Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona mnaanza kuuota ubingwa eti???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33] Manyumbu bhanaaa..
Chelseafc hata wakichukua ubingwa hakuna atakayeshangaa kwasababu nikawaida yao kufanya hivyo,lakini timu ya King ngwaba ikichukua ubingwa kila mtu atapigwa na bumbuwazi kwasababu hiyo timu haina nyota ya ubingwa iko kwenye fungu la kukosa! kila mwaka nimsiba kwao hawajawahi kufurahi.
 
Sisi tukifungwa nyinyi Chelsea itawasaidia nini?
Au ndiyo tayari mumeshajijengea False hope kuwa tukifungwa na Man City ndiyo mutakuja kuongoza Ligi?

Acheni kujidanganya sisi hata tukifungwa na Man City Chelsea haiwezi kumaliza ligi Juu ya Liverpool
Kila mtu acheze game zake apambane kivyake ,tukutane Mei.......
 
Mdogo mdogo utaelewa.

City ashinde. Next game tunacheza na City. Tutampunguza yeye.

Kuhusu nyie wala usijali..endeleeni kubaki juu kwa sasa. Time will tell.

Tusigombane kwa ambayo hayajatokea.

Hamuna uwezo wa hata kutoa draw na City acheni mawazo yasiyotekelezeka
 
Hatumkimbizi mtu yeyote, tunashinda tu, nyie mkifungwa mtajimaliza wenyewe na tutawapita tu iwe Liverpool au Mancity au Leicester city. Kumalizana na top 6 haina maana mko salama, tena epusha mbali, unaweza donolewa na mitimu ovyo mkaishia na nyie kukimbiza wengine. Kwani mwaka jana mlidonolewa na nani? au mlipoteza point 2 kwa timu zipi?

Hata kama leo tutapoteza kwa City (kwani inawezekana) Chelsea haina uwezo wa kumaliza juu ya Liverpool
 
Najua Kuwa Leicester City pumzi itakata kwani kwa Top six ana uhakika wa kumgunga Arsenal tu!

Swali la Msingi

√ Je munataka tumpige Man City ili mukamate nafasi ya Pili? Au munataka nipigwe na Man City muendelee kufukuzana na Leicester kwenye nafasi ya 3?

Ukweli usiofichika hamuna uwezo wa kufukuzana na Timu mbili kwa pamoja (Liverpool & Spurs) but munao uwezo wa kufukuzana na moja kati ya hizo.

Na hapo ni Wazi kuwa munaeweza kufukuzana na kumkimbia ni Man City na si Liverpool kwani Liverpool akimaliza leo ameshapambana na Top six wote ikiwemo Leicester City pia.
Kwahiyo si rahisi tena kudondosha points kwa waliobakia kwa hii round ya kwanza kwani atakuwa amebakisha na:-

November
Crystal Palace (A)
Brighton and Hove Albion (H)

December
Everton (H)
Bournemouth (A)
Watford (H)
West Ham United (A)

But Man City ndiyokwanza hajamalizana na Top Six kwani amecheza na Spurs tu! Kwahiyo sisi tukimfunga na nyinyi mukimharibia basi hawezi kuwakamata tena.

HATA SISI KUMFUNGA MANCITY, AU KUFUNGWA NA MAN CITY HAKUTOTEGEMEA MAOMBI YENU

Mpira huchezwa uwanjani mkuu. Hao unaowaona huwezi kudondosha pointi kwao ndiyo watakuaribia muda si mrefu.

Pia sisi hatunfukuzi mtu, bali tunacheza kupata point tatu. Na kubakia top 4 kwa ajili ya kucheza UEFA next season. But ikitokea tukawakamata napo itakuwa big achievement kulingana na aina ya wachezaji tuliyonao.

So keep cool. Kila la kheri katika gemu lako na Man city
 
Cha msingi kila mtu atimize wajibu wake. Yaani kila timu ishinde mechi zake isije tokea timu fulani imefungwa watu wakaanza kusema Chelsea iliwaombea wafungwe.

Simply ulichomaanisha hapa ni kutafuta Sympathy tuwashashangilie kwa sababu mkimfunga City ni advantage kwetu. Teh

Ukiulizwa kati ya City na Liverpool nani unataka abebe ubingwa basi utajibu wa Capital letters kuwa ni MAN CITY
 
Sisi tukifungwa nyinyi Chelsea itawasaidia nini?
Au ndiyo tayari mumeshajijengea False hope kuwa tukifungwa na Man City ndiyo mutakuja kuongoza Ligi?

Acheni kujidanganya sisi hata tukifungwa na Man City Chelsea haiwezi kumaliza ligi Juu ya Liverpool

Sawa mkuu. Nyinyi hamshindwi chochote kwa sasa.
 
Mdogo mdogo utaelewa.

City ashinde. Next game tunacheza na City. Tutampunguza yeye.

Kuhusu nyie wala usijali..endeleeni kubaki juu kwa sasa. Time will tell.

Tusigombane kwa ambayo hayajatokea.

Mkuu karibu kundini. Umepotea sana aisee. Ebu mlete ntuzu na Kalu
 
On board Chelsea hata top four wachambuzi wengi walisema Chelsea kuingia top four utakuwa muujiza. Na hata wewe nakumbuka ukisema Chelsea atamaliza nafasi ya kumi jambo ambalo kwa sasa limekuwa kinyume. Ligi ni ndefu. Aston Villa ulimfunga goli la kusawawazisha na ushindi dk ya 94 na Aston hatukutegemea awasumbue kiasi hicho.

Kwa hiyo usijihakikishie sana kwamba Chelsea hawezi kushindana na Liverpool msimu huu.

Chochote kinaweza kutokea. Mane, Firminho, VVD, Robertson, na Anord yeyote kati yao au Wawili wao wakiumia hamwezi kuamini kitakacho watokea. Kumbuka viungo wenu siyo wazuri sana kwa sasa ktk kutengeneza nafasi. Robo na TAA wasipokuwa onform utalielewa hili.

But all in all Liverpool is on form kila mtu anajua ila ligi ni ndefu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Nani man u mzeee...Me liverpool damu damu sasa naona watoto wadogo mnataka ligiii[emoji15][emoji15][emoji15] mtakufaaaa
Chelsea ndiyo timu pekee ambayo imeshanyakua EPL mara nyingi sana kwa miaka 15 iliyopita ikiachwa na Man Utd zaidi ya mara 1 tu.

Utaipenda au utaichukia Chelsea kwa hiyo ngekewa ya makombe? [emoji1]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom