Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

'Regista'????? Uposahihi Joginho kumwita hivyo kwani hata wa Jangwani Secondary School nayeye anaitwa Raisi.
Mimi nilisikia kwa wachambuzi wenu wa epl,hila sikushangaa ndio maana mzee baba kwenye position yake utapisha tu atacheza yeye iwe kwenye club au national team.
 
Nimefurahi kusikia Barkley kaachwa kwenda Spain, jamaa alituua mechi ya kwanza

Chelsea manager Frank Lampard said midfielder Ross Barkley showed "a lack of professionalism" after he was pictured shirtless in a nightclub.

"I certainly don't hold anything against my players," Lampard said.

Speaking about Barkley's omission from the travelling party for Wednesday's European tie at the Mestalla, Lampard said: "There are two separate issues, one is the headlines this week, Ross knows how I felt about the first headline.

"I backed him then and I still back him now but he showed a moment of a lack of professionalism as far as I'm concerned.
 
Leo tuko kwenye KO stage,
  1. Tukishinda kwa margin ya mbili tumeenda
  2. Tukishinda kwa margin ya moja au tukitoka sare tutasubiri majibu ya maombi yetu kutoka kwa Mola
  3. Tukifungwa tumekwenda na maji
 
Huyu jamaa wa Arsenal hakuna siku ameitabiria Chelsea kushinda na almost utabiri wake unakuwaga vice versa
Arsenal hero Charlie Nicholas tips ‘exciting’ Chelsea to lose to Valencia in Champions League
 
Leo tuko kwenye KO stage,
  1. Tukishinda kwa margin ya mbili tumeenda
  2. Tukishinda kwa margin ya moja au tukitoka sare tutasubiri majibu ya maombi yetu kutoka kwa Mola
  3. Tukifungwa tumekwenda na maji
Mimi nataka MKWENDE NA MAJI.
 
Suala la Muda tu Gorgihno The Register alipigiwa kelele sana hapa lakini Leo watu wanamuelewa jinsi Mpira unavyotii akili yake,ni suala muda kijana ataonyesha thamani ya pesa
Kwa kepa aliyezubaaga hata muende kwa mganga gani,yule mlipigwa za uso mlifikiri kutoa mihela mingi ndio mtapata kipa mzuri zaidi ya A.Becker.......hahaha
 
Na tukishinda leo afu akaja kutuchapa? Afu valencia naye akaja kuchapwa na Ajax nan atasonga
Leo tuko kwenye KO stage,
  1. Tukishinda kwa margin ya mbili tumeenda
  2. Tukishinda kwa margin ya moja au tukitoka sare tutasubiri majibu ya maombi yetu kutoka kwa Mola
  3. Tukifungwa tumekwenda na maji
 
Na tukishinda leo afu akaja kutuchapa? Afu valencia naye akaja kuchapwa na Ajax nan atasonga
Katika hili kundi inavyoelekea H2H results ndio itakayoamua nani asonge na nani abaki
Ili Chelsea iwe na uhakika wa kusonga mbele ni lazima washinde kwa goal difference ya 2 kwenda juu ili H2H results yake iwe bora Zaidi ya Valencia hata kama Valencia wakiwafunga Ajax kwenye mchezo wa mwisho
Kama Chelsea ikishinda kwa goli moja na Valencia wakawafunga Ajax 1-0, Chelsea inasonga mbele
Kama Chelsea ikidraw halafu Ajax vs Valencia wakadraw, Chelsea itasonga mbele
Hayo yote tunategemea leo Ajax atashinda na Chelsea atafungwa na Lile mchezo wa mwisho
Kama Chelsea akimfunga 1-0 na kwenye mchezo wao na Ajax akashinda 2-0 bado Chelsea itasonga mbele ila
Kama Valencia akimfunga 3-0 Valencia anasonga mbele
Ila kama Chelsea atashinda leo 1-0 na akamfunga Lile Chelsea atasonga mbele kwa sababu lazima mchezo wa Ajax na Valencia umtoe mshindi mmoja atakayeungana na Chelsea kwa sababu Chelsea atakuwa na point 13 ambazo ni timu moja tu kati ya hao wawili wenye uwezo wa kufikia.

Mchezo wa leo ni muhimu Chelsea kushinda 2-0 au tofauti ya 2 ili akate ngebe, hata Valensia wakiwafunga goli 1000 Ajax watatoana wenyewe, matokeo yao hayataiadhiri Chelsea kwa sababu watakuwa wanapunguziana H2H GD wenye
Akishinda 3-0 Ajax na Chelsea wanakwenda, Akishinda 4-0 Valencia anakwenda ajax anabaki
 
Lakini kama chelsea atashinda match zake mbili zilizobaki hata kama kwa 1 bila kila match basi njia itakuwa ni nyeupe...
 
Ikitokea bahati mbaya tukaenda kule kwenye kombe la vibonde, Arsenal na Man U hawatakuwa na furaha kabisa
 
Lakini kama chelsea atashinda match zake mbili zilizobaki hata kama kwa 1 bila kila match basi njia itakuwa ni nyeupe...
Ni sawa kabisa
Nimeeleza hapo hii quote
Ila kama Chelsea atashinda leo 1-0 na akamfunga Lile Chelsea atasonga mbele kwa sababu lazima mchezo wa Ajax na Valencia umtoe mshindi mmoja atakayeungana na Chelsea kwa sababu Chelsea atakuwa na point 13 ambazo ni timu moja tu kati ya hao wawili wenye uwezo wa kufikia.
 
Predicted line up in 4-3-3
Mount - Tammy - Willian
Kovacic - Jourginho - Kante
Azpi - Tomori - Zouma - James
KEPA
 
Line up in 4-3-3

Pulisic - Tammy - Willian
Kovacic - Jorginho - Kante
Azpi - Zouma - Christensen - James

KEPA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom