42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Dah kuachia wachezaji hatutaki na kusajili hatutaki. Dah haya ni majanga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Willian kama alitaka kwenda BARCA tukamkatalia, ili hali mkataba wake unaisha mwisho wa msimu huu, tutegemee atacheza chini ya kiwango, haioni tena future ndani ya chelsea.
Sent using Cash Money Wings
Sent using Jamii Forums mobile app