OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Umetisha mzeeArsenal anakufa mbili2
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha mzeeArsenal anakufa mbili2
Pamoja
Tungekuwa na kocha tungetisha sana kuliko hata LiverpoolUkitaka kujua kocha hatuna, sikilizia kikosi atakachokipanga next.
Kutokana na ukweli kwamba hatukufanya usajiri na pia tulimuuza mchezaji wa muhimu bila replacement hili ni jambo la kawaida kutokea. Kwa kuwa footwork inaonekana mm bado nina imani na Frank. Apewe muda na wachezaji watakao imarisha timu ndipo tumpime. Mpaka hapa Lampard kafanikiwa sana. Kaongeza thamani ya wachezaji mfano Tammy, Mount, Tomori ukitaka kuwauza leo si chini ya £50 kila mmoja. Let's hope the best are on a way, we are the blues.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumkashifu Timo Werner siyo sahihi.Kuna watu ni wanafiki aisee! Hivi kigezo kipi kinatumika kusema Lampard ni kocha mbovu? Au ni hisia tu za kishabiki?
Watu wanasema Tammy haisaidii Chelsea! hii ni akili kweli? Hivi Top four legue Ulaya wachezaji wangapi wenye umri wa Tammy wana magoli 12?
Ni maajabu unamshabikia mchezaji ambaye hajaprove kitu EPL alafu mchezaji mwenye magoli 12 a half a season unamuona si kitu.
Huyo Timo Werner akija EPL msimu wa kwanza hata magoli 15 yatampa shida kuyafikisha.
Miaka miwili ijayo Tammy na Mount watakuwa lulu Ulaya. Tusirudie ya De Bruyne, Lukaku na Salah. Huu ndo muda wa kuwachezesha Tammy na Mount.
Hivi Hazard aliwahi kufikisha magoli 18 EPL katika msimu wowote alioichezea Chelsea. And still is a legend
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu ni wanafiki aisee! Hivi kigezo kipi kinatumika kusema Lampard ni kocha mbovu? Au ni hisia tu za kishabiki?
Watu wanasema Tammy haisaidii Chelsea! hii ni akili kweli? Hivi Top four legue Ulaya wachezaji wangapi wenye umri wa Tammy wana magoli 12?
Ni maajabu unamshabikia mchezaji ambaye hajaprove kitu EPL alafu mchezaji mwenye magoli 12 a half a season unamuona si kitu.
Huyo Timo Werner akija EPL msimu wa kwanza hata magoli 15 yatampa shida kuyafikisha.
Miaka miwili ijayo Tammy na Mount watakuwa lulu Ulaya. Tusirudie ya De Bruyne, Lukaku na Salah. Huu ndo muda wa kuwachezesha Tammy na Mount.
Hivi Hazard aliwahi kufikisha magoli 18 EPL katika msimu wowote alioichezea Chelsea. And still is a legend
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisemi asije striker mwingine. Point yangu ni kwamba striker anayekuja anakuja kuongeza ushindani lakini pia kuongeza striking force. Haji kumreplace Tammy.. Tammy anaoffer vitu vingi uwanjani. Je ya Luca Jovic umeyasahau? Dembele aliyetoka Dortmund?Kumkashifu Timo Werner siyo sahihi.
Kiuchezaji Timo Werner yupo tough sana na analijua goal kuliko Tammy. Anafunga goals za mbali pia anafunga goals za Vichwa.
Huu msimu peke yake kwenye Bundesliga Timo werner amecheza match 17 tu ila ana goals 18 na assist 6. Unawezaji kumuunderrate mtu kama huyu.?
Huyo Tammy abraham akipata majeruhi. Niambie una Striker gani wa kumuweka pale mbele?
Pia Tammy ameshindwa kuonesha makali kwenye Big games.
Kuwa na Tammy kusitufanye tubweteke na tushindwe kutafuta Striker mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni uwanja wetu wa Stamford bridge kila team zikija kwenye uwanja wetu wao wanakuwa wenyeji sisi ndo tunakuwa wenyeji sisi tunafanya vizuri tukiwa away.Sasa na nyie mnakazaga mapaja kwa wakubwa kisha mnaenda kugawa points kwa watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndicho kitu lampard alikioongelea juzi juzi tu hapa khsu salah na de bruyneKyatile unaposema "tusirudie" unamaanisha nn? Kwahiyo bodi ya usajili ya Chelsea inapatikana kwenye huu uzi sio? Ulivyo andika utazani wako humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jamani ninaomba twende tukashambulie kwenye uzi wa arsenal kama nyuki.
Sent using Jamii Forums mobile app