Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,624
- 39,995
Away,Twa Twa Twa..darajani Twa Twa Twa!!..


😀😀Umepigwa laki ngapi leo?

Mmeshamuanza lamp duh...hamchelewi...Chelsea FC.
No forward with caliber like Diego Costa,
No master class passes for final assistance like Sesc Fabregas,
No the best defender like John Terry.
Aluta continua with the youngest coach without historical background of trophies carrying success...
Sent using Jamii Forums mobile app
huwezi kumuona, angalau sasa atafunga domo lake


Amkeniiiii Amkeniiiii Amkeniiiii bwanaaaaaa wamefungwa tena bwanaaaaaaa uuuuuuuu hahahaaaaaaaa
Haha sisi Chelsea fans huwa hatuna vifua vya uvumilivu kama mashabiki wa Arsenane na Mwantesa UtdMmeshamuanza lamp duh...hamchelewi...
