Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,642
- 4,476
Tunauwa tu akuna huruma
Hahaha angalia uko CP anavyonyonyolewa ..Usilielie mkuu,kutegemea penat kwa mwanaume ni umama pia....
Wewe ni wa futuhi tu
Achana nao mkuu, agenda yao ya kwanza ilikuwa kwamba Chelsea atamaliza nafasi ya 10, baadae wakasema timu haiingii top 6, Mara baada ya mechi tukiwa top 6 tutabeba ubingwa. Ila yote hayo wameona walikosea. Inawauma moyoni timu zao zikidhoofika kila siku. Hayo maneno yao yasikusumbue ni msongo Wa mawazo unaowasumbuanimekubali mkuu,unajua sana mpira.
Umechambua vizuri sana mkuu. So Abraham anaweza kutupa makombe tunayohitaji?





Akina flo... Jimmy Floyd... Noma Sana Chelsea ileNyie si ndio hamuwajui Hernan Crespo na Gudjohnson hahahahaaaa sasa kama hao wachezaji wa juzi tu huwajui utawajua kina Celestin Babayaro,TAF,Zola,na kina Didier Deschamps nyie Generation ya kina Mason Mount na Odoi ni kwikwi aseeeehhhh
Utasubiri sana we kududumtu wa manure . Mancity tutamtia hapohapo kwake . Chelsea ya mwaka jana sio ya mwaka huu . Huu moto mwingineMechi inayofuata mnaenda Etihad mechi ya iliyopita Ya ligi kwenye uwanja huo mlikula sita bila hata la kufutia machozi
Tushampiga crystal palace kitambo sanaAchana nao mkuu, agenda yao ya kwanza ilikuwa kwamba Chelsea atamaliza nafasi ya 10, baadae wakasema timu haiingii top 6, Mara baada ya mechi tukiwa top 6 tutabeba ubingwa. Ila yote hayo wameona walikosea. Inawauma moyoni timu zao zikidhoofika kila siku. Hayo maneno yao yasikusumbue ni msongo Wa mawazo unaowasumbua
Tulia ivyo ivyo ..kaa kwa kutulia..Mechi inayofuata mnaenda Etihad mechi ya iliyopita Ya ligi kwenye uwanja huo mlikula sita bila hata la kufutia machozi



Ni mzuri, ila usisahau kuwa tuna mechi na Valencia wiki kesho ugenini. Na hivyo ilikuwa lazima Joginho na Azpillicuta wapumzikeNaona James kampiga Azp benvh leo. Huyu kijana namkubali sana
Sasa uyu City tumuombee mabaya au tumuombee memaKimasihara tu chelsea waleeeView attachment 1258624View attachment 1258626



Juzi nilisikia mashabiki wanamuimba Joghino au nilisikia vibaya?
Mancity atanyonyolewa na liverpool halafu sisi tutakachofanya tunaenda kumpa kifilo hapo hapo etihadSasa uyu City tumuombee mabaya au tumuombee mema![]()