Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu leo mmecheza mpira mzuri sana ,naamini kwasababu Joginho hakuwepo....pale kati kulipendeza sana,

Hongereni.
Shida ni kwamba huwa huangalii mpira unaochezwa na Chelsea. Joginho ni top creative mid fielders duniani. Akikutumia pass iko mguuni, au utaikuta sehemu sahihi. No wonder why magoli mengi yamezalishwa na Joginho. Na Chelsea imetandaza kandanda safi msimu huu tangu mechi na Manchester.
 
Mwisho wa Msimu tuone Matunda ya kandanda safi
 
Najua Kuwa Leicester City pumzi itakata kwani kwa Top six ana uhakika wa kumgunga Arsenal tu!

Swali la Msingi

√ Je munataka tumpige Man City ili mukamate nafasi ya Pili? Au munataka nipigwe na Man City muendelee kufukuzana na Leicester kwenye nafasi ya 3?

Ukweli usiofichika hamuna uwezo wa kufukuzana na Timu mbili kwa pamoja (Liverpool & Spurs) but munao uwezo wa kufukuzana na moja kati ya hizo.

Na hapo ni Wazi kuwa munaeweza kufukuzana na kumkimbia ni Man City na si Liverpool kwani Liverpool akimaliza leo ameshapambana na Top six wote ikiwemo Leicester City pia.
Kwahiyo si rahisi tena kudondosha points kwa waliobakia kwa hii round ya kwanza kwani atakuwa amebakisha na:-

November
Crystal Palace (A)
Brighton and Hove Albion (H)

December
Everton (H)
Bournemouth (A)
Watford (H)
West Ham United (A)

But Man City ndiyokwanza hajamalizana na Top Six kwani amecheza na Spurs tu! Kwahiyo sisi tukimfunga na nyinyi mukimharibia basi hawezi kuwakamata tena.

HATA SISI KUMFUNGA MANCITY, AU KUFUNGWA NA MAN CITY HAKUTOTEGEMEA MAOMBI YENU
 
Haha achana na dully Jr mkuu ..unafiki kweny football upo sana mkuu huo ndo unaleta ushabiki ..kinachotakiwa ni kupokea pongezi na kwenda kutoa pole kule upande mwingine
Huyo si anajua ushabiki wa soka ni matusi,ugomvi na kuchange ya ukweli kuwa uwongo....

Msiba hauna kadi ila hapa nitatimba kwa kishindo kuleta shombo zangu muda ukifika....
 
Pamoja na kwamba tunashinda, bado kuna maeneo tunahitaji kuimprove.

Kwa sasa chelsea wanapaswa kuimprove katika kupiga magoli ya mbali including fouls na kufunga via set pieces. Kante anaweza kushoot kutokea mbali lkn ndo huwa anapiga mara mojamoja, pia hivi karibuni Mason Mount na Pilisic nao wamekuwa wakijaribu kushoot kutokea mbali.

Tunapata corner nyingi sana lkn ndio hivo conversion rate yetu ni ndogo sana. The same kwenye upande wa fouls.

Tuna wachezaji wengi sana warefu wanaoweza kuruka vichwa lkn ndio hivo bado hawapo vzr katika kuscore hata vichwa anavyoruka pulisic ni vizuri zaidi kuliko wao pamoja na kwamba pulisic ni mfupi.

Kama wakiyafanyia kazi hayo maeneo basi chelsea itakuwa ni tishio zaidi.
 
Man city ashinde leo akuvute shati.

Sisi tukifungwa nyinyi Chelsea itawasaidia nini?
Au ndiyo tayari mumeshajijengea False hope kuwa tukifungwa na Man City ndiyo mutakuja kuongoza Ligi?

Acheni kujidanganya sisi hata tukifungwa na Man City Chelsea haiwezi kumaliza ligi Juu ya Liverpool
 
Mdogo mdogo utaelewa.

City ashinde. Next game tunacheza na City. Tutampunguza yeye.

Kuhusu nyie wala usijali..endeleeni kubaki juu kwa sasa. Time will tell.

Tusigombane kwa ambayo hayajatokea.
Sisi tukifungwa nyinyi Chelsea itawasaidia nini?
Au ndiyo tayari mumeshajijengea False hope kuwa tukifungwa na Man City ndiyo mutakuja kuongoza Ligi?

Acheni kujidanganya sisi hata tukifungwa na Man City Chelsea haiwezi kumaliza ligi Juu ya Liverpool
 
Najua Kuwa Leicester City pumzi itakata kwani kwa Top six ana uhakika wa kumgunga Arsenal tu!

Swali la Msingi

√ Je munataka tumpige Man City ili mukamate nafasi ya Pili? Au munataka nipigwe na Man City muendelee kufukuzana na Leicester kwenye nafasi ya 3?

Ukweli usiofichika hamuna uwezo wa kufukuzana na Timu mbili kwa pamoja (Liverpool & Spurs) but munao uwezo wa kufukuzana na moja kati ya hizo.

Na hapo ni Wazi kuwa munaeweza kufukuzana na kumkimbia ni Man City na si Liverpool kwani Liverpool akimaliza leo ameshapambana na Top six wote ikiwemo Leicester City pia.
Kwahiyo si rahisi tena kudondosha points kwa waliobakia kwa hii round ya kwanza kwani atakuwa amebakisha na:-

November
Crystal Palace (A)
Brighton and Hove Albion (H)

December
Everton (H)
Bournemouth (A)
Watford (H)
West Ham United (A)

But Man City ndiyokwanza hajamalizana na Top Six kwani amecheza na Spurs tu! Kwahiyo sisi tukimfunga na nyinyi mukimharibia basi hawezi kuwakamata tena.

HATA SISI KUMFUNGA MANCITY, AU KUFUNGWA NA MAN CITY HAKUTOTEGEMEA MAOMBI YENU
Hatumkimbizi mtu yeyote, tunashinda tu, nyie mkifungwa mtajimaliza wenyewe na tutawapita tu iwe Liverpool au Mancity au Leicester city. Kumalizana na top 6 haina maana mko salama, tena epusha mbali, unaweza donolewa na mitimu ovyo mkaishia na nyie kukimbiza wengine. Kwani mwaka jana mlidonolewa na nani? au mlipoteza point 2 kwa timu zipi?
 
Chelsea vs Crystal Palace Player Ratings
  1. Mateo Kovacic 9 - superb!
  2. Reece James 8 - excellent!
  3. Christian Pulisic 8 - excellent!
  4. Willian 8 - excellent!
  5. Kurt Zouma 7 - Very good
  6. Fikayo Tomori 7 - Very good
  7. N'Golo Kante 7 - Very good
  8. Tammy Abraham 7 - Very good
  9. Kepa Arrizabalaga 6 - Good
  10. Mason Mount 6 - Good
  11. Emerson Palmieri 6 - Good
 
Najua Kuwa Leicester City pumzi itakata kwani kwa Top six ana uhakika wa kumgunga Arsenal tu!

Swali la Msingi

√ Je munataka tumpige Man City ili mukamate nafasi ya Pili? Au munataka nipigwe na Man City muendelee kufukuzana na Leicester kwenye nafasi ya 3?

Ukweli usiofichika hamuna uwezo wa kufukuzana na Timu mbili kwa pamoja (Liverpool & Spurs) but munao uwezo wa kufukuzana na moja kati ya hizo.

Na hapo ni Wazi kuwa munaeweza kufukuzana na kumkimbia ni Man City na si Liverpool kwani Liverpool akimaliza leo ameshapambana na Top six wote ikiwemo Leicester City pia.
Kwahiyo si rahisi tena kudondosha points kwa waliobakia kwa hii round ya kwanza kwani atakuwa amebakisha na:-

November
Crystal Palace (A)
Brighton and Hove Albion (H)

December
Everton (H)
Bournemouth (A)
Watford (H)
West Ham United (A)

But Man City ndiyokwanza hajamalizana na Top Six kwani amecheza na Spurs tu! Kwahiyo sisi tukimfunga na nyinyi mukimharibia basi hawezi kuwakamata tena.

HATA SISI KUMFUNGA MANCITY, AU KUFUNGWA NA MAN CITY HAKUTOTEGEMEA MAOMBI YENU
Cha msingi kila mtu atimize wajibu wake. Yaani kila timu ishinde mechi zake isije tokea timu fulani imefungwa watu wakaanza kusema Chelsea iliwaombea wafungwe.

Simply ulichomaanisha hapa ni kutafuta Sympathy tuwashashangilie kwa sababu mkimfunga City ni advantage kwetu. Teh
 
IMG_20191110_112217_138.jpeg
 
Sisi tukifungwa nyinyi Chelsea itawasaidia nini?
Au ndiyo tayari mumeshajijengea False hope kuwa tukifungwa na Man City ndiyo mutakuja kuongoza Ligi?

Acheni kujidanganya sisi hata tukifungwa na Man City Chelsea haiwezi kumaliza ligi Juu ya Liverpool
Ukweli ni kwamba mkifungwa leo gap linapungua. Yaani utakuwa umemuacha chelsea point 5 tu. Kama hizo unaziona chache sawa.
 
leo wafungwe tu ili gap lipungue. Hata kama city atakuwa juu yetu.
Cha msingi kila mtu atimize wajibu wake. Yaani kila timu ishinde mechi zake isije tokea timu fulani imefungwa watu wakaanza kusema Chelsea iliwaombea wafungwe.

Simply ulichomaanisha hapa ni kutafuta Sympathy tuwashashangilie kwa sababu mkimfunga City ni advantage kwetu. Teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom