OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Tupe matokeo mkuu..33' minutes
3 yellow Cards
• Willian
• Emerson
• Kovacic
Kunani Wakuu mbona yellows nyingi?
Tupe matokeo mkuu..33' minutes
3 yellow Cards
• Willian
• Emerson
• Kovacic
Kunani Wakuu mbona yellows nyingi?
Bado sana hiyo kuna internation break hapa katikatiNi mzuri, ila usisahau kuwa tuna mechi na Valencia wiki kesho ugenini. Na hivyo ilikuwa lazima Joginho na Azpillicuta wapumzike
33' minutes
3 yellow Cards
• Willian
• Emerson
• Kovacic
Kunani Wakuu mbona yellows nyingi?
Mechi inayofuata mnaenda Etihad mechi ya iliyopita Ya ligi kwenye uwanja huo mlikula sita bila hata la kufutia machozi
Ivi Manure anawaotea kitu gani nyinyi?
HONGERENI CHELSEA KWA POINT 3.
HONGERENI KWA CLEAN SHEET
CRYSTAL PALACE WANAMLAUMU PEPE KUKOSA MAGOLI YA WAZI.
Adui muombee njaa namba mbili ni patamu sana mkuuSasa uyu City tumuombee mabaya au tumuombee mema![]()
Endelea kuwakumbusha kuwa Chelsea tutashuka tu daraja wala wasiwe na wasiwasi wowote uleWalisema tunashuka daraja

Mechi inayofuata mnaenda Etihad mechi ya iliyopita Ya ligi kwenye uwanja huo mlikula sita bila hata la kufutia machozi
Dah... hata sijui yani...Ivi Manure anawaotea kitu gani nyinyi?
33' minutes
3 yellow Cards
• Willian
• Emerson
• Kovacic
Kunani Wakuu mbona yellows nyingi?
Man City akifungwa na Iiverpool hiyo mechi itakuwa ngumu sana kwetu Chelsea, lakini kama watashinda basi itaweza kuwa 50% kwa 50% kimatokeo.Mechi inayofuata mnaenda Etihad mechi ya iliyopita Ya ligi kwenye uwanja huo mlikula sita bila hata la kufutia machozi
Kwa hiyo unataka kusemaje?Mechi inayofuata mnaenda Etihad mechi ya iliyopita Ya ligi kwenye uwanja huo mlikula sita bila hata la kufutia machozi
HahahahahahahahahahahahahaMtabadilisha sana wanaume
Man City akifungwa na Iiverpool hiyo mechi itakuwa ngumu sana kwetu Chelsea, lakini kama watashinda basi itaweza kuwa 50% kwa 50% kimatokeo.
Ni mzuri, ila usisahau kuwa tuna mechi na Valencia wiki kesho ugenini. Na hivyo ilikuwa lazima Joginho na Azpillicuta wapumzike
Big up Chelsea vijana wanafanya kazi nzuri
Sasa uyu City tumuombee mabaya au tumuombee mema![]()
AARON anateseka sana, kwani unamuona siku hizi akija humu ndani ya CHELSEA THREAD na ule utabiri wake uchwara?Pulisic 5 goals in 3 games.
Kwani kuna mtu anatesekaView attachment 1258663