Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuna mtu hapa anaitwa King Ngwaba alibishana na mimi juu ya ubora wa Norwich. Niliwaambia hakuna timu yenye defense zembe EPL kuliko Norwich sasa wao ndio wameshika mkia kwa kuchapwa 2-0 na timu ambayo haikuwahi kushinda tangu ligi ianze
Sijui waliwafungaje Man City maana tangu wawafunge Man City hawa jamaa wanabugizwa tu

Nakubali kushindwa
Nilihadalika na Five match wonder Mr Pukki

Kwa wakati ule usishangae kumfunga Man City! Pukki alikuwa ni zaidi ya Messi kwenye mechi 5 mwanzo
 
Vipi game ya Leo Chelsea vs Crystal palace SAA 15:30 tunatoboa kweli.
Ebu kwanza tukuulize, nje ya msimu huu, ni lini ulimuona batshuayi akicheza ??? Inaweza kuwa hujawah kumuona zamani..

Nyinyi ndio mashabiki wa chelsea mnaoamini kepa ni kipa bora pale wingereza ila kakosa mabeki tu..

Mnapenda chelsea lakin hamjui mpira kabisa.. leo hii ukimuweka batshuayi kwenye mauzo, hafiki hata paund mil 35...
 
Game ya leo ni ngumu aisee sioni juhudu zozote za kutafuta goli
Inabidi second half wabadilike
 
Kimasihara tu chelsea waleee
Screenshot_20191109-164410_FlashScore.jpeg
IMG-20191109-WA0011.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20191109-WA0012.jpeg
    IMG-20191109-WA0012.jpeg
    43.6 KB · Views: 4

Similar Discussions

Back
Top Bottom