Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea manager Frank Lampard has made £70million-rated Lazio midfield star Sergej Milinkovic-Savic a priority signing if the club’s transfer ban is lifted.
The 24-year-old 6ft 3in player who helped Lazio win the Coppa Italia last season would offer Lampard more options in the midfield area in addition to greater experience to dove tail with some of the younger stars.
 
Baadhi ya mashabiki wa Liverpool wamenuna kwa alichokifanya Torres kwenye ukurasa wake wa Twitter
Kaweka picha yake akikumbukia wakati wake na Chelsea. Kumbuka kuwa hivi karibuni Torres alitangazwa kuwa mojawapo wa Liverpool Legend na ataiwakilisha Liverpool kwenye mashindano ya malegend na Barcelona mwakani.

Alichokiweka hiki hapa

Come on BLUES! ⚽🔵💪 @ChelseaFC @CPFC @premierleague #CFC #TorresLegacy #TBTorres pic.twitter.com/SfjepCAf1K

— Fernando Torres (Torres) November 9, 2019

image-1-550x381.jpeg
 
Chelsea manager Frank Lampard has made £70million-rated Lazio midfield star Sergej Milinkovic-Savic a priority signing if the club’s transfer ban is lifted.
The 24-year-old 6ft 3in player who helped Lazio win the Coppa Italia last season would offer Lampard more options in the midfield area in addition to greater experience to dove tail with some of the younger stars.
Huu utakua usajili mzuri sana
 
Mkuu achana na ulinganisho huu hazard haitaji kufunga na assist awe bora ,ogopa mchezaji anaye tokea kwenye FIFA pro XI Mara kwa Mara,class is permanent,form is temporary

Kuna watu wana maajabu kweli!

Ivi leo Mtu anafikia kumlinganisha Hazard na Pulisic? Serious?
Pulisic hawezi kufikia hata robo ya uwezo wa Hazard
Hata hivyo Pulisic ni mchezaji mzuri

Namlaumu sana Klopp kwa kusitisha kumfatilia Pulisic wakati alikuwa katika nafasi nzuri ya kumsajili.
 
Wakati huo huo unamponda wakati huo huo unamtaka
Kuna watu wana maajabu kweli!

Ivi leo Mtu anafikia kumlinganisha Hazard na Pulisic? Serious?
Pulisic hawezi kufikia hata robo ya uwezo wa Hazard
Hata hivyo Pulisic ni mchezaji mzuri

Namlaumu sana Klopp kwa kusitisha kumfatilia Pulisic wakati alikuwa katika nafasi nzuri ya kumsajili.
 
Najua Kuwa Leicester City pumzi itakata kwani kwa Top six ana uhakika wa kumgunga Arsenal tu!

Swali la Msingi

√ Je munataka tumpige Man City ili mukamate nafasi ya Pili? Au munataka nipigwe na Man City muendelee kufukuzana na Leicester kwenye nafasi ya 3?

Ukweli usiofichika hamuna uwezo wa kufukuzana na Timu mbili kwa pamoja (Liverpool & Spurs) but munao uwezo wa kufukuzana na moja kati ya hizo.

Na hapo ni Wazi kuwa munaeweza kufukuzana na kumkimbia ni Man City na si Liverpool kwani Liverpool akimaliza leo ameshapambana na Top six wote ikiwemo Leicester City pia.
Kwahiyo si rahisi tena kudondosha points kwa waliobakia kwa hii round ya kwanza kwani atakuwa amebakisha na:-

November
Crystal Palace (A)
Brighton and Hove Albion (H)

December
Everton (H)
Bournemouth (A)
Watford (H)
West Ham United (A)

But Man City ndiyokwanza hajamalizana na Top Six kwani amecheza na Spurs tu! Kwahiyo sisi tukimfunga na nyinyi mukimharibia basi hawezi kuwakamata tena.

HATA SISI KUMFUNGA MANCITY, AU KUFUNGWA NA MAN CITY HAKUTOTEGEMEA MAOMBI YENU
Halaf we bro kiswahili kinakusumbua ujue
 
Kwahiyo kusema Chelsea hana uwezo wa kumaliza ligi juu ya Liverpool ndiyo unaita bangi?
Imagine Ollachuga Oc ndio kichwa chao hapa nowdays baada ya kina Kunguru Mjanja kujiweka pembeni,sasa haya mabehewa unafikiri yatakuwaje????
Wao ukipishana nao fikra tu basi jipange kuitwa mlevi,mvuta bhangi,hujui mpira e.t.c tena hapo ndio wamekuheshimu lakini matusi huwezi yakwepa

Kinachopaswa ni kujiongeza tu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom