Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Siku zote hata mwanaume akimtongoza demu akimkosa ataanza kusingizia mara demu mwenyewe mbaya hana mvuto

ndo wewe sasa unafanana na aina hiyo ya wanaume umeshindwa kutufunga ulikuwa unaongoza kwa dk 83 na baada ya dk 90 umegongwa viwili unaanza kusema kuwa refa ametubeba

Mpira hauko hivyo unavyoonekana hauna ukomavu wa mpira
Yaani bila mbeleko ya yule refa aiseeh tungewakeketa kwa chupa hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umeshindwa kutufunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote hata mwanaume akimtongoza demu akimkosa ataanza kusingizia mara demu mwenyewe mbaya hana mvuto

ndo wewe sasa unafanana na aina hiyo ya wanaume umeshindwa kutufunga ulikuwa unaongoza kwa dk 83 na baada ya dk 90 umegongwa viwili unaanza kusema kuwa refa ametubeba

Mpira hauko hivyo unavyoonekana hauna ukomavu wa mpira Mbona umeshindwa kutufunga

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan kwa nini huyo refa kapewa rungu..?
 
According to the Express, Chelsea are planning a move for young CSKA Moscow striker Fyodor Chalov this month as Frank Lampard seeks to bolster his side for the second half of the season.

The paper reports the Blues are plotting a £20million January move for the Russian after postponing plans to sign Timo Werner from RB Leipzig and Moussa Dembele from Lyon.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni rumours tu!
Timo anaweza uzwa wao wanachotaka ni timu zimshindanie bei iwe juu
 
Ukimuondoa Timo Werner na Jadon Sancho, wachezaji wengine ambao Chelsea inawafukuzia kama ni kweli ni caliber ya Westham, Newcastle sijui kwa nini
 
Siku zote hata mwanaume akimtongoza demu akimkosa ataanza kusingizia mara demu mwenyewe mbaya hana mvuto

ndo wewe sasa unafanana na aina hiyo ya wanaume umeshindwa kutufunga ulikuwa unaongoza kwa dk 83 na baada ya dk 90 umegongwa viwili unaanza kusema kuwa refa ametubeba

Mpira hauko hivyo unavyoonekana hauna ukomavu wa mpira Mbona umeshindwa kutufunga

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kumbe nyie mlikuwa mademu kwetu hahahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom