mr94
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 286
- 309
Ko unafurahia Chelsea kuendelea kufungwa na hyo timu, mbna hyo ni excuses simple sabaWewe ndio maana halisi ya shabiki maandazi,maana hata mpira wenyewe hufuatilii katika mechi 5 za mwisho chelsea wamepigwa mara 3 na bournamouth na vipigo vikali vikali kapokea hapo darajani...
Kwa faida yakoView attachment 1292720
Sent using Jamii Forums mobile app

Sydrome ya Sarriball bado iko kwa wachezajiLampard on poor possession play
“Centre back to centre back, full back to full back, back to centre back, back to full back and I don’t want to come and see that." Centre backs made 117 & 110 passes today. Abraham, Batshuayi, Willian, Pulisic, CHO and Mount made 97 between them
Krisimasi na mwaka mpya tutapita tukiwa top 4 ila chamtema kuni tutapata, kawaida huu mwezi ni mgumu kwa timu zilizokuwa likizo, hata Man city, Leicester city, watapoteana tu mwezi huuEverton √
Bournemouth √
Tott ???
Gunnerz ???
Punguza uchawi bro
Kocha ana sehemu yake hasa kwenye sub, sio mechi hii tu fuatilia mechi zote tulizofungwa second half, anatoa defender au MF anawajaza washambuliaji mbele kama ndio tactics ya kupata magoli kumbe anatoboa karaiHapa kwa kocha si sawa... akifanya vizuri mnampongeza ila akifanya vibaya mnasema hana historia ya mafanikio... siyo sawa kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mmojawapo na kila mashabiki wa Chelsea alitaka hivyo ila sio kuwania ubingwa, kama hichi kikosi kikibaki hivi hivi labda msimu wa tatu ndio Chelsea itakuwa na sifa ya kuwania ubingwa, kwa kikosi hiki Lampard alitakiwa asipoteze Carabao na FA, sasa Karabao kashapoteza labda apambane na FA.Nakumbuka kwenye Game ya Liverpool vs Man City, Washabiki wa Chelsea waliiombea game hii iishe Kuwa Sare.
Lengo likiwa eti ni kupunguza Gape la point na Liverpool ili wamkaribie kwenye kuwania Ubingwa ha ha ha ha ha.
Hivi ni nini kilichowafanya mujiaminishe kuwa nyinyi ni Title contender?
Kweli vituko haviishi.
Labda tukisajili striker bora Zaidi ya Abrahamu, ila kama haitakuwa hivyo, bado Tammy ni mzuri akipewa huduma ya mipira mizuri, jana timu haikuwa na creativity yeyote. Hata strikers kama akina Aguero usipomhudumia hafungiHichi kikosi kisibaki hivi hivi kinaumiza sana moyo. Kikosi kinahitaji maingizo mapya ya viwango vya juu na wazoefu.
Wachezaji waliopo kwa sasa wanaostahili kubaki 1st eleven ni:-
Rudiger
Kante
Pulisic
Kovacic
Joginho
Nafasi 6 zilizobaki zijazwe na maingizo mapya.
Na wachezaji wa sub ni:-
Keppa
Zouma
Tomori
James
Emerson
Mount
Abraham
Odoi
Lfc
Wachezaji wa kuuzwa:-
Azipuleta
Willan
Pedro
Giroud
Batshuayi
Alonso
Christensen
Barkely
Bakayoko
Drinking water
Victor Mosses
Zappacosta
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu tunahitaji wachezaji wapya 6 waingie moja kwa moja 1st eleven.
Sent using Jamii Forums mobile app
tarehe 9/12 (jumatatu) muheshimiwa King Ngwaba aliandika maneno yafuatayo kwa ufupi.Hatuna LB na RB wa kupanda hata Azpi bado ana udhaifu kwenye kupanda, Emerson ndio kabisa anataka kuiga ugonjwa wa Alonso,
Kwa urgency asajiliwe LB na winger mwenye uwezo wa kutengeneza nafasi, hiyo idara jana ilikufa kabisa, winger wazuri ndio watakaoiwezesha timu kucheza kwenye final third
Na kwa quality ya wachezaji hao sio rahisi kuwapata ndani ya msimu mmoja, hata Liverpool au Mancity hawakujenga timu kwa mkupuo hivyoWachezaji 6 wa kawaida wa kuingia 1st 11 itahitaji Lampard apewe £300m unadhani itawezekana?
Hapo nimeweka kwa bei ya £50m kila mmoja ndiyomana nikawaita 'Wa Kawaida'.
Ukitaka Wachezaji wa maana kwa soko la sasa uanze na £65m na kuendelea.
Bado maoni yangu ni yale yale, wanaotenegenza nafasi ni washambuliaji ambao ni wingers na attacking MF, mabeki wakiziona hizo nafasi wanapeleka mipira huko. Hayo ndio maoni yangu na kama unakosoa, kosoa katika muktadha huotarehe 9/12 (jumatatu) muheshimiwa King Ngwaba aliandika maneno yafuatayo kwa ufupi.
Reece bado hajaprove Kuwa ni beki wa kumtumainia! Still ana safari ndefu! Kibaya zaidi namhisi ni New version ya Aroan Wan Bissaka ambaye anajua only Kukaba na sio kushambulia na kucreate nafasi za kufunga, jambo ambalo ni old football.
akaendelea kuandika:
Unajua kwanini Man City ukiwabana watu 3 tu (KDB, Sterling na Bernardo) unawamaliza kiurahisi?
Kwasababu mipira yote wanategemea Midfielders katika kutengeneza mashambulizi. Fullbacks zao hazikovizuri kwenye kutengeneza nafasi, Only Mendy ndiyo FB wa Man City amabaye anauwezo wa kucreate nafasi.
Ni sawa na Chelsea, akipotezwa Joginho na Kovacic mechi kwenu inawawia ngumu coz Fullbacks zenu haziwezi kutengeneza nafasi.
Na hii ndiyo inayotusaidia Liverpool kushinda game mara kwa mara! Tuko very shit kwenye Midfield (Hendo-Fabinho-Gini) ambao wote kwa pamoja msimu mzima hawafikishi assists hata 7 lakini tunatetengeneza nafasi nyingi za kufunga kwa sababu ya Kuwa na Fullbacks ambazo ni nzuri kwa kushambulia na kutengeneza nafasi za kufunga.
muheshimiwa lembu mmoja kati ya mchangiaji anayenivutia kusoma comment zake humu ndani ulimjibu hivi:
Nikuulize swala, Kwani kwenye football wanaotengeneza chances ni mabeki au washambuliaji? Mimi nafikiri sio kazi ya TAA kutengeneza nafasi kule Liverpool bali ni akina Sala, Mane, Firmino na wengineo mbele watengeneze nafasi ili wapasiwe mipira na hao mabeki au viungo au hata kati yao washambuliaji wenyewe kwa wenyewe.
Au labda maana ya kutengeneza nafasi tunatofautiuana
Mimi kwa maoni yangu japo kazi ya kutengeneza nafasi ni mawasiliano ya wahusika kwenye move ila mshambuliaji ndio stakeholder mkubwa kwenye hili.
ni siku tano tu zimepita na hatimaye umerudi pale pale alipokua anapashikilia king ngwaba
Watatu kwa quality inayotakiwa pesa haitatosha Ndugu au tuambulie kuuza garasha na kuleta garasha, kwa January na kwa mil 150 tuwalete wawili tu na hizo nafasi zingine tujaze msimu wa kiangaziMabadiliko ya haraka ni kusajili beki wa kati, kushoto na winger ya kulia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello Daemusintarehe 9/12 (jumatatu) muheshimiwa King Ngwaba aliandika maneno yafuatayo kwa ufupi.
Reece bado hajaprove Kuwa ni beki wa kumtumainia! Still ana safari ndefu! Kibaya zaidi namhisi ni New version ya Aroan Wan Bissaka ambaye anajua only Kukaba na sio kushambulia na kucreate nafasi za kufunga, jambo ambalo ni old football.
akaendelea kuandika:
Unajua kwanini Man City ukiwabana watu 3 tu (KDB, Sterling na Bernardo) unawamaliza kiurahisi?
Kwasababu mipira yote wanategemea Midfielders katika kutengeneza mashambulizi. Fullbacks zao hazikovizuri kwenye kutengeneza nafasi, Only Mendy ndiyo FB wa Man City amabaye anauwezo wa kucreate nafasi.
Ni sawa na Chelsea, akipotezwa Joginho na Kovacic mechi kwenu inawawia ngumu coz Fullbacks zenu haziwezi kutengeneza nafasi.
Na hii ndiyo inayotusaidia Liverpool kushinda game mara kwa mara! Tuko very shit kwenye Midfield (Hendo-Fabinho-Gini) ambao wote kwa pamoja msimu mzima hawafikishi assists hata 7 lakini tunatetengeneza nafasi nyingi za kufunga kwa sababu ya Kuwa na Fullbacks ambazo ni nzuri kwa kushambulia na kutengeneza nafasi za kufunga.
muheshimiwa lembu mmoja kati ya mchangiaji anayenivutia kusoma comment zake humu ndani ulimjibu hivi:
Nikuulize swala, Kwani kwenye football wanaotengeneza chances ni mabeki au washambuliaji? Mimi nafikiri sio kazi ya TAA kutengeneza nafasi kule Liverpool bali ni akina Sala, Mane, Firmino na wengineo mbele watengeneze nafasi ili wapasiwe mipira na hao mabeki au viungo au hata kati yao washambuliaji wenyewe kwa wenyewe.
Au labda maana ya kutengeneza nafasi tunatofautiuana
Mimi kwa maoni yangu japo kazi ya kutengeneza nafasi ni mawasiliano ya wahusika kwenye move ila mshambuliaji ndio stakeholder mkubwa kwenye hili.
ni siku tano tu zimepita na hatimaye umerudi pale pale alipokua anapashikilia king ngwaba
Inabidi ukawe kocha wewe aiseeHizi mechi tunazofungwa alaumiwe kocha kwa kuendelea kutest team badala ya kusubiri FA akatest team huko. Wee unamuondoa Jorginho ili umuweke Odoi tangu lini, mtu anayegawa mipira kwa adui kama Kepa!. Unamuondoa Willian ili umueweke Batsuayi? Angemuondoa Mount na kumweka Kovacic
Hata tukisajili kocha asipomaitain first XI tutakunywa sana tu
Hivi ndivyo kocha wa Chelsea anavyopaswa kuongea.Lampard on Zaha, Chilwell and Ake.
When asked about the club’s interest in those three players, Lampard said on Friday afternoon:
‘We want a top calibre of player who can improve us.
‘I won’t hone in on those three but I’ve said before I’m happy with the squad. We have to look [at signing players] if we can. ‘It is a joint-effort with the scouting teams, the board, the owner, myself. We work together.