Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndugu zangu wa Chelsea imefika muda tubadilike sasa. Huu ni wakati wa kujenga timu ya ushindani mpaka misimu hata 4 na zaidi. Anavhokifanya Lampard ndio kinawashinda fans wengi wa hii timu ni swala la muda tu lakini sisi tunakosa uvumilivu wengi wanachojua ni kalalama tu. Ni kweli inauma kufungwa na midtable teams hasa nyumbani lakini nomba tumuamini Lampard anajua anachokifanya. Hakuna kitubkilikua kinakera kama msimu huu unafanya vizuri then msimu unaofuata ni matatizo mfano kipindi cha Anceloti, Mou na Conte yote ni sababu hakukua na timu ya muendelezo (UJENZI) Kulikua na timu ya kukupa matokeo ukija msimu mwingine wachezaji wamechoka.

Hata Liver nao walianza ivi ivi wkabezwa lakini leo ndio anaongoza kwa kutembeza vichapo kwa sisi tuliowabeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea hatuwezi cheza mipira ya juu saiv. Me sijui wanaosajili wanaangalia nini. Hata kwenye kufunga ni hivohivo.

Miaka ya zamani unakuta kuna Terry Ivanovic na Drogba. Ilikuwa zikipigwa kona hata 3 tu manakaa standby maana lolote linaweza kutokea.

Saiv tumekuwa wadwanzi.

Hamna goals za vichwa wala mashuti ya mbali...

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado tuna shida sana kwenye mipira ya kutenga, kona, fauls na mipira ya kichwa. Lampard na jopo nina uhakika wanaliona hili watalifanyia kazi mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanavyosema kikosi cha decade ni miaka 10. Ina maana ni wachezaji waliokuwa bora ndani ya hiyo miaka 10 (2009-2019). Hata kama aliwasha moto mwaka 1?

Najaribu kufikiria ivanovic vs Azipuleta ndani ya hiyo miaka 10 nani alikuwa bora sana.



Sent using Jamii Forums mobile app
Weee acha masihara... Hebu waulize Liverpool ivanovic ni nani. Watakupa story. Maana alichowafanyia nusu fainali ile ya champions league ya mwaka 2009 siyo poa...

Halafu decade ni kuanzia 2010 na siyo 2009.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inanovic katika peak yake amefanya mambo makubwa kuliko kuliko Azplicueta akiwa katika peak....
Wanavyosema kikosi cha decade ni miaka 10. Ina maana ni wachezaji waliokuwa bora ndani ya hiyo miaka 10 (2009-2019). Hata kama aliwasha moto mwaka 1?

Najaribu kufikiria Cahill vs Azipuleta ndani ya hiyo miaka 10 nani alikuwa bora sana.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weee acha masihara... Hebu waulize Liverpool ivanovic ni nani. Watakupa story. Maana alichowafanyia nusu fainali ile ya champions league ya mwaka 2008 siyo poa...

Halafu decade ni kuanzia 2010 na siyo 2009.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa decade ilipaswa kuanzia 2009 ili itimie decade ukisemea 2010 itakuwa miaka 9 haijafika 10 kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanavyosema kikosi cha decade ni miaka 10. Ina maana ni wachezaji waliokuwa bora ndani ya hiyo miaka 10 (2010-2020). Hata kama aliwasha moto mwaka 1?

Najaribu kufikiria Cahill vs Azipuleta ndani ya hiyo miaka 10 nani alikuwa bora sana.

Kuna walioachwa kikosini

Fabrigas
Balack
Juan Mata



Sent using Jamii Forums mobile app
Cahili na alzipicueta wanaocheza nafasi tofauti.Ila nimeuzunika kukosekana kwa Fabregas ila kwangu ningemuweka alzipicueta instead of ivanovic, alzipicueta ni mchezaji ambaye ana consistency performance ya aliyajuu kuliko mchezaji yoyote pale Chelsea ni Mara chache Sana anakuwa chini ya kiwango.
 
Huyo ballack gani unaomuweka... kwa decide hyo barrack kacheza miezi 3.... 2009/2010.. utamuwekaje sasa
Wanavyosema kikosi cha decade ni miaka 10. Ina maana ni wachezaji waliokuwa bora ndani ya hiyo miaka 10 (2009-2019). Hata kama aliwasha moto mwaka 1?

Najaribu kufikiria ivanovic vs Azipuleta ndani ya hiyo miaka 10 nani alikuwa bora sana.

Kuna walioachwa kikosini

Fabrigas
Balack
Juan Mata



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ballack gani unaomuweka... kwa decide hyo barrack kacheza miezi 3.... 2009/2010.. utamuwekaje sasa
Wanavyosema kikosi cha decade ni miaka 10. Ina maana ni wachezaji waliokuwa bora ndani ya hiyo miaka 10 (2009-2019). Hata kama aliwasha moto mwaka 1?

Najaribu kufikiria ivanovic vs Azipuleta ndani ya hiyo miaka 10 nani alikuwa bora sana.

Kuna walioachwa kikosini

Fabrigas
Balack
Juan Mata



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
At least wewe uliyeweka hivi tunaweza kuelewana.... Hii ni misimu 10.... ila ukimuambia tu mtu 2009 mpaka 2019 hii ni miaka 11
Mkuu ni hesabu rahisi sana 2009/2010..2010/2011..2011/2012..2012/2013..
2013/2014...2014/2015...2015/2016...2016/2017
2017/2018...2018/2019. Au tumia Arithmetic series utapata ni miaka 10.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Hapo ndio mashabiki tunatofautiana wengine tunataka wasajiliwe wachezaji wazoefu tujenge strong team. Wakina MOUNT wabaki sub waendelee kupata uzoefu taratibu baadae wapewe majukumu rasmi.

Klop alisajili salah, mane, vidgik, keita, fabinho ni wachezaji wenye uzoefu wakajenga team strong na mafanikio wanapata. Hivyo hivyo kwa man city. Hawakuona wachezaji wa Academy?

Tunawapenda Mount, Tammy, Tomori, Lamptey, odoi na wengine hawa ni hazina yetu ya baadae, hizi ni silaha zetu za siri tunazirutubisha taratibu. Ila kwa sasa usajili wa wachezaji wazoefu haukwepeki. Tusiwategemee hawa madogo.

Mashindano ni mengi UEFA, EPL, FA, Carabao yanayohitaji kikosi kipana na chenye ubora. Kuwabebesha madogo mzigo mzito itatucost wataishia kuwa na fatique and low perfomance.


Sent using Jamii Forums mobile app
Sikua na maana ya kuwategemea madogo peke yake maana yangu ilikua ujio wa wote wawili Isco na Coutinho ni sawa na kazi bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom