Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mancity timu ya kawaida sana, mabeki wawe makini tu na akina Aguero na Stearling
Ni kweli kabisa lakini MAN CITY akishatokaga kufungwa mechi 1 huwa ni mbogo sana kwa mechi inayofuata, ebu weka rekodi zake hapa tokana na hoja yangu Bosi ili uone niko sahihi.
 
Mawazo yangu yananiambia ni wiki kesho. Nimechanganya mkuu
Valencia tunacheza naye baada ya man city. Itakuwa tar 27. Man city tunacheza naye tar 22. Hapo katikati kuna international break. Joginho amwpumzika sababu ya kuwa na yellow card 5...
 
Tuko vizuri tena sana vijana wanapaswa kuzidi kujiamini na kucheza kwa taadhari haswa tukicheza na top 6 ufunguo wa kufunga team zingine 13 umepatikana ,blue is the best color ,hongereni Blues wote Africa mashariki na kati
 
Wakuu hingereni kwa ushindi na clean sheet pia.

Kwa mlioangalia game tumecheza vizuri sana ila naona tatizo lipo kwenye kufanya makosa madogo yanayopelekea kupata kadi. Yan mpaka kipindi cha kwanza kinaisha tushapata kadi 3 wakati mpinzani alikua na kadi moja.

Halafu swala lingine ambalo naona Lampard anatakiwa aliangalie ni mpiga free kicks yaan mipira ya kutenga. Katika hiki kipengele naona tunapata nafasi nyingi hasa kina Pulisic wanachezewa rafu tena maeneo hatari lakin hakuna mpigaji. Kuna Willian alikua anapiga vizuri lakin sahiv sioni yale makali yake akipiga hata mpira kumlenga goli kipa hamna.
 
Tuombe Arsenal leo washinde na kesho man city na liver watoe draw ili wote wapoteze point 2
Ikitokea hivi itakuwa furesh sana ..Sema sasa aya maarsenal mpka dkk ya sabini uko utakuwa yashaongozwa tatu uko..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom