Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 2,147
- 4,296
Nasikia hazard kawa kibonge na kitambi juu
Ruben loftus cheekNan huyu mkuu
No any updates mkuu, hope soon atarudiDah anapona lini? Amuna apdate yeyote?
Nani kalitoa?Lile bango la DROGBA LEGEND mbona limetolewa pale Darajani.?????
Nani kalitoa?
Mkuu leo mmecheza mpira mzuri sana ,naamini kwasababu Joginho hakuwepo....pale kati kulipendeza sana,Hahaha angalia uko CP anavyonyonyolewa ..
Bado wewe.....hahaha
Nani kalitoa?
Kwamba imeamua kukomaa kama enzi za Muitali Ranieri hadi walichukua ubingwa au?Hii lesta imeshakuwa changamoto.

Usicheke mkuu niko serious , I mean itHahaaaha
Mnafiki sana kiazi wewe . Hongera yako hatuitakiMkuu leo mmecheza mpira mzuri sana ,naamini kwasababu Joginho hakuwepo....pale kati kulipendeza sana,
Hongereni.
Aseno ni ghala la kuhifadhia sindiria za akina mamaWale mbuzi kule wanatolewa kafara..
Hahaha tuko pamoja mzebaba...Mkuu leo mmecheza mpira mzuri sana ,naamini kwasababu Joginho hakuwepo....pale kati kulipendeza sana,
Hongereni.
Haha achana na dully Jr mkuu ..unafiki kweny football upo sana mkuu huo ndo unaleta ushabiki ..kinachotakiwa ni kupokea pongezi na kwenda kutoa pole kule upande mwingineMnafiki sana kiazi wewe . Hongera yako hatuitaki
Hahaha hahaha hahahaAseno ni ghala la kuhifadhia sindiria za akina mama
Mkuu leo mmecheza mpira mzuri sana ,naamini kwasababu Joginho hakuwepo....pale kati kulipendeza sana,
Hongereni.
Tupe matokeo mkuu..