Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mbona wanacheza usenge sikuhizi hawa watoto ? . Mi sielewi . Chelsea sio ya kufungwa na bournamoth au westham huu ni ungese wa hali ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio maana halisi ya shabiki maandazi,maana hata mpira wenyewe hufuatilii katika mechi 5 za mwisho chelsea wamepigwa mara 3 na bournamouth na vipigo vikali vikali kapokea hapo darajani...

Kwa faida yako
Screenshot_20191214-220221.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wakati wa mzee Sari hali ilianza kuharibika December na February tukaoza kabisa. Kuna pepo gani nyakati hizi
Timu haina creativity yeyote kule mbele, one mistake ya kutomfanyia marking tunbafungwa kizembe
Sasa gap ya sisi na Shefield ni point 4 sijui hao BIG teams hasa Man u na Spurs kesho itakuwaje!
 
Hizi mechi tunazofungwa alaumiwe kocha kwa kuendelea kutest team badala ya kusubiri FA akatest team huko. Wee unamuondoa Jorginho ili umuweke Odoi tangu lini, mtu anayegawa mipira kwa adui kama Kepa!. Unamuondoa Willian ili umueweke Batsuayi? Angemuondoa Mount na kumweka Kovacic
Hata tukisajili kocha asipomaitain first XI tutakunywa sana tu
 
Team inapopata nafasi ya kufunga inapoteza hakuna namna itafunga Hugo mount alipata nafasi ya Ku unlock game kashindwa ,hii ndio sababu Watford wako nafasi ya mwisho na sisi tumeiga mwenendo wao
 
Jiandae kula mchemsho wa kande kwa game ya Bournaboys,Totts,Everton na Gunnerz....

Hifadhi hii comments huku tukiomba uzima na afya njema..

Everton √
Bournemouth √
Tott ???
Gunnerz ???

Punguza uchawi bro
 
Ilianza hivi ↓↓

NEXT
  1. Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY correction 27/11
  2. West Ham 30/11 - HOME
  3. Aston Villa 4/12 - HOME
  4. Everton 7/12 - AWAY
  5. Lile - UEFA 10/12 - HOME
  6. Bournemouth 14/12 - HOME
  7. Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
  8. Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
  9. Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana

Then ikaja hivi ↓↓

Apa naona ushindi mwanzo mwisho ..sioni wa kutuzuia apo..

Kila la kheri Chelsea

Wa kuwazuia mbona tunawaona Mkuu!

Umeshaliwa 3 katika hizo 9.

1) West Ham ×
2) Everton ×
3) Bournemouth ×

Na bado hesabu inaendelea
 
Lampard on poor possession play
“Centre back to centre back, full back to full back, back to centre back, back to full back and I don’t want to come and see that." Centre backs made 117 & 110 passes today. Abraham, Batshuayi, Willian, Pulisic, CHO and Mount made 97 between them
 
Chelsea FC.

No forward with caliber like Diego Costa,

No master class passes for final assistance like Sesc Fabregas,

No the best defender like John Terry.

Aluta continua with the youngest coach without historical background of trophies carrying success...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kwa kocha si sawa... akifanya vizuri mnampongeza ila akifanya vibaya mnasema hana historia ya mafanikio... siyo sawa kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lampard anaipotza trtbu ile partnership nzur y jorginho n kovacic ,hao jmaa walitokea kuelwana sna n ndo kw kias kikubw walikua wana control mechi.. kwa ssa namuon anamuondoa trtbu kikosin kovacic ambae alikua form.
 
lampard anaipotza trtbu ile partnership nzur y jorginho n kovacic ,hao jmaa walitokea kuelwana sna n ndo kw kias kikubw walikua wana control mechi.. kwa ssa namuon anamuondoa trtbu kikosin kovacic ambae alikua form.
Lampard ni mpuuzi kakariri game za team kubwa ndo anawachezesha kovacic, jorginho na kante
 
Club need to buy new 1st eleven players

Sent using Jamii Forums mobile app

Tammy

Pulisic -
Mount - William

Joginho - Kante

Ema -
Zouma - Rud - Azpi

Kepa

Hapo najua kisingizio kitakuwa tuna kikosi cha Watoto!

Hivi hapo ukitoa Tammy, Mount na Zouma ni nani ambaye si experienced player?

Pulisic ni senior tokea Dortmund
Hao wengine hata last season tulipigana nao mateke.

Hapo muache visingizio tu ya kuwa hamuna kikosi cha Wazoefu.
 
Nakumbuka kwenye Game ya Liverpool vs Man City, Washabiki wa Chelsea waliiombea game hii iishe Kuwa Sare.

Lengo likiwa eti ni kupunguza Gape la point na Liverpool ili wamkaribie kwenye kuwania Ubingwa ha ha ha ha ha.

Hivi ni nini kilichowafanya mujiaminishe kuwa nyinyi ni Title contender?

Kweli vituko haviishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom