Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Mkuu wewe ni shabiki wa Chelsea kweli? Hauna taarifa hata za timu yako kuwa Tomori alipata injury?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni shabiki wa Chelsea kweli? Hauna taarifa hata za timu yako kuwa Tomori alipata injury?
Siyo nyote, wapo wenye maturity minds. Success in a club like Chelsea with the current situation can't be an overnight process.Haha sisi Chelsea fans huwa hatuna vifua vya uvumilivu kama mashabiki wa Arsenane na Mwantesa Utd
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi ni marathon, keeping some words off the mouth is important in a long run.Ilianza hivi ↓↓
Then ikaja hivi ↓↓
Wa kuwazuia mbona tunawaona Mkuu!
Umeshaliwa 3 katika hizo 9.
1) West Ham ×
2) Everton ×
3) Bournemouth ×
Na bado hesabu inaendelea
Hapa kwa kocha si sawa... akifanya vizuri mnampongeza ila akifanya vibaya mnasema hana historia ya mafanikio... siyo sawa kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji 6 kwa mpigo!? Je kati ya hao wakiflop wanne? Kusajiri ni gambling mkuu. Tuimarishe kikosi chetu taratibu. Kwa kuanzia tuanze na CB, LB na striker. Alafu huwezi kuwauza Azpillicueta na Willian wakati huu. Hiki ni kizazi kinachopaswa kurithisha mafanikio kwa wale wanaokuja. After next season mmoja wao anaweza kuuzwa.Kweli mkuu tunahitaji wachezaji wapya 6 waingie moja kwa moja 1st eleven.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni shabiki wa Chelsea kweli? Hauna taarifa hata za timu yako kuwa Tomori alipata injury?
Sent using Jamii Forums mobile app
tarehe 9/12 (jumatatu) muheshimiwa King Ngwaba aliandika maneno yafuatayo kwa ufupi.
Reece bado hajaprove Kuwa ni beki wa kumtumainia! Still ana safari ndefu! Kibaya zaidi namhisi ni New version ya Aroan Wan Bissaka ambaye anajua only Kukaba na sio kushambulia na kucreate nafasi za kufunga, jambo ambalo ni old football.
akaendelea kuandika:
Unajua kwanini Man City ukiwabana watu 3 tu (KDB, Sterling na Bernardo) unawamaliza kiurahisi?
Kwasababu mipira yote wanategemea Midfielders katika kutengeneza mashambulizi. Fullbacks zao hazikovizuri kwenye kutengeneza nafasi, Only Mendy ndiyo FB wa Man City amabaye anauwezo wa kucreate nafasi.
Ni sawa na Chelsea, akipotezwa Joginho na Kovacic mechi kwenu inawawia ngumu coz Fullbacks zenu haziwezi kutengeneza nafasi.
Na hii ndiyo inayotusaidia Liverpool kushinda game mara kwa mara! Tuko very shit kwenye Midfield (Hendo-Fabinho-Gini) ambao wote kwa pamoja msimu mzima hawafikishi assists hata 7 lakini tunatetengeneza nafasi nyingi za kufunga kwa sababu ya Kuwa na Fullbacks ambazo ni nzuri kwa kushambulia na kutengeneza nafasi za kufunga.
muheshimiwa lembu mmoja kati ya mchangiaji anayenivutia kusoma comment zake humu ndani ulimjibu hivi:
Nikuulize swala, Kwani kwenye football wanaotengeneza chances ni mabeki au washambuliaji? Mimi nafikiri sio kazi ya TAA kutengeneza nafasi kule Liverpool bali ni akina Sala, Mane, Firmino na wengineo mbele watengeneze nafasi ili wapasiwe mipira na hao mabeki au viungo au hata kati yao washambuliaji wenyewe kwa wenyewe.
Au labda maana ya kutengeneza nafasi tunatofautiuana
Mimi kwa maoni yangu japo kazi ya kutengeneza nafasi ni mawasiliano ya wahusika kwenye move ila mshambuliaji ndio stakeholder mkubwa kwenye hili.
ni siku tano tu zimepita na hatimaye umerudi pale pale alipokua anapashikilia king ngwaba


Kweli mkuu, watupe rekodi ya Guadiola na Klopp msimu wao wa kwanza and they had no transfer ban.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo lazima na sisi tujitahidi kuyazoea haya. Hazard kauzwa, hakuna replacement. Costa kawa replacent na kijana ambaye hana uzoefu. He needs two/three seasons to adapt. Hapo hapo hatukusajiri hata mchezaji mmoja. Na bado Lampard kuna mambo anajifunza japo I see the bright future for Lampard. So haya ni ya kawaida. Jana matokeo yameniuma sana ila baada ya kutafakari haya, I have no one to blame. Pep msimu wake wa kwanza nusra amalize nje ya top four pamoja na usajiri aliokuwa amefanya.Usitukumbushe tulikotoka Mkuu I'm begging you!
Sitaki hata kusikia kipindi hicho ambapo tukikutana na Albion , Stoke, Westham, Palace, Wolves and co tunaliwa nje ndani.
Kwa hiyo lazima na sisi tujitahidi kuyazoea haya. Hazard kauzwa, hakuna replacement. Costa kawa replacent na kijana ambaye hana uzoefu. He needs two/three seasons to adapt. Hapo hapo hatukusajiri hata mchezaji mmoja. Na bado Lampard kuna mambo anajifunza japo I see the bright future for Lampard. So haya ni ya kawaida. Jana matokeo yameniuma sana ila baada ya kutafakari haya, I have no one to blame. Pep msimu wake wa kwanza nusra amalize nje ya top four pamoja na usajiri aliokuwa amefanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wakati mwingine muwe na uvumilivu. Lampard ni kocha anayejifunza kwa haraka tofauti na Sarri na ndio maana mechi zingine Mount anabaki benchi.LAMPARD ni kocha kiazi sijawahi kuona, hata akimsajali MESSI bado akiendelea kulazimisha kumchezesha MOUNT, na kumweka Jorginho au Kavasic nje, ataendelea kupgwa mpaka akili imkae sawa. Kikosi cha ushindi ni JORGINHO, KOVASIC na KANTE
Abramovich anaanza kugundua development ya watoto inaweza kumpa hela ndefu. So lazima watafute kuwa na kikosi ambacho ni hybrid ya home groomed talents na world class players ili kucomplement kikosi.Tofauti iko hapa:
Klopp alipewa Misimu MINNE kuitengeneza Timu.
Lakini Chelsea ilishindwa kumpa Sarri hata Msimu mmoja kutengeneza Timu.
Sasa Chelsea ni vigumu kocha kueka Falsafa yake kwani haipotayari kumvumilia Kocha hata Msimu mmoja.
Hivi kweli kweli? kocha haoni kwamba partinership ya Kante, Jorginho na Kovasic inaleta matokeo positive, wakiwepo hao hat wachezaji wengine utaona wanaperform, wasipokuwepo kila mchezaji utamuona anarukaruka tu, kinachomsumbua huyu kocha ni kulazimisha waingereza wenzake wacheze .........Mashabiki wakati mwingine muwe na uvumilivu. Lampard ni kocha anayejifunza kwa haraka tofauti na Sarri na ndio maana mechi zingine Mount anabaki benchi.
Kikosi cha ushindi ni Kovacic na Joginho hasa ukizingatia kuwa Rudiger ameaharudi pale nyuma... Hii kiungo ya Kova na Joginho imesumbua matches nyingi sana pale nyuma... Yaani watu wametoka majeruhi ndo tumeanza kuboronga aiseeeLAMPARD ni kocha kiazi sijawahi kuona, hata akimsajali MESSI bado akiendelea kulazimisha kumchezesha MOUNT, na kumweka Jorginho au Kavasic nje, ataendelea kupgwa mpaka akili imkae sawa. Kikosi cha ushindi ni JORGINHO, KOVASIC na KANTE
Siyo km wanachokipata maboya wa London ArsenalPoleni wadau, maana mnapita katika kipindi kigumu.