Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Nadhani ulichoongea hapo hakiwezi kuwa mastared kwa msimu mmoja. Inahitaji muda wa walau hata msimu mzima kuweza kutengeneza duo au patnership konki. Umetaja Liverpool na Man City hao imewachukua zaidi ya misimu miwili kuwa vile.A:- MAELEWANO UWANJANI YANAKATA YANARUDI YANAKATA YANARUDI.
Kovacic - Jognho - Kante
Pulisic - Tammy - Willan
Pulisic - Batshuayi - Willan
B:- MAELEWANO HAKUNA UWANJANI
Mount - Jognho - Kante
Mount - Jognho - Barkely
Mount - Kante - Barkely
Odoi - Tammy - Willan
Odoi - Tammy - Pedro
Mount - Tammy - Willan
Mount - Tammy - Odoi
Odoi - Batshuayi - Willan
Mount - Batshuayi - Willan
Mi nadhani matatizo ya chelsea uwanjani ni zaidi ya viwango vya wachezaji.
Inakuwaje wachezaji hakuna mawasiliano mazuri ya kiuchezaji? Tunakuwa kama tunabahatisha mifumo ya uchezaji
Angalia man city, liverpool wanaelewana sana sana kuanzia nyuma mpaka mbele ile flow ya mpira unaiona kabisa.
Sent using Cash Money Wings
Tunahitaji muda zaidi na naomba Lampard apewe muda kujeng timu hizi timua timua za makocha zinaturudisha nyuma sana.
Sent using Jamii Forums mobile app

