakuta limemkataa mchezaji huyu sab anafanyiwa mwingine. Sometym najiulizaga ile partnership ya Joghno na kova kipindi flani hakuionaga?
Haya ni maoni yangu, mana kila mtu huwa na mtazamo wake, ndio mana kocha nae ana mtazamo wake kuwa barcley ni messi wa chelsea. Maoni yangu sio kwamba sio mzalendo.
Mbn mwez wa 4 ni mbali kitu mwezi 3 hapo kama tukiwA bado tupo top4 ni jambo la kumshuru MunguView attachment 1353469
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mchezaji anaongoza kwa kubebwa ni mount huyu dogo hata acheze vibaya kiasi gani ana number ya kudumu lakini kovacic akizingua mechi moja tu benchi hapa ndo lampard anaponikasirisha.Abraham game kubwa zote kashindwa kuscore kasoro tu game moja na Arsenal lakini kila game lazima aanze hiv anashindwa vp kumuamini Giroud kwanini asiwe anampa hata game hiz kubwa.Wewe jamaa unaongea ukweli japo wanakuponda ila me na wewe tupo pamoja.Utashangaa barcley yupo ndani wakat kova anasugua bench! mi hapo ndio sielewagi, au joginho nje barcley ndani mh!, au game unakuta limemkataa mchezaji huyu sab anafanyiwa mwingine. Sometym najiulizaga ile partnership ya Joghno na kova kipindi flani hakuionaga?
Haya ni maoni yangu, mana kila mtu huwa na mtazamo wake, ndio mana kocha nae ana mtazamo wake kuwa barcley ni messi wa chelsea. Maoni yangu sio kwamba sio mzalendo.
Tatizo sio Abramovich mbona hela anatoa na dirisha la January katoa paund mil 150 tatizo letu kubwa ni board ya usajili.Yule Mrusi akiona mambo kama haya ndo hataki nunua kabisa. Anaona bora auze tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah aah aah! Acha uchokozi kijana.Back In Training.
Naifurahia sana picha ya mwisho.View attachment 1354353View attachment 1354354View attachment 1354355View attachment 1354356
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaponda matusi sio point, Sasa kama point inasindikizwa na matusi, why?Tena mchezaji anaongoza kwa kubebwa ni mount huyu dogo hata acheze vibaya kiasi gani ana number ya kudumu lakini kovacic akizingua mechi moja tu benchi hapa ndo lampard anaponikasirisha.Abraham game kubwa zote kashindwa kuscore kasoro tu game moja na Arsenal lakini kila game lazima aanze hiv anashindwa vp kumuamini Giroud kwanini asiwe anampa hata game hiz kubwa.Wewe jamaa unaongea ukweli japo wanakuponda ila me na wewe tupo pamoja.
RLC ni bora kuliko mount ujio wake utatupa haueniBack In Training.
Naifurahia sana picha ya mwisho.View attachment 1354353View attachment 1354354View attachment 1354355View attachment 1354356
Sent using Jamii Forums mobile app