Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kijana wacha kuropoka, kama ni Chelsea uwe na kituo wakati unaongea sio kuja kuungana na waadhirika na sisi hatutaweza kukutofautisha
Kwahiyo kaka mkubwa kama mtu akiwa fan wa Chelsea ndio haruhusiwi kukupinga pamoja na upupu wote huo unaoutoa hahahahaha aiseeeee katika majitu majinga ya hapa Chelsea basi wewe ni mmoja wapo.Hivi hizo digrii nne zenu ndio munataka kufunga mpaka fikra za wengine.
Una mengi ya kujifunza mzee hili ni jukwaa huru
 
Wewe akili zako ni fupi sana, @lembuMBUMBU yaani ni mbumbumbu na jina lako linaakisi ulivyo.....

Kaa tafakari jitathmini kama utakuwa ni fungu la kupata utajua unapojikwaa kila mara rudi jirekebishe uendelee positively ila kama fungu la kukosa endeleza huu upumbavu wako wa kudharau wengine ,kuwaita majina ya hovyo na kujiona wewe ni muchknow sana....ili uendelee negatively,

Ujanja mwingi mbele kiza.......

Big up kwa Chelsea fan wenye kujielewa vema,
Ninyi ni plastic fans, hamuwezi kumuda majigambo ya ushabiki, mkitupiwa neno moja tu hata sio matusi mnakuja juu, je ningeamua kuwatuka mngekuwaje. Sio lazima uwe mashabiki kama huyawezi, kuna refreshment nyingi unaweza kuopt na bado ikakusaida kimaisha kutuliza msongo wa mawazo
Mimi ni much know kwa sababu naongea na data, wewe tangu tuanze kubishana umetoa nondo zipi
 
Mkuu usisumbuke na huyo jamaa huwaga hajielewi yeye kutwa kushinda humu na kuandika upuuzi kama mganga wa kienyeji,na huwa hapingwi NENO LAKE SHERIA,usipoteze muda.
 
Acha uboya wewe kwa nondo zipi unazotoa wewe???acha kukashifu wenzio data gani uliyotoa ya maana nyambaf
 
Mkuu usisumbuke na huyo jamaa huwaga hajielewi yeye kutwa kushinda humu na kuandika upuuzi kama mganga wa kienyeji,na huwa hapingwi NENO LAKE SHERIA,usipoteze muda.
Mnatafuta nini huku mkama ushabiki hamuwezi, ondokeni mtuachie nyumba yetu, ukiwa huku ukubali ushabiki na sio kutukana ovyo
 
Ninyi ni plastic fans, hamuwezi kumuda majigambo ya ushabiki, mkitupiwa neno moja tu hata sio matusi mnakuja juu, je ningeamua kuwatuka mngekuwaje. Sio lazima uwe mashabiki kama huyawezi, kuna refreshment nyingi unaweza kuopt na bado ikakusaida kimaisha kutuliza msongo wa mawazo
Mimi ni much know kwa sababu naongea na data, wewe tangu tuanze kubishana umetoa nondo zipi
Wewe ni wa kupuuzwa.
Hujielewi
 
Mnatafuta nini huku mkama ushabiki hamuwezi, ondokeni mtuachie nyumba yetu, ukiwa huku ukubali ushabiki na sio kutukana ovyo
Kwahiyo wewe ndio unaruhusa ya kutukana hovyo wenzio?alafu hii tabia ya kufukuza watu katika nyuzi naona imekithiri,wewe nani mpaka ufukuze wengine?onesha kadi ya chelsea hapa tuone kama wewe ni shabiki kweli au mpiga kelele tu,hovyo kabisa wewe
 
Wanaume tumekaa tunajadili timu yetu wewe unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji.
Wewe una timu ndugu yangu,usichekeshe walionuna hahahaha kadi ya upenzi wa klabu mbali hiyo akaunti tu katika mtandao wa chelsea huna unakuja kutanua domo humu hehehehehehehehe ,hivi wewe ujadili kuhusu chelsea na shabiki aliye london pale afanyaje,FICHA UJINGA WAKO unajidhalilisha.
 
Kwahiyo wewe ndio unaruhusa ya kutukana hovyo wenzio?alafu hii tabia ya kufukuza watu katika nyuzi naona imekithiri,wewe nani mpaka ufukuze wengine?onesha kadi ya chelsea hapa tuone kama wewe ni shabiki kweli au mpiga kelele tu,hovyo kabisa wewe
Mna wivu nyingi sana nyie TOT, hii nafasi ya Chelsea imewapa ukichaa kabisa. Milipigia mahesabu mwanzoni mwa ligi kuwa mtakuwa hapo Chelsea ilipo sasa hiyo namba 14 inawala akili poleni mnahitaji kuishi kwa matumaini, wadhirika wote wanakuwaga hivyo nimewasamehe bure
 
Wanaume tumekaa tunajadili timu yetu wewe unapita mbele yetu na kanga moja imelowa maji.
Unajadili kuhusu timu yako?duh hayo majadiliano yako yana impact gani kwa chelsea mkuu?sio lazima kutetea ujinga kisa umefanywa na baba yako,alafu ukajidanganya ndio heshima hapo NYOTE MWAONEKANA WAJINGA.
 
Mna wivu nyingi sana nyie TOT, hii nafasi ya Chelsea imewapa ukichaa kabisa. Milipigia mahesabu mwanzoni mwa ligi kuwa mtakuwa hapo Chelsea ilipo sasa hiyo namba 14 inawala akili poleni mnahitaji kuishi kwa matumaini, wadhirika wote wanakuwaga hivyo nimewasamehe bure
Kuhusu suala la nafasi ni suala la muda tu,sina hata tone la shaka.
 
Hivi nyie mna uzi kweli maana humu tunabishania mambo yasiyowahusu wana Chelsea na tunawachosha bure, tupeni uzi wenu tuwajie humo humo tuwafundishe ushabiki unakuwaje msije siku moaj mkajinyonga kwa timu kufanya vibaya
 
Uzi upo ila mods bado hawajauweka sticky,ila upo!mimi ni mwanaspoti na aio mbishani.
We unakaribishwa tu na wala hutosikia mtu anakufukuza kule ila utajipiga ban mwenywe kwa mafanikio yetu
 
Hawa mashabiki wa tote waliingia uzi wa liver wakafukuzwa, wakaingia uzi wa man u wakafukuzwa, wakaingia uzi wa arsenal wakafukuzwa sasa wamekuja wa chelsea tumewapiga tanganyika jeki tuwatupe huko nje.
Kwani unalipwa kiasi gani kwa kusema uwongo?
Kuwa mstaarabu liverpool,arsenal na man utd hawanaga tabia ya kufukuza wageni kwasababu ni washabiki wa kweli na wanajiamini lakini pia wana uwezo mkubwa wa kuaccept challenges kuliko nyinyi,
Ukishamuona mtu anamfukuza mwenzake katika uzi ujue huyo hajiamini na timu yake.
 
Hebu yataje japo kidogo hayo mafanikio.
Uzi upo ila mods bado hawajauweka sticky,ila upo!mimi ni mwanaspoti na aio mbishani.
We unakaribishwa tu na wala hutosikia mtu anakufukuza kule ila utajipiga ban mwenywe kwa mafanikio yetu
 
Katika mechi na Man City huwezi kumwacha Azpilicueta nje. Na isitoshe jamaa amekuwa ktk form ziku za karibuni
Huenda Sterling hatocheza sababu ya ile ban ya match moja aliyopigwa... ila hata mimi binafsi nilipenda apangwe Reece James badala ya Azplicueta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom