Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kikosi kipi kitafaa kwa mechi ya kesho dhidi ya Ajax , kati ya hivi vitatu.
IMG_20191021_152436_952.jpeg
IMG_20191022_113951_569.jpeg
IMG_20191021_152257_704.jpeg
 
Niliangalia match chache za ajax UEFA msimu uliopita, hawa jamaa wanacheza mfumo wa kuvuruga mipango na mbinu ya timu pinzani.

Wakishafanikisha kuwavuruga wanaanza kuimplement plan B ya kutafuta mabao.

Nadhani mechi ya kesho kikosi kiwe na experience players ambao watakaotumia uzoefu kutupa matokeo chanya

Tunaenda kupata matokeo point 3 muhimu na sio kwenda kupata uzoefu.
Mkuu Ajax nimewaona wanavyocheza hasa waliyocheza na Valencia. Kusema kwenda kule kutafuta point 3 ni uongo tunaweza tukaumia sana. Ile game siyo ya kupoteza ni kuhakikisha tunapata goli kama itashindikana ni kutafuta draw ya bila kufungana. 3-5-2 itafaa game ya kesho.
 
Lampard ana utaifa sana, hawez akamweka jembe lake barcley nje, Namshangaaga sana huyu kocha anapomwekaga nje kovacic na kumwanzisha barcley. Halafu pia kuna baadhi y game huwa zinamkataa Mount lakin kw vile ni mtaifa hambadilishi huwa anamshikilia dk.90 wala hat hambadilishi na kumuweka Pulicic
Kwel kabisa umeona sawa Kama nilivyowaza Mimi
 
Twitter kulikua na mjadala kuhusu ni jinsi gani Lampard anaweza kumchezesha Pulisic wadau wengi wamechangia ila hii nimeipenda ambayo nadhani kwa game ya kesho huu mfumo pia utatufaa kutupa matokeo.

I think it is wise to rest Mount next game or so. I also think it’s Pulisic competing with him for a start.

In a 4-2-3-1 personally I’d use Willian as the 10, CHO and Pulisic on the wings, Jorgi and Kovacic behind them.
 
Mzee umefail, mechi ya juzi alianza barkley ni kwa sabbu, kovacic alikuwa ametoka majeruhi, kwa vyovyote lazima angetokea benchi,
Then barkley karibu mechi zote anaanzia nje ( alitakiwa hata benchi asiwepo ).. kwa hyo usiseme anamuanzishaga barkley
In case ya pulisic na Mount, mount ana offer vitu vingi, kama vile magoli na assist, anakaba na anawezo na anajua kusipostion.
Pulisic sio mzuri wa kufunga, vile vile pumzi kisoda, pulisic anapaswa awe supersub au willian awe supersub, kwa ajili ya kuipa backup timu.
Lampard ana utaifa sana, hawez akamweka jembe lake barcley nje, Namshangaaga sana huyu kocha anapomwekaga nje kovacic na kumwanzisha barcley. Halafu pia kuna baadhi y game huwa zinamkataa Mount lakin kw vile ni mtaifa hambadilishi huwa anamshikilia dk.90 wala hat hambadilishi na kumuweka Pulicic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom